Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Saturday, 13 May 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA JAMHURI YA AFRIKA KUSINI MHE. JACOB ZUMA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MEI 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma wakiwa wamesimama huku Nyimbo za Mataifa mawili zikiimbwa Ikulu jijini Dar es salaam mei 11, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake na kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam mei 11, 2017.




Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma akiteta jambo na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam mei 11, 2017.

No comments:

Post a Comment