Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 26 September 2023

MKUU WA WILAYA KINONDONI AZINDUA KITUO CHA M-MAMA

  • BAADA YA UZINDUZI WA KITUO HIKI, SASA MFUMO WA M-MAMA UNAORAHISISHA UPATIKANAJI WA USAFIRI WA DHARURA KUOKOA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO WACHANGA UNAPATIKANA KATIKA MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA NA VISIWANI ZANZIBAR.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule (kulia) akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha mfumo wa m-mama Dar es Salaam pamoja na Meneja wa Miradi wa Vodacom Tanzania Foundation (wa pili kulia), Mtaalamu wa Afya ya Umma wa USAID - mama na watoto wachanga, Bi. Miriam Kombe (wa pili kushoto) na Ofisa wa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume. Baada ya uzinduzi wa kituo hiki, mfumo wa m-mama ambao unarahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa sasa unapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Meneja wa Miradi wa Vodacom Tanzania Foundation (wa pili kushoto) na Ofisa wa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume (wa tatu kushoto) wakimsikiliza Mtoa Huduma, baada ya uzinduzi rasmi wa kituo cha mfumo wa m-mama Dar es Salaam. Baada ya uzinduzi wa kituo hiki, mfumo wa m-mama ambao unarahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa sasa unapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.
Mtoa huduma katika kituo cha mfumo wa m-mama kilichozinduliwa jijini Dar es Salaam, akielezea namna mfumo wa m-mama unavyofanya kazi baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule. Utekelezaji wa huduma ya m-mama unafanywa kwa ushirikiano na Vodacom Tanzania Foundation, USAID, Touch Foundation, na Pathfinder katika kuiunga mkono serikali kurahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa wajawazito ili kuokoa vifo vya akina mama na watoto wachanga, kwa sasa huduma hii inapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.

Mtoa huduma katika kituo cha mfumo wa m-mama kilichozinduliwa jijini Dar es Salaam, akielezea namna mfumo wa m-mama unavyofanya kazi baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule. Utekelezaji wa huduma ya m-mama unafanywa kwa ushirikiano na Vodacom Tanzania Foundation, USAID, Touch Foundation, na Pathfinder katika kuiunga mkono serikali kurahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa wajawazito ili kuokoa vifo vya akina mama na watoto wachanga, kwa sasa huduma hii inapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule (kulia) akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha mfumo wa m-mama Dar es Salaam pamoja na Meneja wa Miradi wa Vodacom Tanzania Foundation (wa pili kulia), Mtaalamu wa Afya ya Umma wa USAID - mama na watoto wachanga, Bi. Miriam Kombe (wa pili kushoto) na Ofisa wa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume. Baada ya uzinduzi wa kituo hiki, mfumo wa m-mama ambao unarahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa sasa unapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment