Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Magalula Saidi Magalula akifungua rasmi semina hiyo maalum kwa maafisa rasilimali watu wa mkoa wa Tanga pamoja na wilaya zake. |
Baadhi ya maafisa rasilimali watu wakifuatilia kwa makini mada zilizotolewa na Mfuko wa GEPF. |
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Magalula Saidi Magalula akiwa katika picha ya pamoja na maafisa kutoka GEPF pamoja na maafisa rasilimali watu waliohudhuria semina hiyo maalum. |
Mmoja kati wa maafisa rasilimali watu akifurahia jambo na afisa wa GEPF mkoa wa Tanga, Baraka Mtoi wakati akijiunga na mpango wa hiari wa kujiwekea akiba (VSRS). |
No comments:
Post a Comment