Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 31 January 2020

BENKI YA DCB YATANGAZA UKUAJI WA FAIDA WA ASILIMIA 43 KWA MWAKA 2019

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Biashara ya DCB, Zacharia Kapama (wa pili kushoto), akisoma hotuba yake katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza taarifa za fedha ambapo alisema DCB imepata faida ya shs bilioni 2.3 kwa mwaka 2019 ikiwa ni ongezeko la asilimia 43 kutoka faida ya mwaka 2018 ambayo ilikuwa shs bilioni 1.6. Wengine kutoka kushoto ni; Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano, Rahma Ngassa, Mkurugenzi wa Biashara, James Ngaluko na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Fortunata Benedict, wote kutoka DCB.
Dar es Salaam; Januari 31, 2020 - Benki ya biashara ya DCB (DCB Commercial Bank Plc) imetangaza kupata faida ya shilingi bilioni 2.3katika mwaka 2019, ikiwakilisha ongezeko la asilimia 43kutoka faida ya mwaka 2018 ambayo ilikuwa shilingi bilioni 1.6.

Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo mbalimbali vya habari leo tarehe 31 Januari 2020 na iliyochapishwa katika magazeti kwa mujibu wa sharia za benki kuu, utendaji wa benki umeendelea kuimarika ikilinganishwa na mwaka uliotangulia huku ufanisi katika nyanja zote muhimu ukiongezeka kwa kiwango cha kuridhisha.

Akiwakilisha taarifa za fedha za robo ya nne ya mwaka 2019, mkurugenzi wa Fedha wa benki ya DCB Ndugu Zacharia Kapama, ameeleza kuwa mafanikio haya yametokana na ukuaji wa mizania ya benki, ambao umechagizwa na ukuaji wa amana za watejakwa asilimia 14 (Shilingi bilioni 10.1), ikilinganishwa na mwaka uliotangulia.

Ukuaji wa amana umeisaidia benki pia kuongeza ukuaji wa mikopo ambapo benki imefanikiwa kuongeza kiwango ghafi cha mikopokwa asilimia 11 (shilingi bilioni 8.0), ambacho ni kiasi kikubwa ukilinganisha na ongezeko la mikopo katika miaka miwili iliyotangulia. Mikopo ghafi ya benki imekua kutoka shilingibilioni 90.5mwaka 2018 kufikia shilingibilioni 93.3mwaka 2019.

OPEN TENDER - FSDT SOCIAL MEDIA COORDINATOR

AFRICAN ECONOMIC OUTLOOK 2020: AFRICA'S ECONOMY FORECAST TO GROW DESPITE EXTERNAL SHOCKS

The slower than expected growth is partly due to the moderate expansion of the continent’s “big five” — Algeria, Egypt, Morocco, Nigeria, and South Africa
ABIDJAN, Ivory Coast, January 30, 2020/ -- For the first time in a decade, investment expenditure rather than consumption accounts for more than half of GDP growth; report calls for urgent investment in education and infrastructure for good returns in long-term GDP; “Youth unemployment must be given top priority. With 12 million graduates entering the labor market each year and only 3 million of them getting jobs, the mountain of youth unemployment is rising annually.” – Akinwumi Adesina, President, African Development Bank

Africa’s economic growth remained stable in 2019 at 3.4 percent and is on course to pick up to 3.9 percent in 2020 and 4.1 percent in 2021, the African Development Bank’s (AfDB.org) 2020 African Economic Outlook (AEO) (http://bit.ly/2vABQFU) revealed Thursday.
The slower than expected growth is partly due to the moderate expansion of the continent’s “big five” — Algeria, Egypt, Morocco, Nigeria, and South Africa – whose joint growth was an average rate of 3.1 percent, compared with the average of 4.0 percent for the rest of the continent.
The Bank’s flagship publication, published annually since 2003, provides headline numbers on Africa’s economic performance and outlook. The 2020 edition, launched at the Bank’s Abidjan headquarters, was attended by former Liberian president Ellen Johnson Sirleaf, African ministers, diplomats, researchers, and representatives of various international bodies.

NMB BANK PLC RECORDS THE HIGHEST PROFIT IN THE BANKING INDUSTRY

NMB Bank Plc Ag. Managing Director, Ruth Zaipuna.
Dar es Salaam, January 31st, 2020 – NMB Bank Plc. (“NMB”) has recorded a 52% increase in Profit after Tax (PAT) for the year ended 31 December 2019.

The Bank’s net profit increased from TZS 97.7 billion in 2018 to TZS 148.6 billion in 2019. The growth is attributed to an increase in the Bank’s operating income, which increased by 5%, reduced impairment charges by 27%, and cost control measures that resulted in flat year on year operating costs.

The Bank’s interest income increased by 4% from TZS 601.6 billion in 2018 to TZS 626.3 billion in 2019, Non-Funded income increased by 14% from TZS 195.9 billion in 2018 to TZS 224 billion in 2019, while impairment charges dropped by 27% YoY from TZS 137.3 billion in 2018 to 100.4 billion in 2019, attributed to significant improvement in the quality of the loan book and loan repayments during the year.

The Bank’s total assets grew by 15% from TZS 5,680 billion in 2018 to TZS 6,548 billion in 2019. Loans and advances to customers increased to TZS 3,619 billion a 12% increase from TZS 3,272 billion recorded in the previous year.

The Bank’s asset growth was funded by a TZS 629 billion increase in customer deposits as well as the NMB Retail Bond, which raised TZS 83.3 billion in liquidity. Overall customer deposits rose by 15% from TZS 4,280 billion in the previous year to TZS 4,871 billion in 2019.

Thursday 30 January 2020

WHY BANKS SHOULD EMBRACE SOCIAL MEDIA - PART TWO

By Kelvin Mkwawa, Seasoned Banker.

Last week, I urged that in the current banking environment, strategic social communication has become an integral component of how banks build relationships with their customers and communities. Hence, banks need to move towards providing faster and more efficient communication solutions for their existing clients and engage with prospective clients. One way to do that is through social media platforms. The bank needs an effective, comprehensive, profitable social marketing strategy that integrates with the rest of its marketing activities. It’s not just about which social media platforms to use, but how to use them, and when. Therefore, the bank needs to define a social media strategy that suits its business.

Also, I pointed out that many banks in Tanzania are lagging behind in their comprehensive adoption of social media as they do not understand how to strategically use social media. For a bank to have a competitive advantage, it needs to embrace social media platforms. 

I shared two reasons why banks should embrace social media: it reduces costs and improves efficiency and improves customer experience. I urged that for those banks that do not use social media platforms yet, wake up as social media is here to stay and will continue to be a major player in the bankingindustry. So it is imperative for a bank to plan how it will utilize the social media platforms. So how can social media help banks? This week I will share two more reasons why banks should embrace social media:
  • Finding potential customers - According to the Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA), the number of internet users in Tanzania is 23 million with most of them browsing while on the go via mobile devices. It is safe to assume all internet users have access to social media since mobile users just love to flock to social networking sites and platforms. Through social media, banks can monitor online conversations to understand the behaviours and needs of prospective customers, which will enable the banks to design new, or modify existing, products based on those needs.

VACANCY AT THE WORLD BANK GROUP, TANZANIA OFFICE - OPERATIONS OFFICER

CITIBANK TANZANIA APPOINTS GEOFREY DANIEL MCHANGILA AS CHIEF EXECUTIVE OFFICER

APPOINTMENT OF TWO NEW BOARD MEMBERS AT AML FINANCE LIMITED

11 THINGS PEOPLE DECIDE WITHIN SECONDS OF MEETING YOU

People make assumptions about your personality based on a quick scan of your clothes and general appearance.
They also make inferences on how successful you are based on what you're wearing, and how aggressive you are based on the shape of your face.
Here are 11 things people decide within seconds of meeting you.

Psychologists call it "thin slicing."

Within moments of meeting you, people decide all sorts of things about you, from status to intelligence to conscientiousness.

Career experts say it takes just three seconds for someone to determine whether they like you and want to do business with you.

