Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert

Advertise Here

Advertise Here

Friday, 19 July 2019

JCDECAUX ASSERTS LEADERSHIP IN DIGITAL OUT OF HOME ADVERTISING

Jacqueline McCormick, JCDecaux Regional Director Eastern Africa.
JCDecaux, Sales Manager in Tanzania, Janine Deetlefs.
Dar es salaam, 18 July 2019 – JCDecaux, the number one outdoor advertising company worldwide is set to increase opportunities for advertisers through digital out-of-home media. In a presentation to key stakeholders in the media and advertising industry held at Coral Beach, JCDecaux presented global media trends and innovative go-to-market strategies tailored to the Tanzanian market.

JCDecaux Tanzania, operating since 2015, unpacked how the outdoor media industry is rapidly evolving in key geographies around the world and presented custom advertising solutions for local marketing leaders. The outdoor leader introduced digital screens in Tanzania in 2015, changing the urban landscape of Dar es salaam and enhancing value to advertisers and consumers with a digital network of 13 high quality digital screens.

STANDARD CHARTERED LAUNCHES THE COUNTRY’S FIRST SOCIAL BANKING SOLUTION, THE SC KEYBOARD

Head of Communiations and Marketing for Standard Chartered Bank Tanzania, Juanita Mramba introduces the high table. From her right is the bank’s Digital Banking Ambassador, Vanessa Mdee, The bank’s Head of Retail Banking, Ajmair Riaz and the bank’s Head of Operations and Technology, Christopher Vuhahula at the launch of the SC Keyboard Banking held at Hyatt - The Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam recently.
Standard Chartered Head of Retail, Ajmair Riaz (left) speaks with members of the press (not pictured) about the newly launched bank service SC Keyboard at Hyatt - The Kilimanjaro in Dar es Salaam recently. In the middle is the bank’s Digital Banking Ambassador, Vanessa Mdee and the bank’s Head of Communications and Marketing, Juanita Mramba.
Head of Technology and Operations for Standard Chartered, Christopher Vuhahula explains the new SC Keyboard bank service at its launch that was held at Hyatt - The Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam recently. On the right is the bank’s Head of Retail Banking, Ajmair Riaz.
Standard Chartered Digital Banking Ambassador, Vanessa Mdee (second right) speaks to the press (not pictured) about taking the good news to the Tanzania public during the launch of the SC Keyboard Banking service held at Hyatt - The Kilimanjaro in Dar es Salaam.


Dar es Salaam, Tanzania - 17 July 2019 - Standard Chartered has announced yet another First banking feature in the Tanzanian market. In its continued efforts to meet the rising demands of the country’s young and digitally-savvy population, the Bank has launched the country’s first Social Banking Solution called SC Keyboard. The feature, which is part of the Bank’s newly launched Full Digital Bank on Mobile, allows the Bank’s customers to access a variety of financial services from within any social or messaging platform without having to open the Banking app.

Launched in Tanzania, Kenya, Uganda and Ghana, the solution is a first for the Bank in Africa and will be rolled out to Botswana, Zambia, Zimbabwe and Nigeria throughout the rest of the year. The keyboard-based banking solution allows clients to transfer money in real-time, pay utility bills and instantly check balances from within any social or messaging platform. The unique digital solution can be configured as the default keyboard on any smartphone, making banking quick and seamless for customers who no longer need to log into their SC Mobile app for basic banking services.

