Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 18 March 2024

MICHUANO YA KUFUZU UEFA EURO 2024 NDANI YA DStv


ANGLOGOLD ASHANTI PROMISES PRESIDENT SAMIA CONTINUED LEADERSHIP IN WOMEN'S EMPOWERMENT

The Minister of Information, Communication and Information Technology, Nape Nnauye, presented an award to Elizabeth Karua, Legal Counsel of Geita Gold Mining Limited (GGML), a subsidiary of Anglo Gold Ashanti, to recognise the contribution GGML has made by sponsoring the Citizen Rising Women Forum in Dar es Salaam.

AngloGold Ashanti, of which Geita Gold Mining Limited is a subsidiary, has pledged to support positive changes in women's participation, gender equality in the workplace, and employee relations, as promised to President Samia Suluhu Hassan.

These comments were made on International Women's Day by AngloGold Ashanti's Vice President for Sustainability & Corporate Affairs (Africa) at the Citizen newspaper's Rising Women Forum in Dar es Salaam.

The forum, held in parallel with the celebration of International Women's Day, highlighted the statement 'Invest in women, increase the speed of development.'

Furthermore, Shayo suggested that stakeholders and other companies collaborate with President Samia, who was an official guest at the forum, to elevate Tanzania as a country that sets an example in addressing gender inequality and making history.

"We thank you for continuing to show the way, we are very grateful to the Government for deliberately showing how women can participate in leadership positions, we have seen this in the cabinet, heads of regions, heads of districts, institutions and defense and security agencies," he said.

BENKI YA EXIM YAANDAA IFTAR KWA WATEJA WAKE

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Jaffari Matundu, akizungumza na wadau (hawapo pichani) katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na benki hiyo kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya benki na wadau wake wakiwemo wateja na jamii katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani katika tukio lililofanyika tarehe 15 Machi 2024 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar, akitoa pongezi kwa Benki ya Exim kwa kuandaa Iftar akielezea namna ambavyo imewaleta pamoja waumini wa dini ya kiislam kama ishara ya upendo, umoja na heshima kwa wadau wote katika hafla hiyo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (wa tatu kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar (watatu kulia) wakiwa na baadhi ya viongozi wa Benki ya Exim wakipata futari.
Wadau mbalimbali na wawakilishi wa Benki ya Exim wakifurahia Iftar iliyoandaliwa na benki hiyo kwa lengo la kuwaleta pamoja katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani kuashiria furaha, umoja, na upendo.
Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omar (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (watatu kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa benki hiyo.

Dar es Salaam, Machi 15 2024: Benki ya Exim imeandaa futari ya pamoja kwa wateja wake katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam mnamo tarehe 15 mwezi Machi 2024.

Mgeni Rasmi katika tukio hili alikuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar, akiwakilisha waumini wa dini ya Kiislam ambao wapo kwenye mfungo katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani.

Akizungumza katika hafla hiyo, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Sheikh Walid Alhad Omar, aliipongeza Benki ya Exim kwa juhudi zake katika kukuza maendeleo ya kijamii na kueleza shukrani zake kwa mchango wa benki hiyo kwa jamii. Alisema, “Benki ya Exim inaonyesha dhamira ya kweli katika kutumikia wateja wake na jamii kwa ujumla, lengo kuu la Ramadhani ni kuleta watu pamoja, na usiku huu, Benki ya Exim imehakikisha kuendeleza lengo hilo kwa vitendo”.

Friday 15 March 2024

PANDA TUKUPANDISHE USIKOSE MAN UNITED vs LIVERPOOL



Mteja wa Bomba apande alipe Shangwe TShs. 37,000 tu apandishwe Compact afurahie game hii!

Kulipia piga *150*53#

Ofa hii ni kwa wateja wote waliokatika na ambao hawajakatika.

#PandaTukupandishe
#SokaniDStv
#Unakosaje


Follow @dstvtanzania kujua ratiba za mechi au ofa zinazoendelea.

Thursday 14 March 2024

GEITA GOLD MINING LAUNCHES “GGML LADIES MENTORSHIP PROGRAMME"

GGML’s Finance Officer, Joscar Rumanyika, explains benefits of the mentorship programme to students at Kalangalala Secondary School. GGML is launching it's extended mentorship programme as part of the company's events to mark International Women's Day.
Senior Training Officer from the Human Resources Department from GGML, Lina Sitta explains benefits of the mentorship program to students of Kalangalala Secondary School.

