Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 30 December 2020

HAKUNA KUPOA!!! VIBE LA #EPL LINAENDELEA NA SIKU YA JUMATANO NDANI YA DStv PEKEE


Hakuna kupoa Vibe la #EPL linaendelea na siku ya Jumatano:

Tottenham v Fulham

Newcastle v Liverpool

Mechi zote kuruka ndani ya SS PL 223 kwa kifurushi cha Compact TShs 49,000. 

Lipia sasa kwa urahisi kwa kupiga *150*53# ili usikose mechi hizi na mechi zote za #EPL.

#SokaLisiloPimika

#VibeLaSikukuuNaDStv

Tuesday 29 December 2020

VODACOM TANZANIA SHANGWE SHANGWENA YAMZAWADIA GARI MKAZI WA MOSHONO JIJINI ARUSHA

Mshindi wa nne wa promosheni ya Vodacom Tanzania, Shangwe Shangwena, Regina Kashmir mkazi wa Moshono jijini Arusha akifungua mlango wa gari mpya aliyojishindia kwenye promosheni hiyo. Anayeshuhudia kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Arusha, Mhe. Kenan Kihongosi.




MANCHESTER UNITED LEO WATAKUTANA NA WOLVES SAA 5 USIKU NDANI YA DStv KUPITIA CHANELI YA SS PREMIER LEAGUE 223



Manchester United wanaosimamia nafasi ya 4 point 27 leo watakutana na Wolves wanaosimama nafasi ya 11 wakiwa na point 21, je nafasi hii ya kuwa nyumbani itawafanya United kupanda daraja au Wolves watapindua meza?

Piga *150*53# kulipia sasa kifurushi chako cha Compact TShs 49,000 tu ili usikose mechi hii saa 5 usiku kupitia chaneli ya SS Premier League 223.

#SokaLisiloPimika

#VibeLaSikukuuNaDStv

Thursday 24 December 2020

STANDARD GAUGE RAILWAY GATHERS PACE

 

Tanzania's biggest ever infrastructure project, Standard Gauge Railway (SGR), is rapidly taking shape, with the installation of power transmission lines.

The construction of a 220 kV, main power transmission for SGR trains, Dar es Salaam to Morogoro section has reached 99 per cent, the government revealed on Monday.

The transmission line covers a total of 159 kilometres from the main Kinyerezi centre to Morogoro Region.

Meanwhile, plans for the second phase project, a 420 kilometres power transmission line with 220 kV from Morogoro to Makutopora in Singida Region is also on course.


MWINYI CHARM OFFENSIVE FOR A ‘NEW’ ZANZIBAR

Parasailing is just one of many tourism-related activities in Zanzibar, which is acclaimed for its beaches, deep-sea fishing, scuba diving, and dolphin watching.

Banking on its geographical position in the Indian Ocean, Zanzibar is positioning itself to compete with other island states in tourism, oil and other marine resources.

Zanzibar President Dr Hussein Mwinyi has held discussions with investors wooing them to the island to make Zanzibar a business hub on Eastern Africa’s Indian Ocean coast.

To pursue a Blue and private sector-led economy, President Mwinyi has created a Blue Economy and Fisheries Ministry to spearhead development.

Upon assuming the Island’s presidency on November 2, Dr Mwinyi had held a series of discussions with executives from various firms and business institutions, asking them to invest in Zanzibar.

The president held discussions with the Zanzibar National Chamber of Commerce on December 5 to chart his economic plans for the next five years.

He also held discussions with members of Zanzibar Association of Tourism Investors and Zanzibar Association of Tour Operators urging them to increase their investments and enjoy tax harmonisation programmes and supportive government.

Dr Mwinyi had earlier on met with the Resident Representative of the Aga Khan Development Network (AKDN) in Tanzania Amin Kurji on December 1 then asked the AKDN to increase its economic and social investments in the island.

Zanzibar Serena Hotel and the $2.4 million investment on the restoration of historical sites at Stone Town under the Aga Khan Trust for Culture are major tourist investments implemented by AKDN.

