Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 27 October 2020

VODACOM TANZANIA PLC YAZINDUA DUKA LA KISASA MTAA WA MSIMBAZI KARIAKOO LITAKALOWEZESHA WAFANYABIASHARA KUPATA HUDUMA MBALIMBALI

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la kampuni hiyo lililopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya Vodacom nchini. Kulia ni Meneja wa maduka ya rejareja Vodacom, Vanessa Mlawi.

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kisasa la kampuni hiyo lililopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya Vodacom nchini.

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akimkabidhi zawadi mteja wa Vodacom, Christina Swai mkazi wa Arusha kwa kutumia mtandao huo kwa muda wa miaka 20 ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 20 ya Vodacom nchini.
Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akimkabidhi zawadi mteja wa Vodacom, Ashley Mwakilasi mkazi wa Kawe kwa kutumia mtandao huo kwa muda wa miaka 20 ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 20 ya Vodacom nchini.

FAIDA YA BENKI YA NMB YAPANDA KWA ASILIMIA 76 KATIKA KIPINDI CHA ROBO YA TATU YA MWAKA 2020

Benki ya NMB imepata ongezeko la asilimia 76 la faida kabla ya kodi kwa kipindi kilichoishia Septemba 30, 2020.

Kwa miaka mitano sasa, Tanzania imeshuhudia ukuaji imara wa uchumi uliowezeshwa na sera thabiti za kiuchumi za Serikali ya awamu ya Tano. Maendeleo haya ya kiuchumi, mazingira rafiki ya kibiashara, pamoja na utekelezaji mzuri wa mikakati ya benki ya NMB ni sababu kuu zilizopelekea ongezeko hili la faida katika robo ya tatu ya mwaka 2020. Katika kipindi hiki faida kabla ya kodi ya Benki ya NMB imepanda kwa 76% kutoka Shilingi bilioni 118 katika robo ya tatu ya mwaka 2019 hadi shilingi bilioni 208 mwaka huu, wakati faida baada ya kodi ikipanda kutoka shilingi bilioni 82 hadi shilingi bilioni 145 ambayo ni sawa na ongezeko la 77%.

Pia katika kipindi hiki, mkakati wa Benki ya NMB wa kukuza vyanzo vya mapato umejidhihirisha kwa ongezeko la mapato yatokanayo na uendeshaji kwa 14% kutoka bilioni 527 katika robo ya tatu mwaka 2019 hadi bilioni 600 katika robo ya tatu ya mwaka huu (2020). Katika kipindi hiki pia programu za Benki za kudhibiti gharama za uendeshaji na matumizi ziliimarishwa na kusababisha uwiano mzuri wa gharama na mapato kwa 52%.

Vile vile, Benki ya NMB kama mwezeshaji mkubwa wa maendeleo na uchumi nchini, imeweza kukuza rasilimali zake kwa 15% kutoka shilingi trilioni 6.1 kipindi kama hiki mwaka jana hadi trilioni 7 katika robo ya tatu ya mwaka 2020; hili limesababishwa na ongezeko la amana za wateja kwa 15% na ongezeko la mikopo kwa wateja la 16%.

NMB BANK PLC PROFITS UP BY 76% IN Q3 2020

NMB Bank Plc. (“NMB”) has recorded a 76% increase in profits for the period ended 30th September 2020.

Over the last five years, the country has experienced a period of sustained economic growth underpinned by accommodative monetary and fiscal policies. It is on the back of this favorable business operating landscape, coupled with successful implementation of the Bank’s strategic initiatives that has let to NMB’s enhanced profitability growth in the Quarter Ending September 2020.

During this Quarter, the Bank’s Profit before Tax surged by 76% from TZS 118 billion in Q3 2019 to TZS 208 Billion in the same period, while Profit after Tax increased from TZS 82 Billion in Q3 2019 to TZS 145 Billion, a 77% increase Year on Year.

Additionally, during this period the Bank’s strategy to grow its strategic income streams was further re-affirmed with a growth of operating income of 14% from TZS 527 Billion in Q3 2019 to TZS 600 Billion in Q3 2020. The Bank’s efficiency program and disciplined cost management efforts are also trending well, leading to an improved Cost to Income ratio of 52%.

Further, confirming the Bank’s growing reputation as an economic development financier, NMB Bank’s total assets grew by 15% to TZS 7.0 Trillion in Q3 2020 up from TZS 6.1 Trillion in Q3 2019 and this was supported by growth of both Customer Loans & Customer Deposits by 16% and 15% respectively.

The Bank also achieved a notable improvement in the quality of the loan book leading to a reduction in loan impairment charges by 22% YoY.

Monday 26 October 2020

NI WIKI NYINGINE NDANI YA MICHUANO YA LIGI KUU YA MABINGWA ULAYA (UEFA)

Ni wiki nyingine ndani ya michuano hii ya Ligi kuu ya mabingwa ulaya (UEFA), na wiki hii soka ndio limenoga, tukianza na mechi za Jumanne wakali wa hizi kazi Real Madrid watakua na mechi ya ugenini dhidi ya B Mgladbach, huku Livepool akikipiga dhidi ya FC Midtjylland...

Jumatano sasa mashabiki wa Man United najua mnaelewa kilichotokea wiki iliyopita PSG walipopigwa za uso, Je tutegemee matokeo yapi Man United akikipiga dhidi ya RB Leipzig... Na kubwa kuliko ni mechi kati ya Juventus dhidi ya Barcelona….

Piga sasa *150*53# au kupitia app ya My DStv kulipia kifurushi chako mapema cha Compact Plus TShs 89,000 tu.

Piga sasa 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi.

TANZANIA’S TELECOMS SECTOR: A POWERFUL FORCE FOR POSITIVE ECONOMIC CHANGE

The scale of technological change continues to unfold at a dramatic pace. Today, many of the advances in mobile-assisted technology would have not been imaginable at the beginning of the 21st century.

As these advances take place, it is not surprising that the overall data traffic is on the rise and is set to continue to increase in years to come. For example, research released by the United Nations Conference on Trade and Development suggests that global data traffic is set to increase from 46,000 GB per second in 2017 to 150,700 GB per second by 2022.

Given Africa’s young and growing population, it is easy to see how these countries’ citizens will play a significant part in the upward trajectory of global data traffic.

For Tanzania specifically, it is fair to say that digitalization has emerged a key trend for a number of years now. Indeed, the country has seen its digital landscape grow from strength to strength as more and more people seek to take advantage of the benefits that digital tech affords.

VODACOM TANZANIA PLC YADHAMINI MAFUNZO YA WOMEN IN DATA SCIENCE DAR ES SALAAM 2020 YALIYOWASHIRIKISHA WANAFUNZI WA KIKE TOKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI NCHINI

Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi akiongea na wahitimu wa mafunzo ya ubunifu wa Website “ Women in Data Science Dar es Salaam 2020" yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC kupitia programu yake ya Code like a girl yaliyowashirikisha wanafunzi wa kike jijini Dar es Salaam.
Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi akibidhi zawadi ya begi kwa Shamimu Mbaga ambaye ni mkuu wa kundi la Mwalimu Careers Campany akiwa na wenzake mara baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika mafunzo ya ubunifu wa Website “ Women in Data Science Dar es Salaam 2020" yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC kupitia programu yake ya Code like a girl yaliyowashirikisha wanafunzi wa kike jijini Dar es Salaam.
Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi (kulia) akimkabidhi cheti cha kuitimu mafunzo ya Women in Data Science Dar es Salaam 2020 kwa Alistidia Lusonzi wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa sekondari toka shule mbalilmbali nchini wakionyesha vyeti vyao vya kuhitimu mafunzo ya ubunifu wa Website Women in Data Science Dar es Salaam 2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC.

Sunday 25 October 2020

TWIGA A TRIUMPH OF PARTNERSHIP

Barrick President and Chief Executive, Mark Bristow addresses a media conference in Dar es Salaam, Tanzania on 23rd October this year about the success story of Twiga Mineral Corporation. Twiga is a joint venture between Barrick and the Government of Tanzania.
Members of international and Tanzania local media at work during the Barrick President and Chief Executive, Mark Bristow press conference in Dar es Salaam on 23rd October this year. Twiga is a joint venture between Barrick and the Government of Tanzania.

Dar es Salaam, Tanzania, 23 October 2020 – Barely a year after it was established, Twiga Minerals Corporation has demonstrated the value-creating capacity of a true partnership between a mining company and its host nation, Barrick president and chief executive Mark Bristow said here today at a press briefing following his quarterly mine visits.

Twiga is a joint venture between Barrick and the Government of Tanzania, and oversees the management of Barrick’s assets in the country as well as the implementation of the economic benefit-sharing agreement. It was formed when Barrick took over the operations of the former Acacia Mining in September last year and subsequently entered into a framework agreement with the government. In terms of the agreement, Barrick will pay the government $300 million to settle past disputes with Acacia.

In addition to the first $100 million tranche of the settlement, Barrick’s assets in Tanzania have since paid more than $200 million to the government in taxes and royalties, and last week Twiga declared a maiden interim dividend of $250 million.