Geita Gold Mining Limited (GGML) is pleased to announce the relaunch of its highly successful “GGM Ladies Mentorship Programme” after a one-year hiatus. The program is back and better than ever, with an expanded reach that aims to empower young people beyond Kalangalala Secondary School.

This initiative will now extend to Geita secondary schools, reaching more schools in the Geita region.


During a recent visit to Kalangalala Secondary School in the Geita region, Hadija Kisatu, one of the 'GMM Ladies', a group of female employees at Geita Gold Mine, spoke to students about the mentorship program.

The program was conceived by the group in 2021 and spearheaded by Kisatu and her colleagues, before being launched the following year.


The initiative began when the group identified a shortage of mining experts available for employment by mines in Geita, the lake area, and secondary schools.

NMB YAIMARISHA MFUMO KWENYE UTOAJI WA MIKOPO KWA WANAFUNZI


Benki ya NMB imekamilisha zoezi la kuunganisha mfumo wake mkuu wa kibenki na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya dhamira ya benki hiyo kuimarisha utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.

Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wanafunzi katika vyuo vikuu kupata bidhaa za kibenki zenye hali ya juu ya usalama, ufanisi na uvumbuzi.


Akizungumza wakati wa kongamano lililofanyika jijini Dar es Salaam lililoandaliwa na Bodi ya Mikopo na kuwakutanisha wadau mbalimbali wa elimu chini, Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi alisema mfumo huo kwa kiwango kikubwa umerahisisha utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.

“Wanafunzi sasa wataweza kufurahia huduma za kibenki bila matatizo baada ya kuunganishwa kwa mfumo mkuu wa benki ya NMB na Bodi ya Mikopo. Muunganisho huu utahakikisha kuwa mikopo sasa inatolewa kwa wanafunzi kwa haraka na kwa urahisi zaidi,” Mponzi alisema.


Aliwataka wanafunzi wa vyuo vikuu kufungua akaunti na benki yake ilikunufaika na faida lukuki zikiwemo mikopo ya papo kwa papo yenye masharti nafuu kuanzia shilingi elfu moja hadi shilingi laki 5.

Mponzi wakati wa kongamano hilo alisisitiza dhamira ya benki hiyo kuendelea kufanya kazi kwa karibu na Serikali pamoja na taasisi za elimu nchini ili kusaidia maendeleo ya sekta ya elimu kuanzia ngazi ya chini.

“Sekta ya elimu ni miongoni mwa vipaumbele vyetu muhimu. Ili kusisitiza dhamira yetu ya kusaidia elimu ya juu, mwaka jana tulitenga mikopo ya shilingi bilioni 200 kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kufuatia majadiliano ya karibu na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,” Mponzi alisema.

Aliongeza, “Wanafunzi wanaweza kuomba mikopo kuanzia shilingi laki mbili hadi hadi shilingi milioni 10 kwa riba nafuu ya asilimia 9 tu.”

ECOBANK YATOA SEMINA KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

Mkurugenzi Mtendaji wa Ecobank Tanzania, Charles Asiedu akizungumza na Wanawake Wajasiriamali wadogo, wakati na wakubwa wakati wa kufungua semina ya mpango maalum ujulikanao kama ‘Ellevate by Ecobank’ iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Ecobank Tanzania, Furaha Samalu akiwakaribisha wanawake wajasiriamali kwenye semina ya mpango maalum ujulikanao kama ‘Ellevate by Ecobank’ .
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Ecobank Tanzania, Joyce Ndyetabura akizungumza kuhusu huduma zinazotolewa na benki hiyo kwa wanawake pamoja na wajasiriamali waliofika kwenye semina hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo na Kati (SME) wa Ecobank Tanzania, Juma Hamisi akizungumza kuhusu namna ya kufungua akaunti kwenye Benki hiyo.
Mkufunzi ambaye ni Mkuugenzi wa Kampuni ya TAPBDS, Joseph Migunda akitoa mafunzo ya ujasiriamali na namna wanavyoweza kuimarika katika ukuzaji wa mitaji kwenye mauzo na ununuzi.

Ecobank Tanzania imeendesha semina ya mpango maalum ujulikanao kama ‘Ellevate by Ecobank’ wenye lengo la kuwasaidia na kuwainua Wanawake Wajasiriamali wadogo, wakati na wakubwa katika masuala mbalimbali ya kifedha na kuwaongezea kipato ili waweze kumudu biashara zao na kuinua vipato vyao.

Mpango huo ni maalum kwa Benki hiyo kuwaelimisha Wanawake hao jinsi ya kufanya biashara hizo sambamba na kuwapa mikopo kwa bei nafuu. Ili kuwa na vigezo ni lazima Wanawake hao Wajasiriamali wawe na Leseni za Biashara na kufungua Akaunti katika Benki hiyo.

Akizungumza wakati wa kufungua Semina hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Ecobank Tanzania, Charles Asiedu amesema mpango huo ni maalum ambao utawafikia wanawake wajasiriamali wengi na kuongeza mtaji wao, kupata faida na kujinua kiuchumi.

Pia amesema Ecobank imeanzisha mfumo maalum wa kuwaunganisha wafanyabiashara mabalimbali barani Afrika ujulikanao kama "Trade hub" wanatumia Benki hiyoikiwa na lengo la kupanua wigo wa biashara zao ili kuweza kutanuka kimasoko kimataifa na kuwakutanisha wafanyabiashara mabalimbali ili kuweza kuuza na kununua bidhaa mbalimbali kupitia huo mfumo.

Amesema kutokana na Takwimu za Benki hiyo zaidi ya asilimia 95 ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa hapa Tanzania ni asilimia 54 zinayomilikuwa na wanawake hivyo mpango huo utaweza kuwainua wanawake wengi ili kuweza kujitegemea kwenye mitani ikiwemo na kukua kiuchumi

Wednesday 13 March 2024

UNA DStv SHANGWE? LIPIA COMPACT TUKUPE COMPACT PLUS


EXCITING CAREER OPPORTUNITIES AT AIR TANZANIA COMPANY LIMITED


Air Tanzania Company Limited (ATCL) is expanding its network to meet the strategic business needs which focus on sustaining the recorded achievements and remaining an airline of choice that meets and exceeds customers’ expectations in line of its mission of provision of reliable, safe and high-quality services. Therefore, applications are invited from qualified Tanzanians to fill the following positions;
  • Captain (30 vacancies)
  • First Officer (14 vacancies)
  • Senior Internal Auditor (1 vacancy)
  • Sales & Marketing Officer I - TLO, Cargo & Ground Handling (1 vacancy)
  • Safety Officer II - Enviromental (1 vacancy)
  • Aircraft Maintenance Engineer II (5 vacancies)
  • Planning & Development Engineer II (15 vacancies)
  • Ground Support Technician II (3 vacancies)
  • Aircraft Cleaner II (5 vacancies)
  • Safety Officer II (1 vacancy re-advertised)

Terms and conditions

Ten (10) years contract with attractive remuneration and fringe benefits as per ATCL Salary Structure and Incentive Scheme.

Mode of application for all applicants
Interested applicants must submit a dully signed letter for consideration of the applications attached with the following: 
  • A curriculum vitae (CV).
  • Certified copies of all certificates (including secondary school, birth certificates), other relevant certificates, Applicants who have studied outside Tanzania should have their certificates approved by relevant authorities Tanzania Commission for University (TCU) or National Examination Council- NECTA).
  • Two recent passport size photographs.
  • Name and address of at least two reputable referees.
  • Applicants from Public Service should route their applications through their employers.
  • Applicant’s reliable contact address, email address and telephone number.
Note
Misrepresentation of qualifications or any other information on application shall warrant legal consequences

Closing dates
The application letters should reach the undersigned within fourteen (14) days from the first date of this announcement.

Managing Director & Chief Executive Officer,
Air Tanzania Company Limited,
P.O. Box 543,
Dar es Salaam.

Issued on: 6th March 2024.

ATCL is an equal opportunity employer. Women are encouraged to apply. Misrepresentation of qualifications or any other information on application shall warrant legal consequences.

WHY INVEST IN THE TANGA WATER GREEN BOND?