UGANDA AIRLINES GETS NEW AIRBUS


Uganda Airlines has become the first African operator of the Airbus A330-800neo, the smaller of the revamped A330 model, after taking delivery of the aircraft in Toulouse on Monday.

Certificates of title for the first of two - 800neos on order were exchanged between Airbus and Uganda in Toulouse.

The aircraft operating as flight UR404 then departed Toulouse Blagnac Airport at 3am East African time on Tuesday, landing in Entebbe at 11am to a reception led by President Yoweri Museveni.

Uganda Airlines, which expects a second delivery in January 2021, plans to use the aircraft to open routes to London, Dubai and Guangzhou. London has been tentatively earmarked for the first intercontinental flight but negotiations continue over landing rights at Heathrow.

The year-old Ugandan flag carrier is the second operator of the airplane make globally, after Kuwait Airways which took delivery of two of the eight -800s it has on order on October 29.

Other African operators of the -800s larger sibling, the A330-900neo, are Air Senegal which took the first delivery in March 2019, followed by Air Mauritius a month later.

NMB MASTABATA SIYO KIKAWAIDA - 12 WAONDOKA NA ZAWADI BAB KUBWA!

Benki ya NMB imewazawadia washindi 12 zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya milioni 28 kwenye bahati nasibu ya mwezi wa 12.

NMB kupitia kampeni yake ya ‘MastaBata Siyo Kikawaida’ imewazawadia washindi hao zawadi ikiwamo simu janja, Runinga za kisasa, na Jokofu ambapo kila msindi alipatiwa zawadi zenye thamani ya shilingi Milioni 2.4 kila mmoja.

Akizungumza wakati wa kuwatangaza washindi, Meneja wa Benki hiyo tawi la Mlima City, Irene Masaki alisema dhumuni la kampeni hiyo ni kuwahamasisha wateja kutumia kadi za Mastercard na Mastacard QR kufanya manunuzi ya bidhaa au huduma kupitia mtandaoni.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mliman City - Irene Masaki akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya "MastaBata Siyo Kikawaida" ya mwezi wa 12 iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Afisa Mkaguzi Kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha - Pendo Mfuru, Balozi wa NMB - Nancy Sumari, Meneja wa Benki ya NMB Kitengo cha Kadi - Sophia Mwamwitu na Meneja Mwandamizi Kitengo cha Biashara za Kadi wa NMB - Lupia Matta.
Balozi wa Benki ya NMB - Nancy Sumari, akimpigia simu mmoja wa washindi wa "MastaBata Siyo Kikawaida" wakati wa kuchezesha droo ya mwezi wa 12 iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam.

Miongoni mwa wateja walioshinda zawadi hizo ni Happy Luka Pallangyo, Masunga Jasila, Francis Julian na Rose Marealle. Mchakato wa kuwapata washindi hao ulisimamiwa na Ofisa kutoka Bodi ya Michezo ya Kuhahatisha Tanzania - Pendo Mfuru.

Promosheni hiyo ilizinduliwa Novemba mwaka huu na itamalizika Februari mwakani. Promosheni hiyo, inahamasisha utimiaji wa NMB Mastacard and Mastacard QR katika kufanya manunuzi bila ya kutumia pesa taslimu. Kila wiki na mwisho wa mwezi kuna droo zinafanyika na wateja kuendelea kishinda Zawadi mbalimbali. Wateja wanapaswa kufanya miamala yao kupitia kadi ya NMB Mastercard au QR mara nyingi wawezavyo ili kuongeza nafasi zaidi za kushinda.

Katika kipindi chote cha kampeni, NMB itakabidhi zawadi kwa washindi 40 watakaoshinda Sh. 100,000 kila wiki na washindi 12 watazawadiwa simu janja aina ya Samsung galaxy Note20 yenye thamani ya Sh. milioni 2.4 kila mwezi.

DESTINATION TANZANIA SHOULD NOW CAPITALIZE ON SPORTS AND MEDICAL TOURISM

Godwin Semunyu is a Communication Specialist based in Dar es Salaam. He can be reached through email - gsemunyu@epicpr.co.tz

By Godwin Semunyu

Tanzania records an estimated 1.5 million tourists annually, accounting for 17 percent of the GDP, more than 2 million employments - and is the leading sector in foreign exchange earnings garnering over $2 billion annually (about Sh4.6 trillion).

