Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Saturday, 13 May 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEMWANDALIA DHIFA YA KITAIFA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JAKOB ZUMA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM – MEI 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Jacob Zuma Rais wa Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam Mei 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigongesha girasi na mgeni wake Jacob Zuma Rais wa afrika kusini Ikulu jijini wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Dar es salaam Mei 11, 2017.
Wakati wa nyimbo za mataifa yote mawili. 
Rais wa Afrika Kusini akihutubia katika dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili yake Ikulu jijini dar es salaam Mei 11, 2017. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mhe. Jacob Zuma Rais wa Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam mara baada ya dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Ikulu Blog

No comments:

Post a Comment