Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Saturday, 21 February 2015

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENISHENI WA PSPF WAMALIZIKA MJINI DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi, akitoa mada, kuhusu benki hiyo inavyoweza kuwasaidia wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutokana na ushirikiano wa kibiashara baina ya taasisi nhizo mbili, wakati wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa PSPF mjini Dodoma. Mkutano huo wa siku mbili umefungwa Alhamisi Februari 19, 2015.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisikiliza kwa makini majadiliano ya wanachama na wadau wa Mfuko huo wakati wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa PSPF mjini Dodoma, Alhamisi Februari 19, 2015.
Kaimu mkurugenzi wa fedha na utawala wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Yahaya Ally, akitoa taarifa ya fedha ya Mfuko huo wakati wa mkutano wa nne wa wanachama na wadau wa PSPF, mjini Dodoma. Mkutano huo ulioanza Februari 18, umefungwa Alhamisi Februari 19, 2015.
Bofya hapa kwa picha zaidi.

No comments:

Post a Comment