According to the World Travel & Tourism Council (WTTC), International tourist arrivals to Africa grow at around 5% per annum with close to 1.4 billion visitors. Africa's top tourism destinations are Morocco, with around 11 million arriva
ls and South Africa, with around 10 million tourist arrivals, annually. 

If you look closely at the figures, you will notice that destination Tanzania, blessed with unraveled natural attractions from the breathtaking coastline, national parks to Africa's highest peak in Mount Kilimanjaro, ought to have more significant numbers than what is currently garnered.

It is time to repackage our tourists’ offerings by adding more value and create a new competitive edge. You will agree that Morocco has nothing astronomical to get ten times the tourists than what Tanzania is getting. There are some other areas that we can tap to add value to our tourists' packages: Sports and medical tourism come to mind.

JOB VACANCY AT VODACOM TANZANIA - INSIGHTS & REPORTING ANALYST

Posting Country: Tanzania, United Republic of
Date Posted: 21-Dec-2020
Full Time / Part Time: Full Time
Contract Type: Permanent

Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge responsibility. If you think for a minute about the people you rely on…the likelihood is they rely on us.

Customers are at the heart of everything we do and we want to make a difference to the lives of our customers, and the communities in which we live and work. We support our people to give something back to the causes that mean the most to them through helping them give time and money to the charities they love.

And what’s it like to work here? We have created an environment where you can look forward to coming to work and are empowered to be at your best. We offer flexibility in how you work that helps you do your job in a way that suits you, opportunities to help you grow and progress throughout your career and a choice of benefits to suit your lifestyle.

Role purpose:

Insights & Reporting Analyst aids the Commercial Business Unit in strategy and decision making by collecting and analysing a wide range of data to help CBU to come up with well informed decisions on various products and initiatives the business is doing.

Key accountabilities:
  • Business unit market intelligence focal point 
  • Engage all stakeholders across business to collect, track and monitor various activities done happening in the market. Any relevant insight to be shared to leadership for strategic deliberation as soon as possible
  • Maintain daily/ weekly/monthly KPIs per bucket reporting and tracking 
  • Timely and accurately preparation and presentation of input to Consumer Business Unit (CBU) reviews
  • Handle all insight and reporting projects, present results/findings before deadlines in collaboration with relevant stakeholders 
  • Provide insight and reporting support to regional teams
  • Engage Head of Regions and Territory Managers in the various projects being undertaken in respective market areas
  • Provide qualitative and quantitative analysis and insight to guide regions for business and strategy decisions

JOB VACANCY AT VODACOM TANZANIA - MANAGER: BRAND

Posting Country: Tanzania, United Republic of
Date Posted: 21-Dec-2020
Full Time / Part Time: Full Time
Contract Type: Permanent

Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge responsibility. If you think for a minute about the people you rely on…the likelihood is they rely on us.

Customers are at the heart of everything we do and we want to make a difference to the lives of our customers, and the communities in which we live and work. We support our people to give something back to the causes that mean the most to them through helping them give time and money to the charities they love.

And what’s it like to work here? We have created an environment where you can look forward to coming to work and are empowered to be at your best. We offer flexibility in how you work that helps you do your job in a way that suits you, opportunities to help you grow and progress throughout your career and a choice of benefits to suit your lifestyle.

Role Purpose:

To translate, implement and oversee brand strategies into brand plans, brand positioning and go-to-market strategies. Holistic Brand management which includes communication, media, sponsorship and trade marketing. Oversee the development of brand strategies to position Vodacom Tanzania ahead of competition.

JOB VACANCY AT NMB BANK - HEAD; TRANSACTIONAL BANKING

Job Purpose:

Responsible for creation and sales of transactional related solutions to wholesale banking customers, including. Government, Corporate, Institutional, Agribusiness, SMEs in the areas of Trade Finance, Cash Management, Electronic Banking, Product development and Transactional Services.