BENKI YA NBC YATOA SHILINGI BILIONI 2.1 KUKOPESHA WASTAAFU

Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Venance Mashiba (wa pili kulia), na Mkurugenzi Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Gaudence Shawa (kulia kwake), wakikata keki kusherehekea uzinduzi rasmi tawi jipya la Benki ya NBC Tegeta katika jengo la Kibo Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni. Wengine kutoka kushoto ni, Mkurugenzi wa Kitengo cha Makampuni, Linley Kapya, Mnadhimu Mkuu Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, Joyce Mbago, Meneja wa Tawi la Tegeta, Edward Chibombo na Mkurugenzi wa Fedha, Waziri Barnabas.
Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Venance Mashiba ( wa nne kushoto), na Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Gaudence Shawa (kushoto kwake), wakikata utepe kuzindua rasmi tawi jipya la Benki ya NBC Tegeta nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni, Mkurugenzi wa Kitengo cha Makampuni, Linley Kapya, Mnadhimu Mkuu Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, Joyce Mbago, Mkurugenzi wa Fedha, Waziri Barnabas na Meneja wa Tawi la Tegeta, Edward Chibombo.
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Gaudence Shawa, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tawi jipya la benki hiyo la Tegeta katika jengo la Kibo Complex jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa NBC, Gaudence Shawa (katikati waliokaa) Mkurugenzi wa Kitengo cha Makampuni, Linley Kapya (kulia kwake) na Mkurugenzi wa Fedha, Waziri Barnabas (kushoto kwake), wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi katika tawi hilo na baadhi ya maofisa wa NBC katika hafla hiyo.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) nchini imetoa mikopo yenye jumla ya kiasi cha shilingi Billioni 2.1 kwa wastaafu tokea ilipozindua huduma ya mikopo ya wastaafu Juni mwaka jana.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Theobald Sabi, Mkurugenzi wa Wateja Binafsi, Bw Gaudence Shawa katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Tawi jipya la Benki hiyo la Tegeta Kibo Commercial Complex alisema kwamba benki hiyo imewatambua wastaafu kama kundi muhimu la kiuchumi.

“NBC tumewatambua wastaafu wanaopokea pensheni kama kundi la kiuchumi ambalo lina uwezo wa kuchangia katika uchumi wa taifa letu kwa kuwezeshwa kifedha,”

BENKI YA CRDB YATOA MILIONI 150 KUDHAMINI MKUTANO MKUU WA ALAT 2019

Mkurugenzi wa Wateja wa Wadogo na Wakati wa Benki ya CRDB –Boma Labala (watatu kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 150 kwa ajili ya kudhamini Mkutano Mkuu wa ALAT – 2019 kwa mwenyekiti wa ALAT taifa Mheshimiwa Gulamhafeez Mukadam (watatu kulia). Kushoto ni Maneja Mwandamizi wa Biashara za Serikali za Mitaa wa Benki ya CRDB Suzana Shuma na wapili kulia ni Mheshimiwa Zainab Vullu, Muwakilishi wa Wabunge ALAT.
Benki ya CRDB imekabidhi hundi ya mfano wa shilingi Milioni 150 kwa uongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) kwaajili ya udhamini wa mkutano mkuu wa 35 wa ALAT taifa unaotarajia kufanyika kuanzia tarehe 22 Julai hadi 24 jijini Mwanza.

Fedha hizo ni kwa ajili ya kugharamia gharama za mkutano mkuu unaotarajia kukutanisha wajumbe zaidi ya 500 kati yao wakiwa mameya, kutoka halmashauri zote nchini, wakurugenzi wa halmashauri wapatao 185, wawakilishi wa mikoa na wizara mbalimbali ambao jumla yao wanafika zaidi ya 500.

Wednesday, 17 July 2019

WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA JAMHURI YA CZECH WATAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI TANZANIA

Mhe. Dkt. Abdallah Saleh Possi, Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambaye pia ni Balozi wa Tanzania asiye na makazi nchini Czech akiwa kwenye mkutano kati ya ujumbe wa wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Jamhuri ya Czech na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) uliofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai 2019. Mhe. Balozi Possi ameambatana na ujumbe huo hapa nchini ambao una lengo la kutafuta fursa za biashara na uwekezaji kwenye sekta za afya, kilimo, nishati na madini na ujenzi wa viwanda vya madawa na vifaa tiba. 
Sehemu ya Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Jamhuri ya Czech ukufuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa kwao na Wataalam kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).
Sehemu nyingine ya Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Jamhuri ya Czech.
Mkutano ukiendelea.
Mhe. Balozi Possi (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa TIC na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Jamhuri ya Czech.
Ujumbe wa wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Jamhuri ya Czech wamewasili nchini tarehe 13 Julai, 2019 kwa lengo la kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali nchini ili kujadili fursa za biashara na uwekezaji nchini katika sekta mbalimbali hususan afya, kilimo, miundombinu ya barabara na reli,nishati, madini,utalii na wa ujenzi wa viwanda vya madawa na vifaa tiba.

