Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 31 May 2023

DKT. NCHEMBA AWAAGIZA WATAALAM WA UCHUMI WA KITAIFA NA KIMATAIFA KUTAFUTA SULUHU YA UPUNGUFU WA DOLA ZA MAREKANI KATIKA SOKO LA FEDHA

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akifungua kikao cha wataalamu wa Wizara hiyo na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kuhusu tathmini ya Program ya Huduma za Mikopo (EFC), jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimsikiliza Kiongozi wa ujumbe kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Harris Tsangaride wakati wa kikao cha wataalamu wa Wizara hiyo na IMF, waliokuja nchini kufanya tathmini ya Program ya Huduma za Mikopo (EFC), jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi wa ujumbe kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bw. Harris Tsangaride baada ya kufungua kikao cha wataalamu wa Wizara hiyo na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), waliofika nchini kwa ajili ya kufanya tathmini ya Program ya Huduma za Mikopo (EFC), jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaagiza wataalamu wa Wizara ya Fedha na Mipango na ujumbe kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kujadili namna ya kushughulikia athari za upungufu wa dola za Kimarekani katika mzunguko wa fedha ili kunusuru uchumi wa nchi zinazoendelea.

Mhe. Dkt. Nchemba (Mb) ametoa maagizo hayo wakati wa kufungua kikao kilichowashirikisha wataalam kutoka Shirika la Fedha na Kimataifa (IMF) waliowasili nchini kwa ajili ya kufanya tathimini ya Program ya Huduma za Mikopo (EFC), kwa kushirikiana na wataalam wa ndani wa Serikali.

Alisema mabadiliko ya Sera za Fedha nchini Marekani ya kubana matumzi na kupunguza dola kwenye mzunguko wa fedha, yameleta athari zinazoonekana mpaka kwenye nchi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania.
“Tumekuwa tukirejea Uviko na vita baina ya Urusi na Ukraini kama moja ya vitu vinavyoathiri uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania lakini upungufu wa dola unaathiri uchumi kwa kiwango kikubwa ikiwemo uagizaji wa mafuta na uagizwaji wa bidhaa mbalimbali zinazotumika katika shughuli za Sekta Binafsi”, alisema Dkt. Nchemba.

UEFA EUROPA FAINALI JUMATANO HII NDANI YA DStv

Jumatano hii hapatoshi ndani ya @dstvtanzania kwenye fainali ya #UEL.

Ni Sevilla vs Roma wanakipiga Live!

Unadhani mechi hii itakuwa na matokeo gani?

Piga *150*53# kulipia kifurushi cha Poa TShs 10,000 tu kufurahia mechi hii.

Jiunge na familia ya @dstvtanzania kwa kupiga 0659 07 07 07.

#TvniDstv
#Unakosaje

AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP FINANCIAL REPORT AND DEVELOPMENT IMPACT: BANK GROUP PROVES ITS RESILIENCE WITH STRONG RECORD OF ACTIVITY IN 2022

African Development Bank Senior Vice President Swazi Tshabalala during the Financial Presentation and Development Impact session at the 2023 Annual Meetings, Sharm El Sheikh, Egypt.

African Development Bank Group Financial Report and Development Impact: Bank Group proves its resilience with strong record of activity in 2022 – over $8 billion invested to support the continent’s recovery
These investments include a $1.5 African Emergency Food Production Facility set up in response to the prospect of a major food crisis in Africa due to Russia’s invasion of Ukraine

SHARM EL SHEIKH, Egypt, May 30, 2023/ -- The African Development Bank Group (www.AfDB.org) remained resilient in the face of the unprecedented global economic challenges in 2022, investing over $8 billion that year to support recovery across its 54 regional member countries, it announced during its Annual Meetings.

At a Financial Presentation and Development Impact luncheon held on Thursday 25 May, the Group’s Senior Vice President Swazi Tshabalala said that three years after the onset of the Covid-19 pandemic, the development landscape “remains challenging and uncertain.” The Financial Presentation and Development Impact session is a signature event of the Annual Meetings at which the achievements of the Bank Group over the preceding fiscal year are highlighted.

