Kwa upande wa waheshimiwa Mabalozi hao walifurahishwa kwa hatua ya maandalizi iliyofikiwa, na kuelezea furaha yao kuhusu uamuzi wa Serikali kuwashirikisha mapema katika maandalizi hayo.
![]() |
| Sehemu ya Mabalozi wa Nchi za Afrika na wanachama wa Jumuiya ya SADC wakimsikiliza Prof. Palamagamba John Kabudi (hayupo pichani). |
![]() |
| Sehemu nyingine ya watumishi kutoka Balozi za Afrika zilizopo nchini. |
![]() |
| Prof. Palamagamba John Kabudi akifafanua jambo kwa Waheshimiwa Mabalozi alipokutana nao. |
![]() |
| Balozi wa Afrika Kusini Mhe. Thamsanga Mseleku akielezea jambo katika mkutano na Waziri Prof. Palamagamba John Kabudi. |





No comments:
Post a Comment