“The fact that so much value has been delivered in such a short time is a tribute to the power of what I believe is the first partnership of its kind in Africa. With the framework agreement now fully implemented, we have settled most of the landowner disputes and are well on our way to ensure that we are fully compliant with our environmental permits as well as with the government’s local content legislation,” Bristow said.

JUMAPILI HII ARSENAL KUKIPIGA DHIDI YA LEICESTER CITY. NANI KUIBUKA NA USHINDI?

 

Jumapili hii michezo ⚽⚽ #EPL inaendelea kuwa 🔥🔥🔥 .... Arsenal kukipiga dhidi ya Leicester City... Nani kuibuka na ushindi?

Tazama mtanange ndani ya SS Premier League, 223 saa 4:15 usiku kwenye kifurushi cha Compact pekee...

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako mapema au 0659 07 07 07 kujiunga kwa urahisi.

Saturday 24 October 2020

CONDOLENCES KEN COCKERILL, FORMER CHIEF EXECUTIVE, STANBIC BANK TANZANIA

 

ABSA BANK TANZANIA DONATES TSHS 10 MILLION TO SUPPORT PACT WASH PROJECTS

Absa Bank Tanzania Director of Finance, Obedi Laiser (second left), hands over a dummy cheque for TShs 10 million to Pact Tanzania Country Director, Marianna Balampama in Dar es Salaam yesterday. Looking on from left are; Absa Bank Marketing and Corporate Relations Head, Aron Luhanga and the bank's Acting Corporate Director, Nellyana Mmanyi.

Absa Bank Tanzania has donated TShs 10 million to Pact Tanzania in support of WASH projects post the pandemic Covid 19.

Speaking about the donation, the bank’s Finance Director, Mr. Obedi Laiser, said “We realize that this has been the most difficult time for most of our communities and businesses whose financial means are being negatively affected. As such, being responsible financial partners we are happy to support our communities through Pact Tanzania in order to continue bringing their possibilities to life despite the present challenges.

The bank’s Head of Marketing and Corporate Relations, Mr. Aron Luhanga added by saying “Our passion for our communities is as strong as ever and our commitment to serve and protect them is unwavering. This is why we continue to invest in their wellbeing as we adhere with the guidelines and protocols set out by the Ministry of Health”.

Along this donation, the bank’s Acting Corporate Director, Ms. Nellyana Mmanyi said, “apart from this donation, Absa Bank Tanzania implemented a payment holiday programme to its customers spanning across Retail, Business Banking, and Corporate and Investment Banking segments.

Friday 23 October 2020

WELCOME TO THE DECK KITCHEN & BAR FOR KARAOKE NIGHT

MINISTER JAFO COMMENDS DCB COMMERCIAL BANK PLC AS SHAREHOLDERS RECEIVE SH500 MILLION DIVIDENDS

Minister of State in the President's Office, Regional Administration and Local Government, Selemani Jafo (centre), presents a dummy cheque worth 138.6 million as dividend from DCB Commercial Bank PLC to Temeke District Commissioner, Godwin Gondwe (first left). Second left is DCB Commercial Bank PLC Chief Executive Officer, Godfrey Ndalahwa.

Dar es Salaam - Three shareholders with the DCB Commercial Bank Plc pocketed a total of Sh287 million in dividends recently as the 18-year old lender returns restarts issuance of dividends.

The Dar es Salaam City Council (DCC) received Sh138 million while UTT-Asset Management and Investor Services (UTT-Amis) and the National Health Insurance Fund (NHIF) received Sh119 million and Sh30 million respectively and other shareholders receive 200 million.

The money is part of a total dividends of Sh500 million that the DCB Bank Plc approved during its 18th Annual General Meeting which was conducted virtually in June this year (2020).

The Sh500 million was part of the bank’s Sh2.1 billion net profit for the year ending December 31, 2019.

The Minister of State in the President’s Office (Regional Administration and Local Government) Selemani Jafo graced the event to present dummy cheaques to the relevant shareholders in Dar es Salaam recently.

Speaking during the event, Mr Jafo commended the DCB Commercial Bank board and management for driving the lender profitably during the past years and thus releasing return on investments to shareholders.

“That this bank has registered tremendous achievements during the past years is quite commendable. It has been issuing dividends to shareholders for 10 years now and this signifies that the board and management have been working hard to live in accordance with the reasons for which the bank was established, which is, to help small scale traders with their financing needs,” he said.

LIPIA KIFURUSHI CHA COMPACT TSHS 49,000 TU UFURAHIE MECHI ZA PREMIER LEAGUE WIKIENDI HII



Mazebraa ni 🔥🔥 wanarudi tena wikiendi hii #EPL ambapo wanavaana na Chelsea kwenye Chaneli ya SS Premier League namba 223 kwenye kifurushi cha Compact TShs. 49,000 tu.

Hakikisha unalipia mapema kifurushi chako kwa kupiga *150*53# ili usikose burudani hii.

Jiunge sasa na App ya Showmax na ufurahie michezo Live kupitia kifurushi cha Showmax PRO huku ukipata punguzo la 10% kwa miezi 3 ya mwanzo.

#SokaLisiloPimika

#WorldBestFootball

Thursday 22 October 2020

CRDB BANK GRADUATE DEVELOPMENT PROGRAM

 

CRDB Bank is looking for fresh, ambitious and competitive graduates with an Upper Second Class Undergraduate Degree from any accredited University.

TANZANIA CONSUMER CHOICE AWARDS 2020 - FINANCIAL SERVICES NOMINEES

 

VACANCY AT NMB BANK - SENIOR SPECIALIST; DATA ARCHITECT

Job Purpose

NMB has initiated a program to define and implement a data management regime with main focus on Data Governance in order to set a foundation for improved data quality and data governance. The program entails designing and implementing data architecture, data models, data integration, reference and master data, data quality solutions, data governance structure, document and content management. The primary purpose of this role is to develop, implement and maintain the data architecture to support NMB data strategy ambition.

Main Responsibilities
  • Develop data entity/Data component catalog; data entity/business function matrix 
  • Develop application /data matrix which provides a data mapping of all the source systems, tables and fields that store different data assets.
  • Define data lifecycle management to support the organization to manage the flow of data assets thought out its lifecycle 
  • Develop enterprise data model which show relationships between data asset.
  • Identify and develop a target pipeline and aggressively market for new profitable customers from the identified target sectors and exploit cross selling opportunities.
  • Create data conceptual models and logical data models for each data asset.

VACANCY AT NMB BANK - SENIOR COVERAGE MANAGER, SME

Reporting Line:

Senior Manager; SME Sales & Retention

Location:

Head Office

Application Deadline:

3rd November 2020

Job Purpose

Responsible for growing both Assets & Liabilities (Deposits) of Small and Medium Enterprises (SMEs), advising the department on business strategy and guiding Relationship Managers/Business Bankers/Relationship Officers in recruiting business customers to ensure SME business growth.

Main Responsibilities
  • Driving sales of SME loans and deposits throughout the zone (covering Branches, Business Centre’s and Hubs) 
  • Appraisal of high value SME credit applications above the Relationship Managers limit; from the respective zones and provide recommendations for decision making.
  • Take a leading role in guiding Relationship Managers/Business Bankers/Relationship Officers in growing asset book and mobilizing deposits from SME segment
  • Coordinate with Relationship/Business Managers to prepare appropriate financial structure for managing risks and realizing economic value (pricing) 
  • Advise the Senior Manager SME, Sales & Retention on different strategies relating to Business Banking development and growth. 

VACANCY AT NMB BANK - SENIOR PROJECT MANAGER

Reporting Line:

Head; Program Management Office

Location:

Head Office

Application Deadline:

3rd November 2020

Job Purpose

To ensure the Bank’s designated strategic projects and programs are delivered within specified timelines, budget, scope, acceptance criteria and supervise the work of project managers.

Main Responsibilities
  • Serve diligently as chairperson of project/program working committees and secretary of project/program steering committees.
  • Manage kick-off workshops with the objective of determining project objectives, scope, approach, organization, controls and governance framework
  • Develop project plans with a comprehensive list of all envisaged activities, milestones, deliverables and their corresponding ownership.
  • Manage the definition and approval of business requirements and the business case
  • Estimate resources, budget and participants required to achieve the project goals and motivate for their allocation.

DStv INAKULETEA MANCHESTER UNITED VS CHELSEA WIKIENDI HII KATIKA MICHUANO YA #EPL

 

Baada ya kuonyesha vurugu ndani ya #UEFA, Manchester United wikiendi hii wanakutana na Chelsea katika michuano ya #EPL. Je, wataendeleza ubabe au tutegemee matokeo yapi.

Hakika hii si ya kukosa, hakikisha unalipia kifurushi chako cha DStv mapemaa, piga *150*53# kulipia sasa kifurushi cha Compact TShs. 49,000 tu na ufurahie mechi zote za #EPL Live.

Na kama huna DStv jiunge sasa kwa gharama nafuu kwa kupiga 0659 07 07 07.