Ziara hiyo inatokana na juhudi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kupitia Ubalozi wa Tanzania uliopo nchini Ujerumani ambao pia unawakilisha Tanzania katika Jamhuri ya Czech na wadau wengine muhimu katika kushawishi wafanyabiashara wakubwa kuja kuwekeza nchini katika sekta mbalimbali.

PROF. KABUDI AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI ZA SADC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) waliopo hapa nchini.
Katika mazungumzo hayo Prof. Palamagaba John Kabudi amewafahamisha hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya Mkutanao wa wakuu wa nchi na Serikali wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliyopangwa kufanyika nchini mwezi Agosti 2019

Kwa upande wa waheshimiwa Mabalozi hao walifurahishwa kwa hatua ya maandalizi iliyofikiwa, na kuelezea furaha yao kuhusu uamuzi wa Serikali kuwashirikisha mapema katika maandalizi hayo.

Sehemu ya Mabalozi wa Nchi za Afrika na wanachama wa Jumuiya ya SADC wakimsikiliza Prof. Palamagamba John Kabudi (hayupo pichani).
Sehemu nyingine ya watumishi kutoka Balozi za Afrika zilizopo nchini.
Prof. Palamagamba John Kabudi akifafanua jambo kwa Waheshimiwa Mabalozi alipokutana nao.
Balozi wa Afrika Kusini Mhe. Thamsanga Mseleku akielezea jambo katika mkutano na Waziri Prof. Palamagamba John Kabudi.
Continue Reading >>>

CAREER OPPORTUNITIES AT MKOMBOZI COMMERCIAL BANK

TIGO'S MANAGING DIRECTOR, SIMON KARIKARI SAYS DATA IS FUTURE

Monday, 15 July 2019

VODACOM YAZINDUA M-PESA SONGESHA, HUDUMA MPYA INAYOKUWEZESHA KUTUMIA PESA ZAIDI YA KIWANGO ULICHONACHO

Mkurugenzi wa 'M-Commerce' Vodacom Tanzania (wapili kushoto), Epimarck Mbeteni, Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja Bi. Herieth Lwakatare (watatu kulia) na Mkurugenzi wa Wateja wa Mikataba (Business Enterprise Unit), Arjun Dhillon (wa kwanza kulia) wakishikana mikono na Mkurugenzi wa Usimamizi wa Hatari na Utekelezaji, Moses Manyatta (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara, Deogratius Kwiyukwa (watatu kushoto) na Mkuu wa Matawi, Bonaventura Paul (wapili kulia) kutoka Tanzania Postal Bank (TPB), kuashiria uzinduzi wa huduma mpya ya kifedha iitwayo 'M-Pesa songesha' amabayo inawawezesha wateja wa Vodacom Tanzania kutumia fedha zaidi ya kiwango walichonacho kwenye akaunti zao, Dar es Salaam, hivi karibuni. Kampuni ya Vodacom imedhamiria kubadili Tanzania kuwa jamii inayofanya malipo kidigitali zaidi.
Mkurugenzi wa 'M-Commerce' Vodacom Tanzania, Epimarck Mbeteni akizungumza katika sherehe ya uzinduzi wa huduma mpya ya kifedha iitwayo 'M-Pesa songesha' amabayo inawawezesha wateja wa Vodacom Tanzania kutumia fedha zaidi ya kiwango walichonacho kwenye akaunti zao, Dar es Salaam, jana. Kampuni ya Vodacom imedhamiria kubadili Tanzania kuwa jamii inayofanya malipo kidigitali zaidi.
9 Julai 2019, Dar es Salaam - Kampuni inayoongoza nchini kwa huduma za kifedha kwa njia ya mtandao wa simu, Vodacom, hifi karibuni imezindua huduma ya kwanza na ya kipekee nchini ambayo inaruhusu wateja wa M-PESA kukamilisha miamala wakati hawana fedha za kutosha katika akaunti zao za M-PESA. Uvumbuzi huu wa kibunifu uitwao M-Pesa Songesha umezinduliwa hivi karibuni katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya kampuni hiyo.