By Godwin Semunyu

Welcome to the Tanga Water Green Bond

Tanga, a city brimming with potential, faces a pivotal challenge - providing its growing population with the necessity of clean water. Currently, only a fraction of Tanga's residents have access to clean water and sewage networks, underscoring the urgent need for infrastructure upgrades.

In response to this pressing challenge, the Tanga Urban Water and Sanitation Authority (Tanga UWASA) has devised an ambitious plan for the refurbishment of aging facilities, expansion of treatment plants, and implementation of advanced metering systems. TangaUwasa aims to meet current demands and prepare for future growth.

To finance these crucial initiatives, TangaUwasa has forged a partnership with the United Nations Capital Development Fund (UNCDF) to introduce the "Tanga Water Green Bond" - an innovative financial instrument aimed at raising TZS53.12 billion to foot the demands.

Why Invest in the Tanga Water Green Bond?

This bond offers investors a compelling opportunity. With a 10-year duration and a competitive interest rate of 13.5%, it promises attractive semi-annual returns. Available through all NBC Bank branches and agents of the Dar es Salaam Stock Exchange Countrywide, it symbolizes dedication to sustainable development while ensuring lucrative financial gains for investors.

Where Will Your Investment Go?

Proceeds from the Tanga Water Green Bond will fuel impactful initiatives. These include expanding water production and treatment capacity, bridging the demand gap, reducing Non-Revenue Water through infrastructure rehabilitation, extending water service coverage, and installing prepaid metering systems for equitable distribution.

Investing for Sustainability

Investing in the Tanga Water Green Bond transcends mere financial returns—it represents a commitment to sustainability. By supporting environmental conservation, climate action, and water generation for industrial growth, this bond aligns with Environmental, Social, and Governance commitments and United Nations millennium development goals. It's not just an investment; it's a statement in favor of responsible planet stewardship.

Join Us in Shaping the Future

In an era where sustainability is paramount, the Tanga Water Green Bond presents a unique opportunity to invest in a brighter future. By combining economic benefits with community well-being and environmental goals, this bond represents the promise of financial instruments crafted for tomorrow. Join us in shaping a sustainable and prosperous future for generations to come.

Invest in the Tanga Water Green Bond and be a part of the solution.

Godwin Semunyu is the Head of Corporate Affairs at NBC Bank. The Bank (NBC) is also the Lead Transaction Advisor of the Tanga Green Bond proceedings. He can be reached through: godwin.semunyu@nbc.co.tz

Tuesday 12 March 2024

KLM LEVERAGING AI TO REDUCE FOOD WASTE ON FLIGHTS

  • Using the TRAYS AI model, developed specifically for KLM, 63% less food is wasted per passenger
  • The AI model predicts flight meal needs starting 17 days to departure and up to 20 minutes before take-off
Nairobi, Kenya, 20 February 2024: KLM is working on using AI to minimize food waste by accurately estimating meal quantities for each flight, considering the 3-5% of passengers who either don't show up or arrive late.

TRAYS, KLM's new AI model, is tailored for catering, forecasting passenger numbers based on historical data. The Meals On Board System (MOBS) then uses these predictions to provide separate forecasts for the Business, Premium Comfort, and Economy classes.

The prediction using the AI model starts 17 days before departure and continues until 20 minutes before the flight departs. This means that the most accurate possible number of passengers is predicted for the entire catering process from purchasing to loading, thus preventing a surplus of meals.

The TRAYS model was launched at the end of last year by Kickstart AI, assembling talent from leading companies, including KLM, bol, Ahold Delhaize, NS and ING.

“We are pleased that we have been able to make a valuable contribution to this important project for KLM. Our goal with Kickstart AI is to accelerate the adoption of AI in the Dutch business community and we look forward to working closely with Dutch companies to make this happen,” said Sander Stomph, the CEO and co-founder of Kickstart AI.

PANDA TUKUPANDISHE UFURAHIE ARSENAL vs FC PORTAL NDANI YA DStv


Tusisahau ofa ya panda tukupandishe, mteja wa Shangwe apande alipe Compact TShs. 60,000 apandishwe Compact Plus aweze kufurahia.

#pandatukupandishe
#unakosaje
#sokanidstv

Kulipia piga *150*53#

Ofa hii ni kwa wateja wote waliokatika na ambao hawajakatika.

Follow @dstvtanzania kujua ratiba za mechi zinazoendelea.

VODACOM YASHIRIKI MKUTANO WA 21 WA TAASISI ZA KIFEDHA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni akizungumza wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha. Vodacom Tanzania inajivunia kuleta huduma jumuishi za kifedha nchini kwa miaka 15 sasa ikitumiwa na Watanzania zaidi ya milioni 20.
Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (katikati) akizungumza wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha. 

Washiriki wakiendelea na mijadala wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha.
Washiriki wakifuatilia mijadala wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha.

ABSA GROUP REPORTS RESILIENT EARNINGS IN TOUGH ENVIRONMENT

Arrie Rautenbach, Absa Group Chief Executive Officer.

Friday 8 March 2024

HOW GEITA GOLD MINING EMPLOYS MORE WOMEN IN THE MINING SECTOR

The Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, Jerry Silaa presenteS an award to Janeth Luponelo, Resource Evaluation Manager at GGML, a subsidiary of AngloGold Ashanti, for the company's contribution to gender issues. Also present were the Minister for Minerals - Anthony Mavunde; Kagera Regional Commissioner - Fatma Mwassa; Morogoro Regional Commissioner - Adam Malima and Simon Shayo - Sustainability & Corporate Affairs (Africa) at AngloGold Ashanti.

According to Simon Shayo, Vice President, Sustainability & Corporate Affairs (Africa) at AngloGold Ashanti, the development and implementation of policies and guidelines that promote gender equality in the workplace is critical to increasing the number of women employed in the mining sector.


These comments were made while delivering a speech during the Pre-International Women's Day (PreIWD) celebrations in Dar es Salaam.

Globally, women's participation in the mining sector is estimated to be between 14% and 16%. Shayo noted that Geita Gold Mining Limited (GGML), a subsidiary of AngloGold Ashanti, has a female workforce that is on par with the industry average.


Shayo said 13 percent of GGML's workforce is currently female, but if you look at women's participation in the mining sector globally, statistics show that it is between 14 and 16 per cent.

"So we are not doing anything wrong. We have been operating the mine without the presence of women in high management positions, but now there are some who have crossed borders and become managers of the sector in various companies abroad," he said.


He said that GGML's policies and guidelines have not only increased the number of women involved in the mine's activities, but have also changed the characteristics of the men present in the company, who have realised the importance of women's presence in the mining sector.

PANDA TUKUPANDISHE USIPITWE NA LIVERPOOL vs MAN CITY


Mteja wa Bomba Changamkia ofa ya #pandatukupandishe kwa kulipia kifurushi cha Shangwe TShs. 37,000 tu na @dstvtanzania watakupandisha kifurushi cha Compact usipitwe!

Kulipia piga *150*53#

Ofa hii ni kwa wateja wote waliokatika na ambao hawajakatika.

#sokanidstv
#unakosaje

Kwa ofa zaidi follow @dstvtanzania usipitwe.

GWAJIMA APPLAUDS GGML GRADUATES OF ATE FEMALE FUTURE PROGRAMME

One of this year's graduates of ATE's Female Future Programme, Kulwa Nyirenda, who works for GGML as a Coordinator II - Vendor Prequalification, receives a certificate from the Minister for Social Development, Gender, Elderly and Children, Dr. Dorothy Gwajima (third left). Second left is the Deputy Minister, Prime Minister's Office (Labour, Youth, Employment & Persons with Disability), Patrobas Katambi.  Also pictured from left to right are; ATE Vice Chairperson, Imelda Lutebinga, ATE Past Chairperson, Almas Maige and Professor Lucky Yona, Lecturers at the Eastern and Southern African Management Institute - ESAMI.
One of this year's graduates of ATE's Female Future Programme, Zuhura Khamis who works for GGML as a Senior Software Engineer, receives a certificate from the Minister for Social Development, Gender, Elderly and Children, Dr. Dorothy Gwajima (third left). Second left is the Deputy Minister, Prime Minister's Office (Labour, Youth, Employment & Persons with Disability), Patrobas Katambi.

Five female employees from Geita Gold Mining Limited (GGML), a subsidiary of AngloGold Ashanti, have graduated from the much coveted Female Future Programme, and have been urged to use the skills and knowledge they have gained to make a difference in the companies they work for and in their communities.


