Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Friday, 20 October 2023

NAIBU WAZIRI DAVID SILINDE ATEMBELEA OFISI ZA SBL

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (wa kwanza kulia) akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), John Wanyancha (wapili kulia) wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Kilimo katika makao makuu ya kampuni ya SBL. Mazungumzo yalilenga kwenye jinsi ya kusaidia wakulima wa ndani na fursa za kukuza sekta ya kilimo kwa lengo la kupata malighafi za ndani kwa bei nafuu na ubora unaofaa.

No comments:

Post a Comment