Kwa kutumia huduma hii, wateja wa M-Pesa sasa wataweza kutumia huduma hii kwa urahisi zaidi wakiwa na uhakika wa upatikanaji wa fedha kwa ajili ya kukamilisha miamala yao kama vile kulipia bili, kutuma pesa kwa ndugu jamaa na marafiki au hata kununua bidhaa pasipo kuwa na fedha za kutosha katika akaunti zao.

BANK OF TANZANIA SUSPENDS APPOINTMENT OF MR. FRANK NYABUNDEGE AS MANAGING DIRECTOR OF TIB CORPORATE BANK LIMITED

Sunday, 14 July 2019

EXIM BANK TANZANIA MAKES ITS PRESENCE FELT AT THE TANZANIA CASHEW NUT INTERNATIONAL INVESTMENT FORUM IN MTWARA

Exim Bank Tanzania, Mtwara Branch staff attend to customers who visited the bank’s pavilion at the Tanzania Cashew Nut International Investment Forum held in Mtwara over the weekend. The bank has been supporting the cashew nut farmers and exporters for many years by providing seamless financial services. 
Exim Bank Tanzania, Mtwara Branch staff attend to customers who visited the bank’s pavilion at the Tanzania Cashew Nut International Investment Forum held in Mtwara over the weekend. The bank has been supporting the cashew nut farmers and exporters for many years by providing seamless financial services.
Exim Bank Tanzania, Mtwara Branch staff attend to customers who visited the bank’s pavilion at the Tanzania Cashew Nut International Investment Forum held in Mtwara over the weekend. The bank has been supporting the cashew nut farmers and exporters for many years by providing seamless financial services.

Wednesday, 10 July 2019

NBC BANK TENDER NOTICE; PRE-QUALIFICATION FOR SEVERAL SERVICES

CLYDE & CO UPDATER - CHANGES TO TANZANIA’S FOREIGN EXCHANGE (BUREAU DE CHANGE) REGULATIONS

In this briefing, we outline the key changes in the Foreign Exchange (Bureau De Change) Regulations, which came into force on 7 June 2019 and revoked the 2015 Foreign Exchange (Bureau De Change) Regulations. All bureaux de change licensed by the Bank of Tanzania (BOT) to operate in Tanzania Mainland and Zanzibar will be required to comply with the Regulations.

Changes in the Foreign Exchange (Bureau De Change) Regulations, Government Notice No. 450 of 2019 (the Regulations) came into force on 7 June 2019. The Regulations have been made under section 5(a) and 7(1) of the Foreign Exchange Act, 1992 (the Act) and shall apply to Tanzania Mainland and Zanzibar.


Highlights of the Foreign Exchange (Bureau De Change) Regulations of 2019
 • Application for a licence and the procedure thereof
 • Processing of a licence, approval and rejection of an application
 • Requirements for processing international money transfers
 • Liability for non-compliance with the Regulations
 • Other requirements
 • Prohibited acts
Continue Reading >>>

Monday, 8 July 2019

JOB VACANCY ANNOUNCEMENTS AT THE SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITY (SADC)

Background

The Southern African Development Community (SADC) is a regional economic community founded and maintained by countries in Southern Africa. It aims to further the socio-economic, political and security cooperation among its Member States and foster regional integration in order to achieve peace, stability and wealth. SADC currently has fifteen Member States[1] with a population of approximately 327 million people and a combined GDP of USD 600 billion (2016). 