Fortunately, you have some control over the way others see you. For example, wearing tailored clothes and looking your conversation partner in the eye will generally create a more positive impression. But as for how aggressive you seem? That's largely determined by your facial structure.

Here, we've rounded up 11 assumptions people make about you sometimes accurate and sometimes less so based on first impressions. Read on to find out what signals you might be giving off.

Wednesday 29 January 2020

SBL YAZINDUA MPANGO WA UFADHILI WA MASOMO KWA WANAFUNZI WA KILIMO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti (kushoto) akifurahia jambo na Mkuu wa Chuo cha Kaole Wazazi College of Agriculture muda mfupi kabla ya kusaini utakayoiwezesha SBL kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa klimo wa chuo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti (kushoto) akibadishana mkataba na Mkuu wa Chuo cha Kaole Wazazi College of Agriculture muda mfupi baada ya kusaini mkataba huo utakaiwezesha SBL kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kilimo wa chuo hicho kila mwaka.
Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Kaole Wazazi College of Agriculture watakaonufaika na mpango wa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kilimo unaotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeri, wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti (kushoto) na mkuu wa chuo hicho Sinani Simba muda mfupi baada ya kusaini mkataba wa ufadhili.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Ocitti (kulia) akimpongeza mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Kaole Wazazi College of Agriculture ambaye ni mnufaika wa programu ya ufadhili wa elimu kwa wanafunzi wa kilimo Emmanuel Ntandu muda mfupi baada ya SBL kusaini mkata wa ufadhili na chuo hicho mjini Bagamoyo.
Bagamoyo, January 29, 2020: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), imezindua mpango wa ufadhili wa masomo utakaowanufaisha wanafunzi 30 kutoka katika jamii za wakulima hapa nchini kupata elimu ya ngazi ya chuo katika vyuo vya ndani vinavyofundisha masomo ya kilimo.

Ukijulikana kama Kilimo-Viwanda scholarship program, mpango huu unalenga kuongeza wataalamu wa kilimo watakaowasaidia wakulima nchini kuongeza uzalishaji, alisema Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti wakati wa uzinduzi wa program hiyo katika chuo cha Kaole Wazazi College of Agriculture kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani.

“Ni muhimu kwetu sisi kama SBL kuiunga mkono Serikali katika kuwajengea uwezo wakulima wetu kupitia kuwaongezea wataalamu wa kilimo watakaosadia kuwashauri na hivyo kuongeza tija katika kilimo,” alisema Ocitti.

Monday 27 January 2020

THE TANZANIAN TELECOMMUNICATION SECTOR NOW EMPLOYS OVER 1.5M PEOPLE

By Mandara Tilisho, 
Dar es Salaam.

Last week, the Deputy Minister for Works Transport and Communications, called upon the Tanzanian Postal Corporation to embrace new technologies and draw upon the benefits of today’s innovative digital solutions. Speaking at an industry event, the Deputy Minister highlighted the ways in which recent changes in the technology landscape are helping to drive the country’s economic growth.

One sector which is helping drive forward the digital technology that has helped to boost economic activity is Tanzania’s telecommunications sector.

During the past decade, the country’s telecommunications sector has invested heavily in developing digital technology, leading to a massive increase in the number of mobile subscribers to date.

The sector has also enjoyed considerable growth itself. As a result, the Tanzanian telecommunication sector now employs over 1.5 million people, providing a wide range of job opportunities, from software technicians, customer support staff, and SIM card vendors. With the roll-out of new technologies such as 4G, mobile operators have looked to expand their workforce to ensure a high-quality service for its customers.

THE ROAD AHEAD AS TANZANIA EYES A SEMI-INDUSTRIALISED ECONOMY BY 2025

By Ndekana Utouh
Sunday January 26 2020
Dar Es Salaam


The beginning of 2020 marks five years until Tanzania is scheduled to fulfil its development vision to become a middle-income, semi-industrialised economy by 2025.

The Vision – first introduced at the turn of the century – is known to be one of President Magufuli’s top priorities.

The plan is set to create peace and stability, eliminating corruption, while developing a sustainable economy.

Ensuring a steady flow of investment into Tanzania underpins the fulfilment of these goals and the overall vision.

