| Daktari akitoa somo katika Bonanza hilo. |
| Kikosi cha timu ya mpira wa miguu cha mojawapo ya timu zilizochuana katika Bonanza hilo kikiwa katika picha ya pamoja. |
| Penati. |
| Wakiwa katika mazoezi ya pamoja kupasha misuli. Shirika la Nyumba la Taifa linayo Gym maalumu kwa wafanyakazi yenye vifaa vya kutosha vya kisasa kwaajili ya wafanyakazi kujiweka sawa kiafya. |
| Wafanyakazi wakiendelea na michezo ya Volleyball. |
![]() |
| Wafanyakazi hao wakishindana katika mbio ufukweni. |
![]() |
| Mmoja wa wafanyakazi wa NHC akiwa amejishindia Jogoo katika shindano la kufukuza kuku. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wakijiandaa kushindana katika mbio za magunia. |
![]() |
| Wakichuana vikali katika mbio za magunia. |
![]() |
| Lazima kitoweo kikamatwe hapa. |
![]() |
| Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mawasiliano wa NHC, Bi Susan Omari akishiriki katika kusimamia upangaji wa timu za mpira wa miguu. |
![]() |
| Walishiriki pia katika mchezo huu ambao niliwahi kuucheza sana nikiwa mtoto. |
![]() |
| Mchuano wa kuvuta kamba. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wakipiga picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa michezo hiyo. |










No comments:
Post a Comment