The Secretariat is currently recruiting for various positions to enhance its capacity to deliver on the above mandate. The Secretariat is therefore inviting suitably qualified and experienced citizens of SADC to apply for the following positions tenable at its Headquarters in Gaborone, Botswana or as stated in the job advert:

Position                                                                                                         Job Grade

 1. Senior Officer – Defense Affairs and Planning                                                     4
 2. Senior Officer Operations & Training (Based in Harare, Zimbabwe)                     4
 3. Senior Translator – Portuguese                                                                           5 
 4. Senior Programme Officer – Meteorology                                                            4
 5. Re-advert -  Head Civilian                                                                                  4
 6. Re-advert- Senior Programme Officer – Documentation and Information              4
 7. Re-advert - Senior Programme Officer – IN-SITU Conservation                             4
 8. Re-advert - Senior Programme Officer Transport                                                4
 9. Re-advert - Reviser French                                                                                5
 10. Programme Officer - Wildlife                                                                             6
 11. Programme Officer – Value Chains                                                                      6
 12. Programme Officer – Industrial Policy                                                                 6 
 13. Programme Officer – ICT                                                                                    6
 14. Communication Officer –Internal                                                                        6
 15. Programme Officer – Fiscal                                                                                 6
 16. Training and Roster Officer                                                                                6
 17. Officer – Meetings Management and Logistics x 2                                                6  
 18. Programme Officer - Climate Database and IT                                                    6
(Climate Services Centre)
 1. Programme Officer - Climate Diagnosis and Monitoring                                       6
(Climate Services Centre) 
 1. Programme Officer - Climate Modelling                                                              6
(Climate Services Centre)
 1. Programme Officer - Seasonal and Climate Forecaster                                        6
(Climate Services Centre)
 1. Information Systems Officer                                                                              6
 2. Translator x 2 (French)                                                                                      6
 3. Legal Counsel                                                                                                    6
 4. Officer Research and Statistics x 2                                                                     6
 5. Re-Advert -  Programme Officer - Gender Mainstreaming                                    6
 6. Re-advert - Programme Officer - Capital Markets                                                6
 7. Re-advert - Operation and Plan Officer                                                               6
 8. Re-advert - Planning and Budget Support Officer                                                 6 
 9. Re-advert -  Programme Officer – Regional Trade                                                6
 10. Officer Records                                                                                                  6
 11. ITInternalAuditor                                                                                                6

MRADI WA TLED KUWAFIKIA WAJASIRIAMALI KWA ASILIMIA 77 KATIKA MIKOA SITA

Afisa Mawasiliano wa Mradi wa TLED, Jemima Michael (katikati), akipata maelezo kutoka kwa mjasiriamali mdogo na wanufaika wa mradi huo, Anchila Petro (kulia), wakati wa maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. (Kushoto) ni Mjasiriamali na mnufaika wa TLED Sitta Tumma.
Afisa Mawasiliano wa Mradi wa TLED, Jemima Michael (kulia), akionesha moja ya bidhaa iliyoandaliwa na Mashine waliotoa msaada kwa Mnufaika na mjasiriamali Selena Chibando wakati wa maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Wengine ni wajasiriamali na wanufaika wa TLED.
Afisa Mawasiliano wa Mradi wa TLED, Jemima Michael akizungumza wakati wa maonyesho hayo. 
Ofisa Mawasiliano wa Mradi wa TLED ambao ni maalumu kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na wakati Jemima Michael amesema lengo la mradi huo ni kukabiliana na changamoto mbalimbali za kibiashara na hasa soko.

Akizungmza katika Maonesho ya Biashara ya 43 ya kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam Michael amefafua mradi huo ni wa miaka mitano chini ya ufadhili wa Global Affairs Canada (GAC) na ulianza Aprili mwaka 2015 hadi Machi mwaka 2020.