#SokaLisiloPimika

BENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA WASTAAFU MKOANI MWANZA

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dkt. Severine Lalika, akizungumza kwenye Semina ya wastaafu iliyoandaliwa na benki ya CRDB mkoani Mwanza katika ukumbi wa hoteli ya Gold Crest.
Benki ya CRDB imeendesha semina ya siku moja kwa wastaafu mkoani Mwanza ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango maalum wa uwezeshaji kwa wastaafu ambao ulizinduliwa na benki hiyo mwishoni mwa mwezi Septemba. Akizungumza katika semina hiyo Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dkt. Severine Lalika aliipongeza Benki ya CRDB kwa kuwawezesha wazee huku akielezea azma ya serikali ni kuhakikisha inatengeneza maisha bora kwa wastaafu wote nchini kwa kuwajengea mazingira endelevu ya kujiingizia kipato


''Naipongoeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa wabunifu kwa kuja na wazo hili la kuwakutanisha wastaafu ili kujadili kwa pamoja fursa zinazopatikana katika benki hii ukizingatia kundi hili la wateja limekuwa likisahaulika''amesema Dkt. Lakila.

BENKI YA NMB YASHINDA TUZO YA BENKI SALAMA ZAIDI NCHINI KWA MWAKA 2020

Benki ya NMB imeshinda tuzo ya umahiri baada ya kuibuka benki salama zaidi Tanzania kwa mwaka 2020.

Tuzo hizo zimetolewa Jumatatu tarehe 20 Oktoba, 2020 na Jarida la kimataifa la Global Finance la jijini New York, Marekani lililojikita katika uchapishaji wa habari za masoko ya fedha na mitaji ulimwenguni.

Tuzo za benki salama zaidi hufanyika kila mwaka kwa kila bara na kwa kila nchi duniani na hutolewa baada ya kufanyika tathmini ya kina kwa kuzingatia viwango vya makampuni ya Moody’s, Standard & Poor’s na Fitch - vigezo hivi ni vya kimataifa vinavyotoa taarifa za afya za mabenki na uwezo wa makampuni kujiendesha.

Tuzo hii imekuja miezi michache tu baada ya Benki ya NMB kutunukiwa tuzo ya kuwa benki bora zaidi Tanzania kwa mara ya nane mfululizo na Jarida la Euromoney lenye makao makuu jijini London nchini Uingereza linalochapisha habari za masoko ya fedha na mitaji pia.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna amesema: “Ni heshima kubwa kwetu kutambulika kama benki salama zaidi na yenye uwezo wa kuendelea na biashara kuleta faida kwa wanahisa wetu na nchi kwa ujumla. Tuzo hii ni ishara ya uimara wa Benki ya NMB kuhudumia wateja katika soko lenye ushindani na mazingira yanayobadilika kila wakati. Wakati wasiwasi wa janga la Covid-19 ukiendelea kuisumbua dunia, tuzo hii inadhihirisha uimara, utulivu na kasi yetu ya kubadilika kiteknolojia kuwawezesha wafanyakazi, wateja wetu na watanzania kwa ujumla kufanikisha malengo yao ya kiuchumi.”

NMB BANK WINS TANZANIA’S SAFEST BANK AWARD FOR 2020

NMB Bank Plc has been awarded the Safest Bank in Tanzania for the year 2020.

The top award was issued on Monday 20, October 2020 by Global Finance, a leading global financial markets magazine based in New York, USA.

Annual rankings of the World’s Safest Banks by country are selected after an evaluation of long-term foreign currency ratings from Moody’s, Standard & Poor’s and Fitch investor services - in addition to the total assets of 500 largest banks worldwide, of which NMB received a significant ranking over its peers.

The accolade comes a few months after NMB Bank was named the Best Bank in Tanzania for the 8th consecutive year by Euromoney, a leading global financial markets magazine based in London.

NMB’s CEO, Ruth Zaipuna said: “We are honoured to be recognized as Tanzania’s Safest Bank in 2020. We continue to work tirelessly to evolve the Bank’s capabilities to deliver sustained returns. As the uncertainty surrounding businesses in the world post Covid-19 pandemic still lingers on, this award is a testament of our stability, resilience and digital transformation capabilities in supporting employees, customers and the wider community to achieve financial success.

AFRICAN DEVELOPMENT BANK AGRIPITCH COMPETITION: $120,000 IN PRIZES ON OFFER DURING AFRICAN YOUTH AGRIPRENEUR FORUM 3-17 NOVEMBER

The AgriPitch competition is open to youth aged 18 to 35 who hold African nationality or citizenship and who submit their application online by 23rd October

ABIDJAN, Ivory Coast, October 22, 2020/ -- There are just hours to go until the 23 October deadline to enter the African Development Bank’s (www.AfDB.org) AgriPitch Competition. Selected entries by African youth agripreneurs will be invited to showcase their agribusiness startup plans and compete for a share of $120,000 in funding seed prizes, a slot of the competition’s business development boot camp, an audience of online panel of experts and investors to pitch their agribusiness plans, as well as receive post-event mentoring and training.

The AgriPitch competition is part of the African Development Bank’s fourth African Youth Agripreneurs Forum (AYAF) – one of the continent’s most exciting platforms for African youth in agriculture start-up scene – to be held online for the first time this 3 -17 November, 2020.

“The African Youth Agripreneurs Forum and AgriPitch Competition has always been a high-energy gathering for young entrepreneurs in agriculture to meet, share experiences – and work the room for that next big investment,” said Edson Mpyisi, Coordinator of the Bank’s Enable Youth Program responsible for the event. “The COVID-19 pandemic may keep us from networking in person in 2020, however, the Bank and partners are gearing up to present a dynamic, knowledge-rich Forum online – as well as the most seed funding AgriPitch has ever awarded competitors,” he added.

Tuesday 20 October 2020

VODACOM TANZANIA YATOA VIFAA VYA MATIBABU VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 49 KWA KITUO CHA AFYA INYONGA B MKOANI KATAVI

  • Zaidi ya wanawake 12,000 kufaidika na vifaa vya uzazi
Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia (kulia) akikabidhi moja ya mashine kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) katika Kituo cha Afya Inyonga B, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi kwa Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mlele, Mh. Salehe Muhando mwishoni mwa wiki. Jumla ya vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 49 vilikabidhiwa kutoka Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, vifaa hivyo vitasaidia watoto uwezo wa kupumua, kuwaongezea joto na kuwapa tiba mwanga.
Baadhi ya vifaa mbalimbali vilivyotolewa na Vodacom Tanzania Foundation kwa Kituo cha Afya Inyonga B, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi.


BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMPENI YA "JIPE TANO" KUHAMASISHA UTAMADUNI WA KUJIWEKEA AKIBA KWA WATEJA

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Benki ya CRDB, Stephen Adili akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya "Jipe Tano" inayolenga kuhamasisha wateja kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba. Benki ya CRDB imetenga Shilingi milioni 100 kama zawadi kwa wateja ambao watakuwa wakiweka akiba mara kwa mara katika akaunti zao, ambapo wateja 240 watakuwa wakijishindia fedha kila siku.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko Benki ya CRDB, Joseline Kamuhanda akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya "Jipe Tano" inayolenga kuhamasisha wateja kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba. Benki ya CRDB imetenga Shilingi milioni 100 kama zawadi kwa wateja ambao watakuwa wakiweka akiba mara kwa mara katika akaunti zao, ambapo wateja 240 watakuwa wakijishindia fedha kila siku.
Benki ya CRDB imezindua kampeni maalum ya kuhamasisha wateja na Watanzania kwa ujumla kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba iliyopewa jina la “Jipe Tano”. Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Benki ya CRDB, Stephen Adili amesema kampeni hiyo inalenga kuwasaidia wateja kufikia malengo yao ya kimaisha pamoja na kumudu gharama mbalimbali za maisha kupitia utamaduni wa kujiwekea akiba.

“Tunatambua wateja wetu wana malengo ambayo wamejiwekea katika maisha yao, na sisi kama Benki ya kizalendo tuna jukumu la kuhakikisha wateja wetu wanafikia malengo yao kupitia huduma na bidhaa bunifu zinazotolewa na Benki yetu ikiwemo huduma ya kuweka akiba kupitia akaunti mbalimbali,” alisema Adili.

Adili alisema kampeni hiyo ya katika kampeni hiyo ya “Jipe Tano”, Benki ya CRDB imetenga kiasi cha shilingi milioni 100 ambapo wateja watakuwa wakijishindia zawadi ya shilingi elfu tano kila watakapokuwa wakiweka akiba katika akaunti zao ikiwamo akaunti ya Watoto Junior Jumbo, Akaunti ya Malkia kwa ajili ya wanawake, Akaunti ya Scholar kwa ajili ya wanafunzi, Akaunti ya Tanzanite kwa ajili ya Watanzania waishio nje ya nchi, akaunti ya pensheni kwa ajili ya wastaasfu, Akaunti ya FahariKilimo kwa ajili ya wakulima na akaunti nyengine za uwekezaji kama Thamani, Dhahabu na akaunti za muda maalum.

