Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Monday, 8 February 2021

NI WIKI NYINGINE MPYA NDANI YA MWEZI FEBRUARY ILIYOJAZWA NA BURUDANI YA SOKA NDANI YA DStv


Ni wiki nyingine mpya ndani ya mwezi February iliyojazwa na burudani ya Soka.

Jumanne hii sasa ndani ya michuano ya FA Cup, Manchester United watakuwa na mtanange mzito dhidi ya West ham.

Je tutegemee matoke yapi?

Kunogesha mambo sasa @dstvtanzania wanakupa kutazama mechi hii Live kupitia kifurushi cha Bomba TShs 19,900 tu.

Piga *150*53# kulipia sasa kwa urahisi zaidi.

#SokaLisiloPimika

No comments:

Post a Comment