Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum (kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa futari iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jana.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wakila futari iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jana.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wakimsikiliza mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum (hayupo pichani) wakati wa futari iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jana.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wakichukua futari iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jana.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wakila futari iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jana.
No comments:
Post a Comment