NIPE FAGIO YATOA RIPOTI YA SIKU YA USAFI DUNIANI YA 2020 NA ASILIMIA 75 YA TAKA UZALISHWA NCHINI

Mabalozi kutoka taasisi ya Nipe Fagio wakiandaa taarifa za ripoti ya ukaguzi wa taka na chapa yaani Waste and Brand Audit (WABA) wakati wa Siku ya Usafi Duniani iliyofanyika mnamo tarehe 19 Septemba mwaka huu.
Mnamo Septemba 19, Tanzania ilijiunga na nchi 179 kote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Usafi Duniani. Siku ya Usafi Duniani ni sehemu ya Let’s Do It Tanzania, kampeni ya kitaifa inayoongozwa na Nipe Fagio, shirika lisilo la kiserikali linalofanya kazi na jamii, sekta binafsi na serikali kufikia maendeleo endelevu katika sekta ya usimamizi wa taka.

Wakati akitoa ripoti ya Siku ya Usafi Duniani 2020 jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Nipe Fagio, Bi Ana Le Rocha, alishukuru mashirika yote yaliyojitokeza, wanajamii, na washiriki wote walioshirikiana na Nipe Fagio kufanya Siku ya Usafi Duniani ya mwaka huu kufanikiwa.

"Tunapotoa ripoti ya Siku ya Usafi Duniani ya mwaka huu, kwanza tunapenda kuwashukuru mashirika yote yaliyojitokeza, wanajamii na watu binafsi ambao walijiunga na sisi na kufanikisha tukio hili muhimu," Bi Ana alisema. Alibainisha kuwa zaidi ya mashirika 250 katika sekta hiyo, na watu 4,621 walishiriki katika shughuli za usafi nchi nzima.

Monday 19 October 2020

MICHEZO INAENDELEA KUBAMBA #UEFA NI 🔥🔥🔥 WIKII HII


Michezo inaendelea kubamba #UEFA ni 🔥🔥🔥 wikii hii.

Na kama kawaida uhakika wa kupata mechi zote ni kupitia @dstvtanzania kupitia ulimwengu wa #SokaLisiloPimika

Ikiwa bado hujajiunga piga 0659 07 07 07 na ujipatie kisimbuzi cha DStv kwa gharama nafuu zaidi.

#WorldBestFootball

BENKI YA DCB YATOA GAWIO KWA WANAHISA WAKE WAKUU

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo, akikabidhi mfano wa hundi yenye dhamani ya shilingi 138,603,889 ikiwa ni gawio la wanahisa kutoka Benki ya DCB kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa, pamoja na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo Zawadia Nanyaro, hafla hiyo imefanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe; Selemani Jafo (wa tatu kushoto), akikabidhi mfano wa hundi yenye dhamani ya shilingi 30,780,000 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Bima ya Afya (NHIF) Bernard Konga ikiwa ni gawio la hisa za shirika hilo kutoka Benki ya DCB. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa, pamoja na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi wa benki hiyo Zawadia Nanyaro, hafla hiyo imefanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa, akiwakaribisha Mkuu Wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri na Mkurugenzi wa Jiji Bi Sipora Jonathan wakati wa hafla ya Benki ya DCB ilipokuwa ikitoa Gawio kwa wanahisa wake wakuu jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa (katikati) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Uwekezaji (UTT) Simon Migangala wakati wa hafla ya benki ya DCB ya kutoa gawio kwa wanahisa wake wakuu jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi wa benki hiyo Zawadia Nanyaro.

Friday 16 October 2020

KUTANA NA EDDO KUMWEMBE PAMOJA NA SALAMA JABIRI LEO SAA 10 JIONI WAKIPIGA STORY KUHUSU BIG SATURDAY NA SUPER SUNDAY ZINAZO-HAPPEN WIKIENDI HII

Kutana na Eddo Kumwembe pamoja na Salama Jabiri leo saa 10 jioni wakipiga story kuhusu Big Saturday na Super Sunday zinazo-happen wikiendi hii.

Huku Merseyside Derby, kule Milan Derby Arsenal nao wanakutana na vigogo Man City, Leicester City nao wanawakibili vichwa ngumu Aston Villa. 

Hizi ni baadhi ya sababu zitakazo tuweka busy kwenye SuperSport wikiendi hii. Njoo tudadabue utamu wa mechi hizi LIVE kwenye Instagram ya @EdoKumwembe leo saa 10 jioni.

@dstvtanzania

#SokaLisilopimikaNaDStv

DIGITAL TECHNOLOGY WILL FOSTER AFRICA’S FUTURE ECONOMIC GROWTH

Last week saw the announcement of further good news relating to the Tanzanian economy. According to the Bank of Tanzania, the country’s economy is expected to grow at 5.5 per cent this year.

This follows other positive news from earlier in July when the country achieved the World Bank’s classification of a middle-income country, five years ahead of the initial timeline proposed by the government.

