Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Thursday, 5 May 2022

VODACOM YAHAMASISHA WASICHANA KUSOMA SAYANSI NA TEHAMA KUPITIA PROGRAM YA CODE LIKE A GIRL

Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamando (kushoto), Mkurugenzi wa Rasilimali watu Vodacom Tanzania Plc, Vivienne Penessis (katikati) na Mahadia Tunga wa dLab wakimpongeza mmoja kati ya wanafunzi aliyetoa mada (hayupo pichani) kwenye mafunzo ya Tehama (kupitia Code like a girl) kwa wanafunzi wa kike wa shule za sekondari mbalimbali nchini yaliyoandaliwa na taasisi ya dLab yenye lengo la kumpa ujuzi mtoto wa kike kupitia Tehama na kujiajiri kupitia mpango huo unaodhaminiwa na Vodacom Tanzania Plc.

Mkurugenzi wa Rasilmali watu, Vodacom Tanzania PLC, Vivienne Penessis akizungumza kwenye mafunzo ya Tehama (kupitia Code like a girl) kwa wanafunzi wa kike wa shule za sekondari mbalimbali nchini yaliyoandaliwa na taasisi ya dLab yenye lengo la kumpa ujuzi mtoto wa kike kupitia Tehama na kujiajiri kupitia mpango huo unaodhaminiwa na Vodacom Tanzania Plc.





No comments:

Post a Comment