Main Responsibilities:
 
  • Participate on any transactional related offerings, including trade finance, lending decisions, ALCO, technology related offerings, service improvements, marketing of solutions, 
  • Deciding on pricing strategy for segments, individual customers
  • Provide necessary notices to government/regulators and public of product changes
  • Lliaise with Operations Centers, regularly reviewing all operational standards for product profitability, and identifying skills gaps
  • Review and feedback into customer satisfaction surveys, responding to customer complaints.
  • Liaise with People Development and Sales Management functions to design and deliver appropriate training, and give input into sales strategies.
  • Participate in promotion of banking products, design of selling programs, and actually participate on sales
  • Manage a team that is creative and go with the top notch of the market on the transactional solutions. Achieve a 50%-50% split between Interest income and non-interest income.

JOB VACANCY AT NMB BANK - SENIOR SPECIALIST, COMPENSATION & BENEFITS

Reporting Line:

Head, HR Shared Services

Location:

Head Office

Job Purpose:

Develop, implement and monitor remuneration and benefits strategies in line with the bank’s and HR strategy as well as guide performance management in the organization in order to ensure staff are productive and highly motivated.

Main Responsibilities:
  • Monitor effectiveness of existing compensation policies, guidelines and procedures, recommending plan revision as well as new plans that are cost effective and consistent with compensation trends and Bank’s strategy. 
  • Implement remuneration and benefits management strategies, policies and interventions in line with corporate priorities.
  • Assist in preparation of merit increase and incentive programs and budgeting.
  • Ensure market competitor analysis is carried out timely and advise the management on strategies to attract and retain talent. 
  • Design, evaluate and modify benefits programs and policies to ensure that programs are current, competitive and in compliance with legal requirements.
  • Provide on-going compensation and benefits education with management and employees.
  • Perform salary and benefits analysis for staff to determine their position against the market and peers.

Wednesday 23 December 2020

SANTA BANANA MUSIC FESTIVAL WITH SERENGETI LITE LIVE NDANI YA DStv



Baada ya shows nyingi nje ya nchi @diamondplatnumz karudi nyumbani kuangusha balaaaa! 

Tamasha la #SantaBananaMusicFestival linafanyika Jumatano hii, tarehe 23/12/2020 pale Moshi Club, wachaga shimboni shafwa!

Kwa wale ambao hawajaenda kuhesabiwa Moshi, Shoo hii haitokupita kwani, DStv wanakuletea tamasha hili LIVE sebuleni kwako kupitia Plus TV chaneli namba 294, itazame shoo nzima, mwanzo mwisho kwa kulipia kifurushi Bomba TShs 19,900 tu. 

Piga *150*53# kulipia sasa!

VODACOM M-PESA YALIPA WATEJA GAWIO LA TZS 3.9 BILIONI

Mkuu wa Idara ya M-Pesa Biashara wa Vodacom Tanzania PLC, Happiness Shuma akitangaza gawio la shilingi bilioni 3.9 kwa watumiaji wa M-Pesa waliotumia huduma hiyo kati ya mwezi Aprili hadi Juni mwaka huu. Gawio hilo litawanufaisha wateja kwa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu. Kulia ni Mkuu wa idara ya Mipango mkakati wa M-Pesa, Nelusigwe Mwangota.

Disemba 22, 2020, Dar es salaam - Kampuni ya simu inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC, inaendelea kuongeza thamani halisi kwa wateja, raia na nchi kwa ujumla., ambapo kipindi hiki cha sikukuu inatoa gawio la jumla ya TZS 3,928,312,789 kwa wateja wake wa M-Pesa. Malipo ya gawio hili ni ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa kampuni hiyo (Aprili hadi Juni 2020).

Akizungumza na waandishi wa habari leo, kwa niaba ya Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni, Mkuu wa Idara ya M-Pesa Biashara Happiness Shuma alisema M-Pesa imekuwa ikija na masuluhisho mapya yenye ubunifu wa hali ya juu ambayo yamesababisha kuongezeka kwa thamani kwa wateja, idadi ya watumiaji na mapato ambayo yananufaisha kila mtu.

"Katika mwaka wa fedha uliopita, Vodacom ilirekodi ukuaji wa mapato ya huduma, ambayo kwa kiasi kikubwa ilisababishwa na ongezeko la matumizi ya huduma ya M-Pesa. Mapato ya M-Pesa yalikua kwa 7.4%, ikichangia TZS 358.2 bilioni kwa jumla ya mapato,” alisema Shuma.

Tuesday 22 December 2020

BENKI YA I&M YAMALIZA MWAKA KWA STAILI YAKE, YAANZISHA HUDUMA YA RAFIKI CHATBANKING INAYOMUWEZESHA MTEJA KUPATA HUDUMA ZA KIBENKI KWA NJIA YA WHATSAPP

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Baseer Mohammed (wa kwanza kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Rejareja, Lilian Mtali (wa nne kulia) pamoja na baadhi ya wateja wa Benki hiyo wakizindua huduma mpya ya Rafiki ChatBanking ambayo inawawezesha wateja kupata huduma za kibenki kwa urahisi zaidi kwa njia ya WhatsApp kwenye simu yake ya mkononi.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Baseer Mohammed (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Rafiki ChatBanking ambayo inawawezesha wateja kupata huduma kwa urahisi zaidi kupitia WhatsApp. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Wateja wa Rejareja Lilian Mtali, kulia ni ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa, Krishnan Ramachandran.
Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Wateja wa Rejareja wa Benki ya I&M Lilian Mtali akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Rafiki Chatbanking inayomuwezesha mtajea kupata huduma za kibenki kwa urahisi zaidi kupitia njia ya WhatsApp. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Baseer Mohammed na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa, Krishnan Ramachandran.

Dar es Salaam. Desemba 21, 2020 - Katika kuhakikisha wateja wanazifika huduma za kibenki kwa urahisi zaidi, Benki ya I&M imezindua huduma mpya ijulikanayo kama ‘Rafiki ChatBanking’ inayomuwezesha mteja kupata huduma za kibenki kwa urahisi zaidi kwa njia ya WhatsApp kwenye simu yake ya mkononi. Kupitia huduma hiyo, Benki hiyo inaendelea kudhihirisha azma yake ya kuendelea kuwa karibu zaidi na wateja kwa kubuni bidhaa na huduma bora ambazo zinampa mteja uhuru wa kifedha na kuboresha maisha.

Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo,Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo Baseer Mohammed alisema huduma ya Rafiki ChatBanking ni ya aina yake ambayo inasogeza huduma za kibenki karibu zaidi na wateja ili kupunguza adha ya kufuata huduma umbali mrefu kwani inampa mteja uhuru wa kufanya miamala kwa WhatsApp.

“Benki yetu imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha inaleta huduma na bidhaa za kibunifu ambazo zinafanya maisha ya wateja wetu kuwa rahisi na bora zaidi kwa kutumia fursa mbalimbali ambazo zinaletwa na teknolojia za kidijitali,” alisema.

“Leo Tunayo furaha kuitambulisha huduma ya Rafiki Chat Banking kwa wateja wetu, huduma hii inampa mteja uhuru wa kupata huduma za kibenki mahali popote alipo kwa njia ya WhatsApp na hivyo kudhihirisha azma yetu isemayo ‘Tuko Upande Wako’, Aliongeza Bw. Baseer.

BENKI YA TAIFA YA BIASHARA (NBC) YAJIZATITI KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU NCHINI

Waziri wa Nchi TAMISEMI Mheshimiwa Selemani Jafo akizungumza na Meneja wa Huduma kwa wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Tawi la Dodoma, Anne Mwaisaka wakati alipotembelea banda la benki hiyo kwenye mkutano wa mwaka wa wakuu wa shule za Sekondari Tanzania (Tahossa) uliofanyika jana jijini Dodoma. Benki ya NBC ni mmoja wa wadhamini wa mkutano huo utakaofanyika kwa siku tatu.
Meneja wa Huduma kwa wateja wa Benki ya Biashara ya Taifa (NBC), Anne Mwaisaka akizungumza na mmoja wa waliotembelea banda la benki hiyo kwenye mkutano wa mwaka wa wakuu wa shule za Sekondari Tanzania (Tahossa) uliofanyika jana jijini Dodoma. Benki ya NBC ni mmoja wa wadhamini wa mkutano huo utakaofanyika kwa siku tatu.

Dodoma - Wakati Walimu wakitaja moja ya changamoto inayowakabili kuwa ni riba kubwa za mikopo kwenye taasisi za fedha, benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeeleza kuhakikisha inaendelea kubuni huduma nafuu za kifedha zitakazosaidia walimu kufikia malengo yao.

Akizungumza katika mkutano wa Umoja wa wakuu wa shule za sekondari nchini (Tahossa), Meneja wa Benki ya NBC Mkoa wa Dodoma, Happiness Kizigira alisema wanatoa huduma za bima za afya, za magari na majengo ambapo mtu anaweza kufanya vitu vyake vikaende salama na inapotokea majanga kupata fidia.

Awali, Rais wa umoja huo, Frank Mahenge alitaja changamoto zinazowakabili walimu ikwemo mikopo yenye riba kubwa inayopunguza ufanisi na kuwakosesha utulivu kazini.

Alitaja changamoto nyingine ni matukio ya kuungua kwa shule, maeneo ya shule kutopimwa, ukosefu wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wakuu wa shule na ukosefu wa usafiri hasa kwa shule za bweni.

BENKI YA NMB YAZIDI KUWANOGESHA WATEJA WAKE MSIMU HUU WA SIKUKUU!

Mkuu wa Biashara ya Kadi wa Benki ya NMB - Philbert Casmir akionyesha baadhi ya zawadi zinazotolewa kwa wateja katika kampeni ya MastaBata Siyo Kikawaida zikiwemo; Friji, TV Simu na vinginevyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifurahia 'NMB Fri-Yay'.

Benki ya NMB imeendelea kuhakikisha wateja wake wanafurahia na kufaidika na huduma zake ikiwemo kutoa elimu juu ya umuhimu wa matumizi ya mifumo ya kidigitali katika kupata huduma kwa usalama wa fedha zao.

Akifafanua zaidi, Mkuu wa Biashara ya Kadi wa Benki ya NMB - Philbert Casmir amesema kuwa, Benki hiyo imekuja kivingine Msimu huu wa Sikukuu kwa kuhakikisha wateja wake wanafaidika kupitia kampeni zake za 'NMB Fri-Yay' na MastaBata Siyo Kikawaida.

“NMB inatambua kila siku lazima wateja wetu wafanye huduma mbalimbali ikiwemo kupata chakula, kujaza mafuta katika magari yao na kufurahia, na kupitia 'NMB Fri-Yay' kila ijumaa ya mwisho wa mwezi kila anayelipa kupitia kadi zao za NMB Mastercard na Mastercard QR atapata punguzo hadi la asilimia 15, wakinunua bidhaa katika vituo vya mafuta vilivyoainishwa na hiyo ni pamoja na sehemu za vyakula na maeneo ya starehe ambayo tumeingia ubia na wafanyabiashara katika Mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Moshi, Dodoma, Mwanza na Zanzibar. Tunaimani kampeni hizi zitawapeleka wateja katika njia ya kidigitali na kutunza miamala yao ya kibenki."

Amesema hiyo yote ni katika kuwatoa wateja katika mfumo wa matumizi ya fedha taslimu katika kufanya manunuzi na kutumia mfumo wa kadi katika kufanya malipo ya huduma njia ambayo ni rahisi na salama zaidi.

WITH OVER TZS 6 TRILLION SHILLINGS IN INVESTMENT, TANZANIA’S TELCO INDUSTRY IS TRANSFORMING THE ECONOMY

Here in Tanzania, we are lucky to have a thriving telecommunications industry which has gone from strength to strength in recent years to become one of the fastest-growing in the region.

The country’s digital infrastructure – which includes submarine internet cables, the ICT Broadband Backbone (NICTBB) and the roll-out of 4G – has created a wealth of job opportunities for Tanzanians. From engineers to wakala owners and technicians, the range of jobs created by the industry has had a tangible economic impact at the individual level.

It is not only in job creation, but more directly throughout ambitious investments that the telecom sector has also had a real impact. The sector has so far invested over TZS6 trillion in the country, in areas including network improvements as well as the roll-out of 4G. These investments have allowed for improvements to a sector that is vital to the economic future of our country.

Monday 21 December 2020

FOR TANZANIA TO CONTINUE GROWING ITS ECONOMY, IT IS IMPERATIVE THAT THE INVESTMENT CLIMATE IS AS ATTRACTIVE AS POSSIBLE

Tanzania's President Dr John Magufuli speaking to representatives of the business community in Tanzania in June 2019.

As another year draws to a close, it is only natural to reflect on the past year, while looking ahead to what 2021 may bring.

A notable moment from 2020 for Tanzania was undoubtedly the country reaching its ambitious target of becoming a lower-middle-income economy, five years ahead of schedule this summer.

The World Bank updates the classifications each year in July, and according to the organisation Tanzania was among only seven countries that moved up a category this year.

Economists praised this moment as “a step forward” in the national development process.

As many know, since 2016, the Tanzanian government has embarked on an ambitious programme to transform the country into a middle-income economy by 2025.

Looking ahead to 2021, it is worth remembering that gaining lower-middle-income status is only one part of Tanzania’s broader development goals. The Tanzania Development Vision 2025 is much broader and envisions the country as being a middle-income country by 2025, characterised by high-quality livelihoods, a well-educated society and a strong economy with sustainable growth.

WIZARA YA MAZINGIRA YASHIRIKIANA NA VODACOM TANZANIA FOUNDATION KUZINDUA MSITU WA KUPANDWA ULIOKO MEDELI JIJINI DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Ummy Mwalimu (kushoto) akifunua kitambaa kwa kushirikiana na Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua (wakwanza kulia) kuashiria uzinduzi rasmi wa bustani ya msitu wa miti ya kupandwa eneo la Medeli Jijini Dodoma hivi karibuni. Jiji hilo limetenga eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 10 kwa ajili ya msitu huo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Ummy Mwalimu akipanda mti kwa kushirikia na Meya wa Jiji la Dodoma, Prof. David Mwamfupe wakati wa kuzindua msitu wa miti ya kupandwa uliopo eneo la Medeli Jijini Dodoma hivi karibuni. Kulia anayeshuhudia ni Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua.
Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua (kushoto) akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Prof. David Mwamfupe walipokutana kwenye uzinduzi wa msitu wa kupandwa eneo la Medeli Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais , Mazingira, Ummy Mwalimu (kushoto) akisalimiana na Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua walipokutana kwenye uzinduzi wa msitu wa miti ya kupandwa eneo la Medeli Jijini Dodoma.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom, Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua (katikati) Emanuel Medukenya (kushoto) na Ibrahim Salumu (kulia) wakibeba miti kwa ajili ya kupanda eneo la Medeli Jijini Dodoma kwenye msitu wa miti ya kupandwa.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom, Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua (katikati) Emanuel Medukenya (kushoto) na Ibrahim Salumu (kulia) wakishirikiana kupanda miti eneo la Medeli Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa msitu huo wa miti ya kupandwa wenye ukubwa wa ekari 10.