TANZANIA INA FURSA KUBWA YA KUVUNA UMEME WA NGUVU YA JUA

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Mizengo Peter Pinda na Mkurugenzi wa TANTRADE, Edwin Rutageruka (kushoto), wakimsikiliza Afisa Masoko wa Mobisol Farid Abdallah, wakati walipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa kampuni ya Mobisol akitoa maelekezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni hiyo katika maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAZINDUA RIPOTI YA MAENDELEO YA JAMII NA MKAKATI MPYA WA KUCHOCHEA UKUAJI JUMUISHI

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Afya Mh. Josephat Kandege, (kulia), akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Hashim Hendi, wakati wa uzinduzi wa ripoti ya Maendeleo ya jamiI na mkakati mpya wa kuchochea ukuaji jumuishi uliopewa jina la Alama za upendo uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Bodi TCRA, Dk John Killimbe.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Afya Mh. Josephat kandege, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Hashim Hendi (kulia), wakati wa uzinduzi wa ripoti ya Maendeleo ya jamiI na mkakati mpya wa kuchochea ukuaji jumuishi uliopewa jina la Alama za upendo uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Wengine (kushoto), ni Mwenyekiti wa Bodi TCRA, Dk John Killimbe pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Afya Mh. Josephat kandege akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia wakati akimuonyesha picha maalum zilizoandaliwa na Vodacom wakati wa uzinduzi wa ripoti ya Maendeleo ya jamiI na mkakati mpya wa kuchochea ukuaji jumuishi uliopewa jina la Alama za upendo uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Hashim Hendi akipiga picha ya pamoja na wageni waalikwa.
Dar es Salaam Juni 27 2019 – Taasisi isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation, leo imezindua ripoti yake ya mchango wa maendeleo ya jamii kwa miaka mitatu iliyopita (2014-2017) pamoja na mkakati mpya wa miaka mitatu 2019-2021 unaolenga kuchochea elimu jumuishi, ukuaji wa sekta ya kilimo, kuboresha mazingiza na ujumuishwaji wa watu kwenye mifumo rasmi ya kifedha.

Uzinduzi huu umefanyika katika tukio lililopewa jina la "Alama za upendo wa Vodacom" na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - Afya), Mhe. Josephat Kandege, maafisa kutoka washirika wa maendeleo na wadau wa kitaifa na kimataifa jijini Dar es Salaam.

VODACOM YANDAA TAMASHA LA "BRING YOUR KID TO WORK"

Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc wakifurahia michezo mbali mbali katika tamasha la "Bring your Kid to work" lililofanyika makao makuu ya ofisi za kampuni hiyo mwishoni mwa wiki. Kampuni ya Vodacom ni ya kwanza nchini kuandaa tamasha la namna hiyo ambapo watoto wamepata nafasi kuona jinsi wazazi wao wanavyotekeleza majukumu yao ofisini hapo. 
Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc wakifurahia michezo mbali mbali katika tamasha la "Bring your Kid to work" lililofanyika makao makuu ya ofisi za kampuni hiyo mwishoni mwa wiki. Kampuni ya Vodacom ni ya kwanza nchini kuandaa tamasha la namna hiyo ambapo watoto wamepata nafasi kuona jinsi wazazi wao wanavyotekeleza majukumu yao ofisini hapo.
Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc wakifundishwa jinsi ya kutumia platform ya instant School ambayo inawawezesha wanafunzi kupata vitabu vya masomo mbali mbali, katika tamasha la "Bring your Kid to work" lililofanyika makao makuu ya ofisi za Vodacom mwishoni mwa wiki.

TIGO - ZANTEL MERGER WILL TRANSFORM TANZANIA’S ECONOMY FOR THE BETTER

In a recent special edition on Tanzania, Forbes Africa profiled the country’s telecoms sector, analysing how it has helped build prosperity across the country.

Tanzania is set to reach its goal of becoming a middle-income, semi-industrialised nation by 2025 and the telecoms sector has undeniably been a critical driving force behind this progress.

The industry has revolutionised the lives of countless Tanzanians, by increasing connectivity and combating financial exclusion.

