Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 15 March 2019

WANAWAKE WA BENKI YA NBC WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE WAKIWAWATEMBELEA WATEJA WAO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya NBC, Ashura Waziri (kulia), na ofisa katika kitengo hicho, Nuru Lema (katikati), wakikabidhi maua kwa mmoja wa wateja wao Bi. Manka Teweli (kushoto), dukani kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni ikiwa ni moja ya matukio katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya NBC, Ashura Waziri (katikati), na ofisa katika kitengo hicho, Nuru Lema (kulia), wakikabidhi maua kwa mmoja wa wateja wao Bi. Nkaleni Moria Warioba (kushoto), ofisini kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni ikiwa ni moja ya matukio katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya NBC, Ashura Waziri (kushoto), akikabidhi maua kwa mmoja wa wateja wao Mama Scolastika Ponera, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni ikiwa ni moja ya matukio katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya NBC, Ashura Waziri (katikati), na ofisa katika kitengo hicho, Nuru Lema (kushoto), wakikabidhi maua kwa mmoja wa wateja wao Bi. Doreen Nandha, dukani kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni ikiwa ni moja ya matukio katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.

No comments:

Post a Comment