Dar es Salaam, 8 Novemba 2024: Serengeti Breweries Limited (SBL) imeibuka kuwa mzalishaji bora wa pombe kali kwenye Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (PMAYA), zilizofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Tuzo za PMAYA, ambazo ni miongoni mwa heshima za juu kabisa kwa wazalishaji nchini Tanzania, zimeundwa kutambua na kuhamasisha ubora kwa wazalishaji katika sekta mbalimbali.
Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Friday, 8 November 2024
SBL YAIBUKA KINARA MZALISHAJI WA POMBE KALI KATIKA TUZO ZA PMAYA 2024.
Dar es Salaam, 8 Novemba 2024: Serengeti Breweries Limited (SBL) imeibuka kuwa mzalishaji bora wa pombe kali kwenye Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (PMAYA), zilizofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Tuzo za PMAYA, ambazo ni miongoni mwa heshima za juu kabisa kwa wazalishaji nchini Tanzania, zimeundwa kutambua na kuhamasisha ubora kwa wazalishaji katika sekta mbalimbali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment