Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 20 July 2016

TIMU 16 ZA MABENKI KUCHUANA KATIKA LIGI YA BRAZUKA KIBENKI

Mwakilishi wa Benki ya Twiga Bancorp, Abdallah Juma (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond Bunyinyiga wa Barclays. 
Mwakilishi wa Benki ya Ecobank, Christian Israel (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Nasikiwa Berya na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi wa Benki ya CBA, Erick Ruyanga (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Nasikiwa Berya na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi wa Benki ya Exim, Grayson Malisa (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Nasikiwa Berya na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi wa Benki ya KCB, Iddy Nyunga (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni mwakilishi kutoka Barclays, Raymond Bunyinyiga.
Mwakilishi wa Benki ya DTB, Iddy Yakoub (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi wa Benki ya NMB, Nuhu Mkuchu (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Nasikiwa Berya na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi wa Benki ya Barclays, Rajabu Abdallah (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi wa Benki ya Citibank, Silver Samba (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.

No comments:

Post a Comment