The confluence of multiple challenges, including the pandemic, inflationary pressures, rising public debt levels, conflict and insecurity and the impacts of climate change, slowed the continent’s recovery, with Africa’s economic growth dropping by 1% from last year, Tshabalala said. Even more concerning: an additional 15 million people were pushed into extreme poverty.

“Despite this challenging environment, the Bank has remained agile and responsive to the changing needs of African countries. Through transformative projects across the Bank’s operational priorities, in 2022 we invested over $8 billion dollars to support the continent’s recovery,” Tshabalala said.

Tuesday 30 May 2023

TANZANIA INVESTMENT CENTRE: TOYOTA PLANS TO INVEST IN TANZANIA


Tanzania Investment Centre (TIC) is discussing with Japan’s Toyota Motor Corporation (TMC) about possibilities of opening an assembling plant in the country.

TIC Senior Investment Officer, Ms Latiffa Kigoda, told the ‘Daily News’ yesterday that the talks were at an advanced stage though the details of the investment will come after the July meeting.

“Toyota has shown interest to invest in the country,” Ms Kigoda said, “We will host a delegation of five people from Japan again in the first week of July, for further discussion on opening a car assembling in the country.”

The TIC Executive Director, Mr Gilead Teri, will lead the Tanzania team at the July meeting, and depending on the outcome of the discussion, Toyota may be placed in a strategic investor category.

“Our talks centred on seeing Toyota invest in our country,” she said and the meeting was scheduled after Toyota asked for the appointment.

Additionally, she said “TIC Executive Director is keen to see we strike a deal with Toyota.”

KLM UNVEILS NEW CABIN CLASS, TARGETS INCREASING DEMAND FOR LUXURY TRAVEL

  • Tanzania will be one of the first countries in Africa to experience the new cabin
  • Dubbed Premium Comfort the new cabin is installed on all KLM international flights
  • The new cabin is installed on all Boeing 777 and 787 aircraft flying to international destinations
Dar es Salaam, Tanzania May 26th, 2023: Dutch National Carrier KLM has introduced a new cabin class dubbed Premium Comfort in between the economy class and business class.

Targeted at customers who want to enjoy the luxury of flying comfortably the new cabin is installed on all Boeing 777 and 787 aircraft flying to international destinations.


Giving his remarks on the new cabin, Alexander van de Wint, Air France – KLM Country Manager, Tanzania said the new Premium Comfort Class allows KLM to more closely meet the needs and wishes of leisure and business travellers.


"We are thrilled to introduce our new premium comfort cabin class, designed to offer a luxurious flying experience. With this new offering, we can cater to the needs of our customers who value more comfort. Customers in this cabin get to also enjoy sky priority, extra legroom and an extensive menu. We are confident that this new cabin class will elevate our customers' travel experience, and we look forward to welcoming them on board." Said Alexander van de Wint.

DKT. MPANGO AGUSWA NA JITIHADA ZA NBC KUCHOCHEA MAENDELEO SERIKALI ZA MITAA

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa wateja wadogo na binafsi wa benki ya NBC Elibariki Masuke (kulia) alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa mkutano mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania - ALAT unaofanyika jijini Arusha. Benki ya NBC ilikuwa ni mmoja wa wadhamini wa mkutano huo.

Mkurugenzi wa wateja wadogo na binafsi wa benki ya NBC, Elibariki Masuke akitoa salamu za benki hiyo kama moja wa wadhamini wa mkutano mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania - ALAT. Mkutano unafanyika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa AICC jijini Arusha.

Wafanyakazi wa benki ya NBC, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania - ALAT unaofanyika jijini Arusha. Benki ya NBC ilikuwa ni mmoja wa wadhamini wa mkutano huo.

Arusha, Mei 29, 2023: Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango ameipongeza Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kuendelea kusaidia mamlaka za serikali za mitaa nchini na kwa gawio walilotoa kwa serikali na kuwasii wafanye bidii zaidi ili kuweza kuchangia zaidi pato la serikali kwa ajili ya maendeleo ya nchi.