The training organised by the Association of Tanzania Employers (ATE) is now in its ninth year since its establishment in 2016. It is designed to equip women with the skills and abilities necessary to hold high leadership positions in their companies.


During the ninth graduation of the training programme, which included 76 graduates, the Ministry of Social Development, Gender, Elderly and Children, Dorothy Gwajima, congratulated the companies that sponsored their female employees for participating in the training who yesterday was present at the graduation ceremony in Dar es Salaam.

Wednesday 6 March 2024

PANDA TUKUPANDISHE USIKOSE REAL MADRID vs RB LEIPZIG


Mteja wa Shangwe Changamkia ofa ya #pandatukupandishe kwa kulipia kifurushi cha Compact TShs. 60,000 tu na @dstvtanzania watakupandisha kifurushi cha Compact Plus usipitwe!

Kulipia piga *150*53#

Ofa hii ni kwa wateja wote waliokatika na ambao hawajakatika.

#sokanidstv
#unakosaje


Kwa ofa zaidi follow @dstvtanzania usipitwe.

MIRADI YA MAJI, USAFI WA MAZINGIRA YA SBL YAWAWEZESHA WANAWAKE

Mkuu wa Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza, Mhe. Rachel Kassanda akimkabidhi cheti mmoja wa wanufaika wa mafunzo ya ujasiriamali na utunzaji wa vyanzo vya maji kwa wanawake yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Serengeti Breweries yaliyofanyika tarehe 5 March 2024.
Mkuu wa Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza, Mhe. Rachel Kassanda, akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Mwanamke Duniani na mafunzo ya WASH kwa wanawake wa kijiji cha Kabila.
Wakazi wa kijiji cha Kabila Wilayani Magu Mkoani Mwanza, wakiwa na vyeti vyao baaada ya kukabidhi walipomaliza mafunzo ya ujasiriamali na utunzaji wa vyanzo vya maji kwa wanawake yaliyodhamini na Kampuni ya Serengeti Breweries mwishoni mwa mwezi Februari 2024. Tukio hili la kukabidhi vyeti lilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Rose Kassanda.

Mwanza, 5 Machi 2024: Kampuni ya bia ya Serengeti imeendeleza juhudi zake za kuimarisha upatikanaji wa huduma za maji, usafi wa mazingira, na usafi (WASH) kwa wanawake sambamba na mipango ya serikali ya kuimarisha upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo ya vijijini.

Katika dhamira yake ya kutimiza lengo hili, SBL imedumisha miradi yake jumuishi nchini ili kuwapa watu maji safi na salama. SBL imetoa ufadhili wa huduma nyingine muhimu ya WASH inayolenga hasa kuwawezesha wanawake na wasichana katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza, katika mradi mkubwa unaojulikana kama Mradi wa Maji wa Kabila.

Mradi huu unafanywa kwa ushirikiano na Africa Community Advancement Initiative (AFRIcai), NGO inayojihusisha na afya, elimu, na maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika jamii mbalimbali za Kitanzania. Ushirikiano huu wa kimkakati unalenga kuondoa uhaba wa maji kwa kuwapatia maji safi na salama wananchi 11,927 katika vitongoji vitano vya Ilambu, Mlimani, Igogo, Shuleni na Majengo.

ABSA LAUNCHES "ABSA SHE BUSINESS ACCOUNT" TO EMPOWER WOMEN

Bank of Tanzania (BOT) Deputy Governor, Ms. Sauda Kassim Msemo (first right), presses a button to symbolize the launch of "Absa She Business Account" at a function in Dar es Salaam. Third right is Absa Bank Tanzania Managing Director, Obedi Laiser along with other senior officials from Absa and BOT.
A call has been issued to banks and financial institutions in the country to work with high professionalism, adhering to laws, regulations, procedures, and guidelines, including banking ethics, in providing services to ensure efficiency.

This call was made by Deputy Governor of the Bank of Tanzania, Ms. Sauda Kassim Msemo in Dar es Salaam, during the official launch of Absa Tanzania women entrepreneurs' account named "Absa She Business Account", and emphasized that the launch of this account aligns with efforts of the sixth-phase government to ensure that more citizens have access to financial services.