This – along with this week’s news on the country’s projected economic growth – shows that the country has reached an important milestone in its wider pathway to development. It is therefore important that we can continue to harness this momentum so that these benefits are shared across the country’s society.

There is growing discussion among many academics on the way in which African countries can achieve future economic growth.

A recent study from the Harvard Business Review s cited the way in which digital technology – including mobile internet, mobile-assisted apps and handsets – is becoming an increasingly important vehicle for helping this very goal. Specifically, their study notes that these services help to further economic opportunities, as well as broader financial inclusion.

Thursday 15 October 2020

WIKI YA MECHI ZA KIMATAIFA IMEKWISHA NA SASA TUNAGEUZIA MACHO KWENYE LIGI KUU YA UINGEREZA


Wiki ya mechi za Kimataifa imekwisha na sasa tunageuzia macho kwenye Ligi kuu ya Uingereza, kivumbi kitatimka kuanzia siku ya Jumamosi tukifunguliwa ukurasa na Merseyside Derby Everton wakivaana na Liverpool

Hatuishii hapo soka hili litabamba mpaka Jumatatu na mechi zote ni 🔥🔥🔥

Lipia mapema kifurushi cha DStv kwa kupiga *150*53# kulipia sasa kifurushi chako au 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi.

#SokaLisilopimika

WELCOME TO THE DECK KITCHEN & BAR FOR KARAOKE NIGHT EVERY FRIDAY

 

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VIFAA VYA HOSPITALI TARIME VIJIJINI, USHETU, MIKUMI NA MADAWATI NDANDA

Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya hospitali; vitanda, magodoro na mashuka vyenye thamani ya shilingi milioni kumi na tano kwa hospitali za halmashauri za wilaya za Tarime vijijini (Mara), Ushetu katika wilaya ya Kahama (Shinyanga) na Mikumi - wilaya ya Kilomero (Morogoro).

Vifaa hivyo vimekabidhiwa wakati Benki hiyo ikizindua huduma mpya tatu za kibabe katika maeneo mbali mbali nchini; Namba ya WhatsApp 0747 333 444, njia ya digitali ya kutoa maoni kwa mfumo wa kuscan QR pamoja na mfumo wa kurudisha token za umeme (token retrieval) wakati wakiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.

Hospitali mpya ya Halmashauri ya wilaya ya Tarime iliyopo Nyamwanga ilikabidhiwa vitanda saba vikiwemo viwili vya kujifungulia na magodoro. Akipokea msaada huo Katibu Tawala wa wilaya ya Tarime, John Marwa alisema msaada huo utaboresha huduma za matibabu katika hospitali hiyo ambayo inahudumia zaidi ya watu 300,000 wakiwemo wamama wajawazito.
Mkuu wa Mauzo – Idara ya Hazina ya Benki ya NMB, Jeremiah Lyimo (wapili kutoka kushoto) akikabidhi msaada wa vitanda saba vikiwemo viwili vya kujifungulia na magodoro kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Tarime - John Marwa, watatu kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, Apoo Castro Tindwa, Meneja wa NMB Tawi la Nyamongo, Erick Manyama (mwenye miwani) pamoja na Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Baraka Ladislaus.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama - Anamringi Macha (mwenye miwani) akipokea msaada wa vitanda, magodoro na mashuka kutoka kwa Afisa Mkuu Rasilimali Watu wa NMB - Emmanuel Akonaay kwa ajili ya hospitali ya Wilaya ya Ushetu - Kahama.
Mwanasheria Mkuu wa Benki ya NMB, Lilian Komwihangiro akikabidhi magodoro na vitanda kwa Katibu Tawala wilaya ya Kilosa, Yohana Kastila (kulia) kwa ajili ya kituo cha afya Mikumi. kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Kilombero, Rehema Nassibu na Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Benki hiyo, Dismas Prosper.

Katika hatua nyingine, Benki hiyo pia imetoa msaada wa meza na viti 50 kwa ajili ya shule ya Sekondari ya Mkalapa iliyopo Ndanda wilaya ya Masasi, ili kupunguza uhaba wa madawati shuleni hapo.
Mkuu wa wilaya ya Masasi, Selemani Mzee (kulia), akipokea msaada wa meza na viti 50 kutoka kwa Afisa Mkuu wa Udhibiti Hatari na Utekelezaji wa Benki ya NMB, Victor Rugeiyamu, kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mkalapa, wilayani Masasi - mkoani Mtwara. Kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kusini, Janeth Shango.

Benki ya NMB kupitia kitengo chake cha Uwajibikaji kwa Jamii, imekua na utaratibu wa kurejesha sehemu ya faida yake ya asilimia moja kwa jamii kusaidia katika sekta ya afya, elimu na majanga.