Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 15 March 2019

BENKI YA STANBIC YATOA KADI 200 ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Mrisho Gambo (wa pili kushoto), akimkabidhi mtoto Bless John, mmoja kati ya watoto 200 wanaoishi katika mazingira magumu walionufaika na bima ya afya kwaajili ya kupata matibabu kutoka benki ya Stanbic Tanzania jijini Arusha hivi karibuni. Kulia ni Mkuu wa Standard Bank kanda ya Afrika, Tshepo Dlamini Ramoshaba na Afisa Ustawi wa Jamii, Asia Jingu (kushoto). 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Mrisho Gambo (wa pili kushoto) akimkabidhi mmoja wa watoto 200 wanaoishi katika mazingira magumu walionufaika na bima ya afya kwaajili ya kupata matibabu kutoka benki ya Stanbic Bank Tanzania zilizotolewa jijini Arusha hivi karibuni. Kulia ni kiongozi wa benki hiyo kanda ya Afrika, Tshepo Dlamini Ramoshaba na kushoto ni Afisa Ustawi wa Jamii, Asia Jingu.

No comments:

Post a Comment