“The sixth-phase government, under leadership of Her Excellency, Mama Samia Suluhu Hassan, is working on driving financial inclusion among Tanzanians, especially those living in rural areas where financial institutions are limited. ‘The government is also working very hard on supporting financial inclusion, especially for women. I am very happy that the "Absa She Account" that we are launching today matches government efforts and has come at the right time, empowering women in Tanzania, which is something to appreciate,’ said Ms. Sauda.

She added, ‘The Absa She Business Account is structured in a way that there are neither monthly nor transaction fees. This is another way of attracting women in business to open and operate bank accounts and use the fees that were to be charged to increase their capital.’

Tuesday 5 March 2024

NMB YAUNGA BENKI NYINGINE 17 KWENYE MTANDAO WAKE WA ATM


Ushirikiano wa Benki ya NMB na UBX inayounganisha Benki 17 kwenye mtandao wake wa Umoja Switch umeiwezesha Benki ya NMB kuunganisha benki hizo 17 kwenye mtandao wake wa mashine za kutolea fedha (yaani ATM interoperability).


Ushirikiano huu unalenga kuongeza wigo wa upatikanaji wa mashine za ATMs na kupunguza gharama za miamala ya ATM kwa wateja wa Benki hizi, na Watanzania kwa ujumla.


Kupitia ushirikiano huu wa Benki ya NMB na UBX, Watanzania watanufaika na mambo yafuatayo:
  • Upatikanaji wa Huduma za ATM - Wateja wa Benki zote 17 za Umoja Switch na wateja wa Benki ya NMB watakuwa na uwezo wa kufanya miamala na kupata huduma za kibenki wakati wowote kupitia mtandao wa ATMs zaidi ya 700 za NMB zinazopatikana nchi nzima na ATMs za Umoja Switch (zaidi ya 280) na hivyo kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma.
  • Unafuu wa Gharama kwa Wateja - Ushirikiano huu unaongeza ufanisi na kuleta unafuu mkubwa wa gharama za miamala ya ATM. Gharama za miamala ya ATM kwa wateja wa Benki hizi 17 waliokuwa wanatumia ATM za NMB na wateja wa NMB waliokuwa wanatumia ATM za benki hizi zinaenda kupungua kwa zaidi ya asilimia 70%.
  • Ujumuishwaji wa Kifedha – Ushirikiano huu utaongeza matumizi ya kadi kwenye ATM nchini na kupunguza foleni matawini – hii ni njia mbadala ya kuongeza ujumuishaji rasmi wa kifedha nchini.
  • Ufanisi wa Mabenki - Benki shiriki zitaweza kufikia maeneo yaliyo mbali na ambayo hapo awali ilikuwa vigumu kwa taasisi moja kuyafikia kwa kuweka ATM.
  • Unafuu wa Gharama kwa Mabenki - Ushirikiano huu pia, unakwenda kupunguza gharama za uendeshaji kwa benki shiriki. Miamala yote inayofanyika nchini haitakuwa na ulazima tena wa kupitia nje ya nchi, miamala hii itakamilishwa ndani ya mtandao wa NMB na UBX na hivyo kupunguza gharama kubwa za uendeshaji tulizokuwa tukilipa awali, hasa gharama za fedha za kigeni kwa ajili ya kuweka dhamana kwenye taasisi za nje zilizokuwa zinatoa huduma za mtandao kwa ajili ya kukamilisha miamala hii.
Hii ni mara ya kwanza kwa makubaliano ya namna hii kufanyika na hivyo makubaliano haya yanaandika historia mpya katika sekta ya kifedha nchini Tanzania


Akiongea kwenye hafla hiyo Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB - Bi. Ruth Zaipuna alisema: “Nina Imani ya kuwa ushirikiano huu utakuwa mwanzo na chachu ya mashirikiano mengine mengi na ya kimkakati katika sekta yetu ya kibenki nchini Tanzania kwa manufaa ya wateja wetu na Watanzania kwa ujumla. Kupitia mashirikiano ya kimkakati kama haya tutaweza kupiga hatua zaidi katika utoaji wa huduma nafuu, rahisi na salama za kibenki kwa watanzania wote, na hivyo kuchochea ukuaji wa kiuchumi wa mtanzania mmoja mmoja na taifa letu kwa ujumla.”