Meneja wa Kitengo cha chapa
na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (kulia) akizungumza katika mkutano
uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali
Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia
ya simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa
kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es
salaam. Kushoto ni Mwakilishi kutoka Idara ya Mambo ya nje na biashara
Australia Dan Woods.
Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia
Mtingwa (kushoto) akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa vitengo
vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi
wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia ya simu ili kufikia maendeleo
endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Meneja wa
Mawasiliano wa Tigo Tanzania Woinde Sismale.
Meneja wa Kitengo cha chapa
na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (katikati) akizungumza katika mkutano
uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali
Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia
ya simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa
kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es
salaam. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Safaricom Eunice Mumma.
Mwakilishi kutoka Idara ya
Mambo ya nje na biashara Australia Dan Woods
akizungumza katika mkutano
uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika
Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia ya
simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa kwenye
ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam
Pamoja nae ni Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa.
No comments:
Post a Comment