Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 7 October 2024

BENKI YA EXIM YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2024

Wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania wakifanya matembezi ya amani wakati wa kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 ambapo walitembea kutoka Makao Makuu ya benki hiyo, Exim Tower mpaka tawi lake la Samora Avenue jijini Dar es Salaam mnamo tarehe 5 Oktoba 2024.
Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim Tanzania, Nelson Kishanda akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 katika tawi la benki hiyo la Samora Avenue. Kulia kwake ni Frank Matoro, Meneja Mkuu wa Huduma za Wateja.


No comments:

Post a Comment