Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 27 October 2020

VODACOM TANZANIA PLC YAZINDUA DUKA LA KISASA MTAA WA MSIMBAZI KARIAKOO LITAKALOWEZESHA WAFANYABIASHARA KUPATA HUDUMA MBALIMBALI

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la kampuni hiyo lililopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya Vodacom nchini. Kulia ni Meneja wa maduka ya rejareja Vodacom, Vanessa Mlawi.

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kisasa la kampuni hiyo lililopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya Vodacom nchini.

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akimkabidhi zawadi mteja wa Vodacom, Christina Swai mkazi wa Arusha kwa kutumia mtandao huo kwa muda wa miaka 20 ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 20 ya Vodacom nchini.
Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Pwani na Dar es Salaam, Brigita Stephen akimkabidhi zawadi mteja wa Vodacom, Ashley Mwakilasi mkazi wa Kawe kwa kutumia mtandao huo kwa muda wa miaka 20 ikiwa sehemu ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 20 ya Vodacom nchini.

No comments:

Post a Comment