According to the TCRA, in December last year, Tanzania had over 43.5 million telecom subscribers. 

BENKI YA BIASHARA YA DCB YAJIKITA KWENYE VIWANDA NA KILIMO YAJA NA BIDHAA MAHUSUSI IJULIKANAYO DCB SOKONI KUWAWEZESHA WATANZANIA KIUCHUMI

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, James Ngaluko (kulia) na Mkurugenzi wa kiwanda cha kukoboa mpunga cha Kayuni, Callington Kayuni (kushoto) wakiangalia mchele baada ya kutoka katika mashine wakati wa uzinduzi wa kiwanda hicho kilichojengwa kwa mkopo kutoka DCB. Uzinduzi huo ulifanyika pamoja na uzinduzi wa huduma ya DCB Sokoni, kiwandani hapo Mlowo, Mbozi mkoani Songwe mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, James Ngaluko, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha kukoboa mpunga cha Kayuni uliofanyika pamoja na uzinduzi wa bidhaa ya DCB Sokoni kiwandani hapo Mlowo, Mbozi mkoani Songwe mwishoni mwa wiki. Kiwanda hicho kimejengwa kwa mkopo kutoka DCB. Kushoto ni kurugenzi wa kiwanda hicho, Callington Kayuni na kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Mikopo Midogo wa DCB, Haika Machaku na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rahma Ngassa. 
Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Mbozi, Richard Mwailanga (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha kukoboa mpunga cha Kayuni kilichojengwa kwa mkopo kutoka Benki ya DCB. Uzinduzi huo uliofanyika pamoja na bidhaa ya DCB Sokoni, kiwandani hapo Mlowo, Mbozi mkoani Songwe mwishoni mwa wiki. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa kiwanda, Kallington Kayuni na Mkurugenzi wa Biashara wa DCB, James Ngaluko.
Mkurugenzi wa kiwanda cha kukoboa mpunga cha Kayuni, Callington Kayuni akionyesha Mchele baada ya kutoka katika mashine kwa Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, James Ngaluko (kulia) na kwa wahudhuriaji wegine, wakati wa uzinduzi wa kiwanda hicho kilichojengwa kwa mkopo kutoka DCB. Uzinduzi huo ulifanyika pamoja na uzinduzi wa bidhaa ya DCB Sokoni, kiwandani hapo Mlowo, Mbozi mkoani Songwe mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Biashara DCB, Rahma Ngassa (kutoka kushoto waliosimama), Mkurugenzi wa Mikopo Midogo, Haika Machaku na Mkurugenzi wa Biashara wa DCB, James Ngaluko wakiangalia mchele baada ya kutoka katika mashine yan kukoboa wakati wa uzinduzi wa kiwanda hicho kilichojengwa kwa mkopo kutoka DCB. Uzinduzi huo ulifanyika pamoja na uzinduzi wa bidhaa ya DCB Sokoni, kiwandani hapo Mlowo, Mbozi mkoani Songwe mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Mikopo Midogo wa DCB, Haika Machaku (kushoto), akisalimiana na mmoja wa wakazi wa Wilaya ya Mbozi waliohudhuria uzinduzi wa kiwanda hicho uliofanyika paoja na uzinduzi wa bidhaa ya DCB Sokoni ya benki hiyo.
Katika kuhakikisha azma ya serikali ya awamu ya tano ya kuwa na uchumi wa kati unaotegemea viwanda ifikapo Mwaka 2025 inatimia, Benki ya Biashara ya DCB imeingia na mpango kabambe wa kuviwezesha viwanda vya kilimo kwa kuja na bidhaa maalum ya DCB SOKONI ambayo inatoa suluhisho la kudumu kwa wakulima na wenye viwandahuku ikilenga kuwawezesha wakulima na wafanyabiashara kiuchumi.

Bidhaa hii mpya itamuwezesha mfanyabiashara mwenye azma ya kufungua viwanda vya kilimo kupata mikopo ya kuanzisha viwanda vya kilimo.