To date, numerous industries have benefited from direct investment. To take one example, telecommunications operators have collectively invested at least TZS 6 trillion into the country.

VODACOM TANZANIA YAIONESHA PAPU NAMNA INAVYOWEZA KUHUSIKA KWENYE UJUMUISHWAJI KIFEDHA( FINANCIAL INCLUSION)

Mkuu wa mauzo wa Vodacom kanda ya kaskazini, Brigita Stephen (kulia) akizungumza jinsi ambavyo kampuni ya Vodacom inaweza kuwa mshirika na PAPU katika ujumuishwaji wa kifedha (financial inclusion) kwenye mkutano wa Pan African Postal Union (PAPU) uliofanyika jijini Arusha hivi karibuni. Pembeni ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Jim Yonazi.

Friday 24 January 2020

WHY BANKS SHOULD EMBRACE SOCIAL MEDIA - PART ONE

By Kelvin Mkwawa, Seasoned Banker.

Conventional marketing wisdom long held that a dissatisfied customer tells 10 people about the negative experience. But in today’s digital world, a dissatisfied customer has the tools to tell hundreds or thousands or millions of people thanks to social media platforms. 

According to Jeremy K. Balkin, an expert in the engagement of Millennials in the financial services sector, more than 60% of people (Millennials) today choose to bank on their mobile device first and by 2020 it is estimated that some 1.9 billion people will be banking on mobile. For that reason, banks need to move towards providing faster and more efficient solutions for the entire Millennial generation. 

As technology is gradually changing the banking industry, social media plays an important role in achieving banks’ objectives. Furthermore, in the current banking environment, strategic social communication has become an integral component of how banks build relationships with their customers and communities. 

According to Financial Brand (a digital publication focused on marketing and strategy issues affecting banks), nine out of ten financial institutions in developed markets are using Facebook and at least 50% of them are using at least Twitter or Instagram platforms compared to less than 30% of financial institutions in developing markets.

Social media helps banks to build meaningful relationships with existing clients and engage prospective clients. Social media is also one of the first places that potential clients go to find out more about prospective organizations they want to do business with so if a bank is not on social media platforms, it misses out on opportunities to grow its customers. The bank needs an effective, comprehensive, and profitable social marketing strategy that integrates with the rest of its marketing activities. It’s not just about what social media platforms use, but how to use them and when. Hence the bank needs to define a social media strategy that suits its business.

Unfortunately, many banks in Tanzania are lagging behind in their comprehensive adoption of social media because either they do not understand how to strategically use social media or do not have confidence in the importance of social media. 

CLYDE & CO UPDATER - CAN FOREIGNERS INHERIT LAND IN TANZANIA?

This month's briefing explores the recently proposed amendments to inheritance laws in relation to foreign heirs in Tanzania, with a particular focus on whether foreign heirs could inherit land.

This month’s legal briefing focuses on the Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 8) Bill 2019 (the Bill), which among other things, proposes amendments to the Probate and Administration of Estates Act (the Probate Act). The Bill was tabled before Parliament for the first reading towards the end of 2019.

This briefing explores the following matters:
  • the proposed amendments to the Probate Act and how this may affect the Land Act
  • the Emmanuel Marangakis case
Key highlights in the Bill

Section 20 of the Land Act currently provides that non-citizens shall not be allocated or granted land, unless it is for investment purposes. Section 20 of the Land Act further states that a body corporate registered in Tanzania, whose majority shareholders or owners are non-citizens, shall be considered a foreign company for the purpose of the Act.

The High Court of Tanzania in the case of Emmanuel Marangakis Attorney of Anastasios Anagnostou vs The Administrator General, Civil Case No. 1 of 2011 case interpreted section 20 of the Land Act in relation to the ability of non-citizens of Tanzania to occupy and hold land in Tanzania by way of inheritance. The High Court essentially decided that section 20 of the Land Act does not restrict foreigners from occupying land in Tanzania through inheritance. Historically, foreign heirs had been relying on this High Court decision to occupy land by way of inheritance.