AKIBA COMMERCIAL BENKI YAIPIGA JEKI TAASISIS YA FATA VICOBA ENDELEVU, YADHAMINI MKUTANO WA MWAKA

Meneja wa Benki ya Akiba Commercial Benki PLC (ACB), Tawi la Kijitonyama Joachim Mowo (kushoto) akizungumza na wanachama wa Taasisi ya fata vicoba endelevu wakati wa halfa ya Mkutano wao wa mwisho wa mwaka wa Taasisi hiyo ambapo mkutano huo uliodhaminiwa na Benki ya ACB kwa lengo la kukuza na kunufaisha wajasiriamali wadogo na wakubwa. Hafla hiyo imefanyika hivi karibuni katika ukumbi wa 361 uliyopo mwenge jijini Dar es Salaam. (Wapili kushoto) ni Mwenyekiti wa Taasisi futa vicoba endelevu Hanipha Tarimo, katibu wa Taasisi hiyo Rehema Sombi pamoja na Mtunza fedha Jefferson Makubo. Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa Mwanasheria Mkuu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Godfrey Songolo.
Meneja Masoko wa Benki ya Akiba Commercial Bank PLC (ACB), Innocent Ishengoma akizungumza na wanachama wa Taasisi ya fata vicoba endelevu wakati wa halfa ya Mkutano wao wa mwisho wa mwaka wa Taasisi hiyo ambapo mkutano huo uliodhaminiwa na Benki ya ACB kwa lengo la kukuza na kunufaisha wajasiriamali wadogo na wakubwa ili watimize ndoto zao kupitia benki ya ACB.
Mwanasheria Mkuu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Godfrey Songolo ambae pia alikuwa Mgeni rasmi katika hafla ya Mkutano wao wa mwisho wa mwaka wa Taasisi ya fata vicoba endelevu mkutano uliodhaminiwa na Benki ya ACB kwa lengo la kukuza na kunufaisha wajasiliamali wadogo na wakubwa ili waweze kutimiza ndoto zao kupitia Benki hiyo.
Mwenyekiti wa Taasisi futa vicoba endelevu Hanipha Tarimo akitoa ufafanuzi kuhusu Taasisi hiyo wakati wa halfa ya Mkutano wao wa mwisho wa mwaka wa Taasisi hiyo ambapo mkutano huo uliodhaminiwa na Benki ya ACB kwa lengo la kukuza na kunufaisha wajasiliamali wadogo na wakubwa ili watimize ndotozao kupitia benki ya ACB.
Baadhi ya wanachama wa Taasisi ya fata vicoba endelevu na wateja wa Benki ya ACB wakiwa katika hafla ya Mkutano wao wa mwisho wa mwaka Uliodhaminiwa na Benki hiyo.
Picha ya Pamoja.

MKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM AJISHINDIA GARI JIPYA KWENYE PROMOSHENI YA VODACOM SHANGWE SHANGWENA

Mshindi wa tatu wa promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Peter John mkazi wa Kigamboni akifungua mlango wa gari mpya aina ya Renault KWID aliyojishindia kwenye promosheni hiyo. Anayeshuhudia kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe. Sarah Msafiri.
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe. Sarah Msafiri (mbele kulia) akimpongeza mshindi wa tatu wa promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Peter John mara baada ya kukabidhiwa gari yake. Wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen, mke wa mshindi, Anna Makundi (katikati) na wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom.
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe. Sarah Msafiri akionyesha funguo kwa wananchi waliojitokeza kushuhudia makabidhiano ya gari kwa mshindi wa promosheni ya Shangwe Shangwena, Peter John.

AFRICAN DEVELOPMENT BANK’S BOARD OF DIRECTORS APPROVES THE BANK’S BORROWING PROGRAM FOR 2021

The Bank will continue to promote the development of African Capital markets with the issue of local currency denominated debt to facilitate the financing of its local currency operations

ABIDJAN, Ivory Coast, December 20, 2020/ -- The 2021 Borrowing Program of the African Development Bank (www.AfDB.org) has been approved by the Board of Directors for up to $10.4 billion to be raised from capital markets. This program will allow the Bank to raise funds in the debt capital markets in order to help finance the Bank’s projects and programs in Africa. The approval was made on December 11, 2020.

The African Development Bank is active in various international capital markets including the US dollar, Euro, Australian dollar and Pound sterling. The Bank will continue to promote the development of African Capital markets with the issue of local currency denominated debt to facilitate the financing of its local currency operations, alongside other initiatives.

In the socially responsible investment arena the Bank continues to be active and a regular issuer of Green and Social Bonds, as highlighted by its award winning and landmark $3 billion, three-year “Fight Covid-19” Social Bond earlier this year. The African Development Bank has also continued to use its ‘High 5’ operational priorities as a platform to issue 19 theme bonds, including ‘Improve the Quality of the Life for the People of Africa’ and ‘Light Up and Power Africa’ bonds.