Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 17 April 2015

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAENDELEA NA ZOEZI LA KUTOA ELIMU KWA WADAU WA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA

Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina (kushoto) akimkabidhi rasmi kadi ya uanachama, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mh. Chiku Gallawa mara tu baada ya kujiunga na Mfuko huo akionyesha ni jinsi gani Mfuko umejipanga vyema kuwahudumia wanachama wake kwa wakati.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Galawa akijaza fomu na kujiunga rasmi na Mpango wa hiari wa kujiwekea akiba ulianzishwa na GEPF (VSRS) akishuhudiwa na meneja wa GEPF mkoa wa Dodoma Bw Josephat Mshana.
Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina (kushoto) akimkabidhi cheti cha ushiriki mmoja kati ya wadau wa mkoa wa Dodoma.
Baadhi ya wadau wa mikoa ya Dodoma na Singida wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa (hayupo pichani) wakati akitoa nasaha zake.
Washiriki wa semina hiyo maalum wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi mara baada ya ufunguzi wa semina hiyo.

No comments:

Post a Comment