Dkt. Mpango alitoa wito huo wakati alipotembela banda la benki hiyo katika Mkutano Mkuu wa 37 Jumuia ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaoendelea jijini Arusha. NBC Bank ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa mkutano huo ambao ulifunguliwa rasmi na Makamu wa Rais.


Akizungumza na uongozi wa benki hiyo, Dkt. Mpango aliipongeza benki hiyo kwa kuendelea kusaidia miradi inayolenga kuzisaida mamlaka za serikali za mitaa na kukuza maendeleo katika ngazi ya msingi.

GAVANA WA BOT AKUTANA NA UMOJA WA MABENKI TANZANIA

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba amekutana na Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) unaoongozwa na Theobald Sabi, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu sekta ya Benki nchini.



MKOA WA MARA WAZINDUA RASMI MFUMO WA M-MAMA KURAHISISHA USAFIRI WA DHARURA KWA WAJAWAZITO, WALIOJIFUNGUA NA WATOTO WACHANGA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Mh. Msalika Makungu (wa kwanza kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mratibu wa Kituo cha m-mama katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere eneo la Kwangwa, Bw. Oscar Amos (wa kwanza kushoto) wakati wa uzinduzi wa huduma ya usafiri wa dharura kwa wajawazito, waliojifungua, na watoto wachanga ili kuokoa vifo vya mama na mtoto. Wakisikiliza Pamoja naye wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma za Ziada wa Vodacom Tanzania PLC, Mhandisi Nguvu Kamando na wa pili kushoto ni Mtoa Huduma wa Kituo cha m-mama hospitalini hapo, Bi. Salome Sizya. Mpaka sasa, zaidi ya akina mama 21,800 na Watoto wachanga wamesafirishwa kupitia mfumo huu, ambapo takribani maisha 806 yameokolewa.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Mh. Msalika Makungu (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma za Ziada wa Vodacom Tanzania PLC, Mhandisi Nguvu Kamando (katikati) akielezea namna kampuni hiyo inavyounga mkono juhudi za serikali kuhusu usambazaji wa mfumo wa m-mama unaosaidia kusafirisha akina mama wajawazito, waliojifungua na watoto wachanga kwa dharura ili kuokoa vifo vya mama na mtoto kwa mkoa wa Mara. Akisikiliza kulia wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere eneo la Kwangwa, kushoto ni Mtoa Huduma wa Kituo cha m-mama hospitalini hapo, Bi. Salome Sizya. Mpaka sasa, zaidi ya akina mama 21,800 na Watoto wachanga wamesafirishwa kupitia mfumo huu, ambapo takribani maisha 806 yameokolewa.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Mh. Msalika Makungu (kulia), akikata utepe kuzindua huduma ya usafiri wa dharura kwa wajawazito, waliojifungua, na watoto wachanga ili kuokoa vifo vya mama na mtoto uliofanyika katika Hospitali ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere eneo la Kwangwa, wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma za Ziada wa Vodacom Tanzania PLC, Mhandisi Nguvu Kamando. Mpaka sasa, zaidi ya akina mama 21,800 na Watoto wachanga wamesafirishwa kupitia mfumo huu, ambapo takribani maisha 806 yameokolewa.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Msalika Makungu (kulia), akizungumza na wadau wa sekta ya Afya wakati wa kuzindua huduma ya kuwasafirisha wajawazito, wanawake na watoto wachanga kwa dharura ili kuokoa vifo vya Mama na Mtoto (m-mama), wakati wa hafla iliyofanyika katika Hospitali ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere eneo la Kwangwa, kushoto ni Mkurugenzi wa Dijitali na huduma za Ziada wa Vodacom Tanzania Mhandisi Nguvu Kamando na Mganga Mkuu wa Mkoa huo Dk Zablon Masatu (katikati). Mpaka sasa, zaidi ya akina mama 21,800 na Watoto wachanga wamesafirishwa kupitia mfumo huu, ambapo takribani maisha 806 yameokolewa.

Wadau wa sekta ya Afya wakipiga makofi kwa Vodacom Tanzania wakati wa uzinduzi wa huduma ya kuwasafirisha wajawazito, wanawake na watoto wachanga kwa dharura ili kuokoa vifo vya Mama na Mtoto (m-mama), wakati wa hafla iliyofanyika katika Hospitali ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere eneo la Kwangwa mkoani Mara. Mpaka sasa, zaidi ya akina mama 21,800 na Watoto wachanga wamesafirishwa kupitia mfumo huu, ambapo takribani maisha 806 yameokolewa.

Monday 29 May 2023

WIKI HII TUNAENDELEZA FAINALI NDANI YA DStv POA


Baada ya fainali ya Yanga, wiki hii tunaendeleza fainali ndani ya Poa.

Furahia mechi hizi ndani ya Poa kupitia SuperSport

Jumatano
⚽ Sevilla vs Roma

Jumamosi
⚽ Manchester City vs Manchester United
⚽ USM Alger vs Yanga
⚽ Fiorentina vs West Ham

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako TShs 10,000 tu kufurahia mechi hizi ndani ya @dstvtanzania pekee

#TvniDStv
#Unakosaje

OPPORTUNITIES FOR THE PRIVATE SECTOR IN THE CLIMATE SECTOR IN TANZANIA

MKUU WA WILAYA YA ARUSHA AZINDUA DUKA JIPYA LA VODACOM KURAHISISHA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mh. Felician Mtahengerwa (kushoto) akikata keki kwa kushirikiana na Meneja wa Duka la Vodashop jijini Arusha, Bw. Davis Christian (kulia) kuashiria uzinduzi rasmi wa duka jipya la Vodashop lililopo Aim Mall mwishoni mwa wiki. Mkuu huyo wa Wilaya alilisisitiza umuhimu wa ufanisi na ubora hasa katika kuchochea huduma za mawasiliano vijijini pamoja na kuchochea shughuli za utalii.


Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mh. Felician Mtahengerwa (katikati) akizungumza na wateja na wageni (hawapo pichani) waliohudhuria uzinduzi duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Aim Mall jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Wakifuatilia uzinduzi huo kushoto ni Mkuu wa kanda Kanda ya Kaskazini wa kampuni hiyo, Bw. George Venanty Pamoja na meneja wa duka hilo, Bw. Davis Christian (kulia). Mkuu huyo wa Wilaya alisisitiza umuhimu wa ufanisi na ubora hasa katika kuchochea huduma za mawasiliano vijijini pamoja na kuchochea shughuli za utalii.


Baadhi ya wateja wakipatiwa huduma kutoka kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania katika duka jipya mara baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mh. Felician Mtahengerwa (hayupo pichani) linalopatikana Aim Mall jijini humo. Mkuu huyo wa Wilaya alilisisitiza umuhimu wa ufanisi na ubora hasa katika kuchochea huduma za mawasiliano vijijini pamoja na kuchochea shughuli za utalii.

DIAMOND TRUST BANK CONDUCTS A 3-DAY MEDICAL CAMP AT BOMBO HOSPITAL


Diamond Trust Bank in collaboration with Lions Club of Dar es salaam, conducted a 3-day Medical camp at Bombo Hospital (Tanga Regional Referral Hospital).


More than 2,900 patients were screened for various medical conditions including body mass index (BMI) diabetes, eye disorders, malaria and other ailments. The camp was a success; oversaw 281 cataract surgeries, distributed 1,200 spectacles, eye drops, glucose and other medical consumables.


The bank in its sustainability agenda, has forged partnerships with various stakeholders in the quest to improve the standards of life to many underprivileged Tanzanians.


Friday 26 May 2023

AFRICA SET TO BE THE SECOND-FASTEST GROWING REGION AFTER ASIA, BUT HEADWINDS REMAIN, SAYS AfDB’S AFRICAN ECONOMIC OUTLOOK REPORT


Africa is set to be the second-fastest growing region in the world after Asia in 2023-24, demonstrating the resilience of its economy despite dealing with multiple global shocks.

But the projected growth will depend on global conditions and the continent’s ability to bolster its economic resilience, the African Development Bank’s 2023 African Economic Outlook report has found.

The report, launched on Wednesday, forecasts that Africa will consolidate its post-Covid-19 pandemic recovery to 4.3% GDP growth in 2024 from 3.8% in 2022. Some 22 countries will record growth rates above 5%, it says.

It recommends robust policy actions, including incentivizing green industries and providing guarantees at scale to de-risk private sector investments in managing natural capital across the continent.

The launch, attended by African leaders, experts and development partners, was one of the highlights of the Bank Group’s Annual Meetings in Sharm El Sheikh, Egypt. It was under the theme, Mobilizing Private Sector Financing for Climate and Green Growth.

The Bank Group’s Chief Economist and Vice President for Economic Governance and Knowledge Management, Prof. Kevin Urama, presented the report’s findings, outlining several potential policy actions for stimulating more private sector financing for climate and green growth in Africa.

These options include tapping into the expanding global and domestic private equity and venture capital appetite for African markets and “cautiously engaging with the emerging carbon markets and debt-for-climate swaps,” Urama said.

Unveiling the 220-page report, African Development Bank Group President Akinwumi Adesina said African countries must do more, including mobilizing more domestic resources and restructuring debt to withstand global headwinds.

FAINALI YA MVUA NA JUA JUMAPILI HII NDANI YA DStv



Wananchiiiiii!!!!!

Jumapili hii timu ya Yanga inakicheza kwa mara ya kwanza kwenye fainali ya CAF Confederation kupitia chaneli za SuperSport pekee...

Piga *150*53# kulipia kifurushi cha Poa TShs 10,000 tu kufurahia mechi hii Live ndani ya @dstvtanzania pekee...

#TVniDStv
#Unakosaje

Thursday 25 May 2023

GOVERNMENT OKAYS PPP IN DAR ES SALAAM PORT OPERATION


The government has issued a green light for the integration of the private sector in the operation of Dar es Salaam Port, in a grand plan to improve performance and increase revenue from the facility.

However, an investor who has an interest in taking part in the operation of the port will have to meet five key conditions set by the government for improved efficiency.

Speaking in the Parliament on Tuesday, when winding up the budget for the year 2023/24, Minister for Works and Transport, Prof Makame Mbarawa said an investor will have to meet international standards for the port to be more competitive.

The minister was responding to contributions of Members of Parliament who suggested the need for operating the Port of Dar es Salaam through Public Private Partnership (PPP) approach.

Prof Mbarawa said, the new investor must also come up with a permanent solution on cargo shipping from the point of origin to the client within a short period of time.

“It must be an international company with a proper network and vast experience in the shipping industry,” he said, adding that the government will also consider an investor who is capable of securing new markets.

“Furthermore, the consideration will be on a bidder with an experience in port operations,” he said, assuring the move will increase the number of ships that dock at the Port of Dar es Salaam.

Prof Mbarawa explained that inviting the private sector in the operation of the port is a phenomenon that is unavoidable in the current world.

NMB YA KWANZA KUZINDUA MALIPO KWA QR NA UNIONPAY INTERNATIONAL


Benki ya NMB kwa kushirikiana na UnionPay International (UPI), wamezindua suluhisho la malipo ya kimtandao kupitia QR kwa wateja wao (NMB - UPI QR Code), huduma isiyo na mipaka ya malipo kwa watalii ama wageni wanaotua nchini kutoka Bara la Asia, wakiwemo Watanzania wanaofanya biashara kati ya Tanzania na China.

NMB - UPI QR Code, unaifanya benki hiyo kuwa ya kwanza nchini na ya tatu kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati kuwa na suluhishi hiyo chanya, ambapo mtu akiwa na 'app' ya UPI, ataweza kufanya malipo kwa 'ku-scan' kwenye QR za NMB zaidi ya 147,000 zilizopo kote nchini.



Uzinduzi huu umefanyika jijini Dar es Salaam Jumanne ya Mei 23, ukihudhuriwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel Shelukindo, UPI ikiwakilishwa na Meneja Mkuu wa UnionPay Tawi la Afrika, Asad Burnley, huku NMB ikiongozwa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mponzi alisema NMB UPI QR Code unaenda kuwa chagizo la kampeni ya jamii isiyo na matumizi ya pesa taslimu na kwamba wana imani ukubwa wa taasisi hizo mbili utakuwa mhimili wa mafanikio ya bidhaa hiyo ambayo ni hatua kubwa katika kuchachua uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

OPENING CEREMONY SPEECH DR. AKINWUMI A. ADESINA PRESIDENT, AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP - 2023 ANNUAL MEETINGS OF THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP - SHARM EL SHEIKH, EGYPT 23 MAY 2023


Your Excellencies,

Welcome to the 2023 Annual Meetings of the African Development Bank Group with the theme: “Mobilizing Private Sector Financing for Climate and Green Growth in Africa.”

I wish to thank H.E. President El-Sisi (my dear big brother) for hosting the 2023 Annual Meetings of the African Development Bank Group. I applaud and I am grateful for the exceptional support of the Government of Egypt in preparing for the Annual Meetings (Applause).

A special welcome to you, the Heads of State and Government for being here for these Annual Meetings. Thank you for honoring our invitation. Your presence in such large numbers is a testament of the great friendship you have with Egypt and the support you have always been giving to the African Development Bank.

A special welcome to President Azali Assoumani of Union of Comoros and Chairman of the African Union, and President Emmerson Mnangagwa of the Republic of Zimbabwe. We are delighted as well to be joined by Vice President Phillip Mpango of the United Republic of Tanzania; Prime Minister Hamza Barre of the Federal Republic of Somalia; Prime Minister Edouard Ngirente of the Republic of Rwanda; Prime Minister Gervais Ndirakobuca of the Republic of Burundi; and H.E. Joaquim Chissano, former President of the Republic of Mozambique.

And a special welcome as well to H.E. Moussa Faki, the Chairperson of the African Union Commission, and my dear brother. Thank you for your strong partnership with the African Development Bank and for your support.

I warmly welcome all our Governors of the Bank, Honorable Ministers, and all participants to these Annual Meetings.

BANK OF TANZANIA MONETARY POLICY COMMITTEE MEETING STATEMENT


23rd May 2023: The Monetary Policy Committee (MPC) held its 226th Ordinary Meeting on 22nd May 2023, to assess the conduct of monetary policy in March and April 2023, review the performance and outlook of the domestic and global economy, and agree on monetary policy measures for May and June 2023. The MPC noted with satisfaction the sustained implementation of a less accommodative monetary policy that succeeded in containing inflation within the target while ensuring an adequate supply of liquidity in the banking system in support of credit intermediation and recovery of various economic activities. In addition, the policy stance supported the attainment of agreed benchmarks under the IMF Extended Credit Facility (ECF) arrangement for the quarter ending March 2023, laying the foundation for achieving the performance criteria for June 2023. 

In discussing recent economic trends, the MPC observed that global economic activity remained weak in 2022 and the outlook is uncertain, reflecting the adverse effects of war in Ukraine, monetary policy tightening and climate-related constraints. Global inflation has been easing since the last quarter of 2022, driven by a decline in energy prices, but remained above the central banks' targets in many countries. Commodity prices in the global market have been declining, though remained above the levels recorded before the war in Ukraine. Going forward, inflation is expected to continue declining, driven by the lagged effect of monetary policy tightening and expected further decrease in commodity prices. 

On the domestic economy, the MPC noted that: 
  • growth is broadly on track supported by improving business conditions, sustained public and private investment, recovery in tourism, and strong growth of credit to the private sector. In Mainland Tanzania, growth in the first three quarters of 2022 was 5.2 percent, and highfrequency economic indicators support for strong growth of around 5 percent for the entire year 2022 and about 5.2 percent for 2023. Zanzibar economy is estimated to have grown by 6.8 percent in 2022, much faster than 5.1 percent in 2021. In 2023, Zanzibar economy is projected to grow at 7.1 percent;
  • inflation in Mainland Tanzania eased for the third month in a row to 4.3 percent in April 2023, remaining below the target of 5.4 percent for 2022/23. In Zanzibar, inflation rose to 7.5 percent in April 2023 from 7.1 percent in March 2023, remaining above the medium-term target of 5 percent, largely due to an increase in the prices of food. The MPC expects inflation to remain low in the remainder of 2022/23, based on expected further decline in food and energy prices in the global market, complemented by less accommodative monetary policy and favourable weather that will improve food supply;

Wednesday 24 May 2023

NMB BANK DEBUTS FIRST UNIONPAY QR CODE IN TANZANIA

NMB Bank Plc and UnionPay International (UPI) have reinforced their digital finance collaboration by partnering to introduce the first UnionPay QR code in Tanzania, which they officially debuted early this week.

The digital financial inclusion development is yet another major milestone in national efforts to modernise the country’s payment ecosystem as Tanzania progressively readies to become a digital economy and less cash society.


Speaking at the event to launch the NMB UnionPay QR Code payment solution in Dar es Salaam on Tuesday evening, officials of the two organisations spoke highly of the relevance the digital payment solution in the country and the added value of their new partnership.

NMB’s Chief of Retail Banking, Mr Filbert Mponzi, said the partnership with UPI means a lot in their aspiration to modernise and promote digital payments in the country.

According to him, the collaboration once again demonstrates the commitment of the two organisations to champion a cashless society, which is served by a highly digitalised economy.

On his part, the General Manager of UPI Africa Branch, Mr Asad Burney, said apart from advancing inclusive finance, the partnership also increases the footprint of UnionPay cards acceptance on NMB’s digital payments platforms.

“NMB Bank has played a key role and continues to be instrumental in supporting the modernization of the payment solutions in the country,” Mr Mponzi noted in his remarks prior to the unveiling of the third UnionPay QR code in East Africa.

TUNAPAMBANA TOP 4 NDANI YA DStv COMPACT


Man U anakipiga dhidi ya Chelsea kwenye michuano ya #EPL.

Je Man U ataweza kutinga Top 4?

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako cha Compact TSh 56,000 tu ufurahie mechi hii LIVE ndani ya @dstvtanzania pekee.

#TVniDStv
#Unakosaje

BOT NOTICE TO THE PUBLIC - TRANSFER OF ASSETS AND LIABILITIES OF YETU MICROFINANCE BANK PLC TO NMB BANK PLC


In exercising its powers under section 56(1)(g)(i) and (iii) of the Banking and Financial Institutions Act, 2006, on 12th December 2022 the Bank of Tanzania placed Yetu Microfinance Bank Plc under administration in order to determine the best resolution to its regulatory challenges. Normal business operations of Yetu Microfinance Bank Plc were suspended to allow the Bank of Tanzania to determine the appropriate resolution option. 

The Bank of Tanzania wishes to inform the public that, as per its mandate as provided under Section 59 (4) of the Banking and Financial Institutions Act, 2006, the process of determining the resolution option of Yetu Microfinance Bank Plc has been completed, and transfer of assets and liabilities to an existing bank has been adopted as the formal resolution option effective 24th May 2023. Consequently, as mandated under Section 58(2) (h) of the Banking and Financial Institutions Act, 2006, the Bank of Tanzania has, under acquisition by operation of the law, transferred all assets and liabilities of Yetu Microfinance Bank Plc to NMB Bank Plc. 

Depositors and other creditors of Yetu Microfinance Bank Plc will be advised in due course how and when they will commence accessing banking services through NMB Bank Plc. Meanwhile, all borrowers are required to continue paying their maturing obligations as per the terms and conditions of the agreements. The Bank of Tanzania reiterates its commitment to protect the interests of depositors, creditors and maintain the stability of the banking sector. 

GOVERNOR 
BANK OF TANZANIA

BENKI YA NBC YAZINDUA RASMI USAJILI WA MBIO ZA NBC DODOMA MARATHON 2023

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya NBC, Waziri Barnabas, akiongea wakati wa uzinduzi wa mbio za NBC Dodoma Marathon ambazo zitafanyika Dodma Julai 23 mwaka huu. Mbio hizo zinafanyika kwa mara ya nne mwaka huu zikilenga kukusanya fedha kwa ajili ya kupambana na saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake na kutoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosomea ukunga.

Viongozi na wadhamini mbali mbali wa mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa mbio hizo unaotarajia kufanyika Dodoma Julai 23. Mbio hizo zinafanyika kwa mara ya nne mwaka huu zikilenga kukusanya fedha kwa ajili ya kupambana na saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake na kutoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosomea ukunga.


Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi wa mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 ambazo zitafanyika Dodoma Julai 23 mwaka huu wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo. Mbio hizo zinafanyika kwa mara ya nne mwaka huu zikilenga kukusanya fedha kwa ajili ya kupambana na saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake na kutoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosomea ukunga.


Viongozi na wadhamini mbali mbali wa mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 wakionyesha alama ya upendo wakati wa uzinduzi wa mbio hizo unaotarajia kufanyika Dodoma Julai 23. Mbio hizo zinafanyika kwa mara ya nne mwaka huu zikilenga kukusanya fedha kwa ajili ya kupambana na saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake na kutoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosomea ukunga.
  • Mbio za NBC Dodoma Marathon kufanyika tarehe 23.07.2023 Dodoma.
  • Itahusisha mbio za Km42, Km21, Km10 na Km5.
  • Mbio zinalenga kukusanya fedha kusaidia kuboresha afya ya mama na mtoto.
  • Zaidi ya wakimbiaji 6,000 kutoka nchi mbalimbali kushiriki.
  • Ili kujisajiri tembelea www.events.nbc.co.tz na kuchangia kiasi cha TZS 30,000 kwa usajili au 25,000 kwa kundi la kuanzia watu ishirini.
  • Zaidi ya shilingi 500 milioni zimekusanywa katika miaka mitatu iliyopita, zikigharamia matibabu ya saratani kwa zaidi ya wanawake 1,300.
  • Benki kuanza kutoa udhamini kwa wanafunzi wanosomea ukunga ili kusaidia upungufu wa wataalamu hao nchini.
Dar es Salaam, 23 Mei 2023: Benki ya NBC imetangaza kufanyika kwa mbio kubwa za NBC Dodoma Marathon mwaka 2023 siku ya Jumapili tarehe 23 Julai 2023 mkoani wa Dodoma.

Lengo kuu la mbio za NBC Dodoma Marathon ni kukusanya fedha ili kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na kuchangia kutoa ufadhili wa elimu kwa wanafunzi wanaosomea taaluma ya ukunga ili kuboresha afya ya mama wa mtoto.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenziwa Fedha wa Benki hiyo Waziri Barnabas alisema; “Kupitia mbio hizi za NBC Dodoma Marathon, tunalenga kuchangia katika kuboresha afya ya uzazi kupitia sapoti kwenye mapambano dhidi ya kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake na pia kutoa ufadhili kwa wanafunzi wa taaluma ya ukunga nchini. Tunaamini kuwa kupitia shindano hili tuweza kuisaidia jamii yetu kupambana na changamoto hizi. 

Kupitia ufadhili wa wanafunzi wa elimu ya ukunga itasaidia kukabiliana na upungufu wa wataalamu hao na hivyo kupunguza vifo vya kina mama wakati wa uzazi. Vilevile tunaendelea na msaada wetu katikamapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi ambapo mpaka sasa tumeshakusanya zaidi yashilingi milioni 500 zilizosaidia kufikia upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake zaidi ya 23,500 na matibabu kwa zaidi ya wanawake 1,300. Tunajivunia mafanikio haya” alisema.