Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 26 October 2020

VODACOM TANZANIA PLC YADHAMINI MAFUNZO YA WOMEN IN DATA SCIENCE DAR ES SALAAM 2020 YALIYOWASHIRIKISHA WANAFUNZI WA KIKE TOKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI NCHINI

Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi akiongea na wahitimu wa mafunzo ya ubunifu wa Website “ Women in Data Science Dar es Salaam 2020" yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC kupitia programu yake ya Code like a girl yaliyowashirikisha wanafunzi wa kike jijini Dar es Salaam.
Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi akibidhi zawadi ya begi kwa Shamimu Mbaga ambaye ni mkuu wa kundi la Mwalimu Careers Campany akiwa na wenzake mara baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika mafunzo ya ubunifu wa Website “ Women in Data Science Dar es Salaam 2020" yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC kupitia programu yake ya Code like a girl yaliyowashirikisha wanafunzi wa kike jijini Dar es Salaam.
Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi (kulia) akimkabidhi cheti cha kuitimu mafunzo ya Women in Data Science Dar es Salaam 2020 kwa Alistidia Lusonzi wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa sekondari toka shule mbalilmbali nchini wakionyesha vyeti vyao vya kuhitimu mafunzo ya ubunifu wa Website Women in Data Science Dar es Salaam 2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC.

No comments:

Post a Comment