Wednesday 22 January 2020

IFC, TANZANIA MORTGAGE REFINANCE COMPANY PARTNER TO INCREASE ACCESS TO AFFORDABLE HOUSING IN TANZANIA

Tanzania Mortgage Refinance Company (TMRC) Vice Board Chairman, Charles Itembe (third left) and the International Finance Corporation's Resident Representative in the country, Frank Ajilore (third right) shake hands in Dar es Salaam yesterday, shortly after the announcement of forging a partnership between the two institutions. Others in the picture include TMRC CEO, Oscar Mgaya (extreme left) and Bank of Tanzania Economic Research and Policy Director, Dr. Suleiman Misango (second left).
Dar es Salaam, Tanzania, January 21, 2020 - IFC, a member of the World Bank Group, today announced an investment of up to $5.75 million in the Tanzania Mortgage Refinance Company (TMRC) that will help grow the country’s nascent mortgage sector and increase access to affordable housing.

The financing includes the local currency equivalent of up to $1.5 million in equity and $4.25 million for a Medium-Term Notes (MTN) bond issuance, spread over multiple tranches. The investment leverages the International Development Association’s (IDA) Private Sector Windowlocal currency facility and blended finance facility.

Jumoke Jagun-Dokunmu, IFC’s Regional Director for Eastern Africa, said, “IFC is committed to developing the property market in Africa by providing long-term, local-currency financing. By investing in the Tanzania Mortgage Refinancing Company, we hope to boost affordable mortgage lending to create more affordable housing for Tanzanian families.”

TMRC was established in 2010 under the World Bank’s Housing Finance Project and is regulated by the Bank of Tanzania (BOT). The World Bank, through the BOT, has to date provided a $70 million long-term funding to TMRC, which hassupported the growth of mortgage loans from 579 mortgages in 2011 to 5,411 in 2019. Furthermore, it helped improve affordability by extending the mortgage repayment period from five years to up to 25 years.

BENKI YA DUNIA KUPITIA SHIRIKA LAKE LA FEDHA - (IFC) NA KAMPUNI YA MIKOPO YA NYUMBA TANZANIA (TMRC) ZAINGIA UBIA KUENDELEZA UPATIKANAJI WA MIKOPO YA NYUMBA ZA MAKAZI HASUSANI ZA GHARAMA NAFUU TANZANIA

Jumoke Jagun-Dokunmu, Mkurugenzi wa IFC kanda ya Afrika Masharikia akizungumza katika hafla ya makubaliano ya ubia kati ya IFC na TMRC kwa ajili ya kuwekeza kwa muda mrefu kiasi cha dola za marekani milioni 5.75 fedha za Tanzania ambazo ni Shilingi bilioni 13.3 kwa ajili ya kuwezesha ukuaji wa soko la mikopo ya nyumba za makazi Tanzania uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Bw. Charles Itembe, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakrugenzi ya TMRC akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Uchumi, Utafiti na Sera wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Suleiman Misango akielezea jinsi Benki Kuu ya Tanzania inavyoshirikiana na taasisi za kimataifa katika kukuza sekta mbalimbali za kiuchumi hapa nchini Tanzania.
Mkuregenzi Mtendaji wa TMRC, Oscar Mgaya akitoa maelezo jinsi taasisi hiyo ya kusaidia mabenki katika uwekezaji wa mikopo ya ujenzi wa nyumba katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. 
Jumoke Jagun-Dokunmu, Mkurugenzi wa IFC kanda ya Afrika Mashariki kulia na Bw. Charles Itembe, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakrugenzi ya TMRC wakipongezana mara baada ya kutangaza rasmi makubaliano hayo.
Picha ya pamoja.
Dar es Salaam, Tanzania Januari 21, 2020 - Benki ya Dunia kupitia shirika lake la fedha (IFC), ambalo ni mojawapo ya taasisi za benki ya dunia imetangaza kuwa imeingia ubia na TMRC kwa kuwekeza kwa muda mrefu kiasi cha dola za marekiani milioni 5.75 kwa fedha ya Tanzania ambazo ni Shilingi bilioni 13.3 kwa ajili ya kuwezesha ukuaji wa soko la mikopo ya nyumba za makazi Tanzania na pia kuwezesha upatikanaji wa nyumba za makazi za gharama nafuu.

Uwekezaji huo unahusisha shirika hilo la IFC kununua hisa za TMRC zenye thamani ya dola za Marekani milioni 1.5 ambazo zimelipiwa kwa shilingi za kitanzania na pia kuwekeza kiasi cha dola za Marekani milioni 4.25 zitakazotolewa ambazo zitatumika kuwezesha TMRC kutoa hatifungani zake kwenye soko la mitaji la Tanzania kwa muda wa miaka mitano. Uwekezaji huu wa IFC umewezeshwa na dirisha la sekta binafsi linalotumia fedha zilizotengewa/idhinishwa kwa nchi husika kwa ajili ya uwekezaji.

EXCELLENCE ACROSS THE GROUP! EXIM BANK AND SUBSIDIARIES WIN A SERIES OF INTERNATIONAL PRESTIGIOUS AWARDS

Dar es Salaam; January 20, 2020: Exim Bank Group finished the year 2019 with a bang. The Tanzania’s fifth largest bank by total assets has been recognized by a number of international awarding bodies.

Exim Bank Tanzania was awarded the ‘Best Investment Bank’ the fourth year in a row by the Global Banking and Finance Awards, Exim Bank Djibouti named the ‘Bank of the Year’ for 3 years in a row by the Banker Awards and Exim Bank Comoros being recognized as the ‘Best Innovation Bank.’

Commenting on the awards, Mr. Jaffari Matundu, the bank’s Chief Executive Officer said, “Exim Bank is pleased to have been recognized with these prestigious awards during this last business year. Our purpose is to drive Africa’s growth whilst offering appropriate financial solutions. These recognitions highlight our commitment to being more than a provider of financial products and services. We are a catalyst for economic change in our countries of operation by doing the right business the right way.” He said.

“Innovation is the drive of our bank and such recognitions are a testament to our commitment in pursuing better ways to deliver financial solutions across the Exim Bank Group.”

Mr. Matundu concluded by saying that these awards come with immense pride but more importantly, a self-challenge to go even further, of which, we gladly accept and boldly promise our customers to expect more than what we have been doing.”

BENKI YA EXIM YATOA MSAADA WA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI MKOANI IRINGA

Meneja wa Benki ya Exim tawi la mkoa wa Iringa, Bw Michael Richard (Katikati) akikabidhi msaada wa taulo za kike kwa Mlezi wa wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari ya Ruaha iliyopo mkoani humo Bi. Fatuma Tembo (kushoto kwake) ikiwa ni sehemu ya mpango wa benki hiyo wa uwajibikaji wa kwa jamii (CSR) unaofahamika kama Exim Cares. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.
Meneja wa Benki ya Exim tawi la mkoa wa Iringa, Bw Michael Richard (Katikati) akikabidhi msaada wa taulo za kike kwa Mlezi wa wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari ya Ruaha iliyopo mkoani humo Bi. Fatuma Tembo (kushoto kwake) ikiwa ni sehemu ya mpango wa benki hiyo wa uwajibikaji wa kwa jamii (CSR) unaofahamika kama Exim Cares. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na muwakilishi wa wanafunzi wa shule hiyo.
Maofisa wa Benki ya Exim tawi la mkoa wa Iringa, wakiongozwa na Meneja wa Tawi la benki hiyo mkoani humo Bw Michael Richard (Katikati) wakifurahi pamoja na wanafunzi Shule ya Sekondari ya Ruaha iliyopo mkoani humo baada ya kukabidhi msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi hao ikiwa ni sehemu ya mpango wa benki hiyo wa uwajibikaji wa kwa jamii (CSR) unaofahamika kama Exim Cares.
Maofisa wa Benki ya Exim tawi la mkoa wa Iringa, wakiongozwa na Meneja wa Tawi la benki hiyo mkoani humo Bw Michael Richard (Katikati) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi Shule ya Sekondari ya Ruaha iliyopo mkoani humo baada ya kukabidhi msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi hao ikiwa ni sehemu ya mpango wa benki hiyo wa uwajibikaji wa kwa jamii (CSR) unaofahamika kama Exim Cares.

VODACOM SAFEGUARDS BARRED CUSTOMER INFORMATION

Dar es Salaam; 21st January 2020: Vodacom Tanzania PLC has today announced that 157,000 of its customers have been barred from accessing services after failing to register their Sim Cards biometrically. This follows Tanzania Communications Regulatory Authority’s (‘TCRA’) order to all operators to switch off non-biometrically registered phone lines as of January 20, 2020.

Announcing today, Vodacom’s Managing Director - Hisham Hendi - urged customers affected by the move to visit Vodacom’s over 35,000 service points across the country in order to register their lines and continue using the company’s services. “Our shops in major towns will continue to stay open for 24 hours a day /7 days a week in order to accommodate customers who have National ID Numbers (NINs) and who want to biometrically register their lines in order to continue using our services including M-Pesa”. He added that only those customers that have received NINs from NIDA but have failed to register their lines ahead of the said deadline have been affected by yesterday’s exercise. “Given that the exercise to biometrically register one’s sim card is an ongoing one, those customers without NINs should visit a NIDA office close to them in order to get one and eventually biometrically register their sim cards at any of our service points to avoid any inconveniences” he added.

“As a public listed company Vodacom adheres to laws and regulations of the Government of Tanzania and it’s institutions. This regulation is important for all stakeholders as it makes for good practice around know your customer protections” he said.

Friday 17 January 2020

“BENKI YA I&M YAANZA MAADHIMISHO YA KUTIMIZA MIAKA 10 KWA KURUDISHA KWA JAMII YA ARUSHA ”

I&M Bank Tanzania CEO, Mr. Baseer Mohammed explaining about the Bank’s donation to the Minister of Education, Science, Technology and Vocational Training, Hon. Professor Joyce Ndalichako.
Minister of Education, Science, Technology and Vocational Training, Hon. Professor Joyce Ndalichako and Regional Commissioner of Arusha, Hon. Mrisho Gambo in smiles after receiving 100 desks and chairs from I&M Bank Tanzania.
Minister of Education, Science, Technology and Vocational Training, Hon. Professor Joyce Ndalichako and Regional Commissioner of Arusha, Hon. Mrisho Gambo in a group photo with representatives from I&M Bank and other regional leaders.
I&M Bank officials led by the Bank’s CEO Mr. Baseer Mohammed in a group photo with the students of Mrisho Gambo Secondary School.
A snapshot of desks and chairs donated by I&M Bank to the Mrisho Gambo Secondary School in Arusha.
Arusha, Tanzania – Benki ya I&M kupitia sera yake ya kurudisha kwa jamii “Corporate Social Responsibility” imetoa msaada wa meza na viti 100 ili kuboresha mazingira ya kujifunzia katika shule ya sekondari ya Mrisho Gambo iliyopo jijini Arusha. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi vifaa hivo mbele ya Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mh.Joyce Ndalichako, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya I&M Tanzania, Bw. Baseer Mohammed amesema Benki ya I&M inaitazama nchi ya Tanzania kiupekee katika kuchangia uchumi wa nchi za Afrika ya Mashariki na hivo wajibu wa Benki ya I&M kama sehemu ya jamii ya Tanzania ni kuhakikisha inachangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi kupitia utoaji wa huduma za kibenki kwa wateja wa reja reja, wafanyabiashara wadogo, wa kati na wakubwa.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AREJEA NCHINI TOKEA MSUMBIJI ALIKOMWAKILISHA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, KWENYE UAPISHO WA RAIS WA MSUMBIJI, FILIPE NYUSI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, jana Januari 16, 2020 amerejea nchini kutoka Msumbiji, ambako alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, ambaye pia alikuwepo katika msafara huo.

Thursday 16 January 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WATEULE 4 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Namibia. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo ya Mhe. Balozi Dkt. Modestus Francis Kipilimba baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Namibia. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020.

BOARD MEMBERSHIP VACANCY AT VODACOM TANZANIA PLC

LETSHEGO GROUP APPOINTS NEW GROUP CEO