Mkurugenzi wa Mifumo ya kifedha na Ubunifu wa kampuni ya Mainstream Media limited Bw. Deogratius Mosha akiendesha mafunzo kwa Wakufunzi wa Vicoba wakati wa uzinduzi wa mafunzo wezeshi kwaajili ya matumizi ya mfumo wa kidijitali katika usimamizi wa usimamizi wa vikundi vya vicoba hapa nchini Tanzania . Mafunzo haya yameendeshwa na waandaaji wa mfumo huu, Kampuni ya Mainstream Media Limited na Kuhudhuriwa na wakufunzi wa vikundi vya Vicoba hapa Mjini Dar es Salaam.
Wakufunzi wa Vicoba wakifuatilia kwa makini Mafunzo wakati wa uzinduzi wa mafunzo wezeshi kwaajili ya matumizi ya mfumo wa kidijitali katika usimamizi wa usimamizi wa vikundi vya vicoba hapa nchini Tanzania . Mafunzo haya yameendeshwa na waandaaji wa mfumo huu , Kampuni ya Mainstream Media Limited na Kuhudhuriwa na wakufunzi wa vikundi vya Vicoba hapa Mjini Dar es Salaam.
Mmoja wa Wakufunzi wa Vicoba akiuliza swali wakati wa uzinduzi wa mafunzo wezeshi kwaajili ya matumizi ya mfumo wa kidijitali katika usimamizi wa usimamizi wa vikundi vya vicoba hapa nchini Tanzania . Mafunzo haya yameendeshwa na waandaaji wa mfumo huu , Kampuni ya Mainstream Media Limited na Kuhudhuriwa na wakufunzi wa vikundi vya Vicoba hapa Mjini Dar es Salaam.
Mmoja wa Wakufunzi wa Vicoba akikabidhiwa cheti cha a kushiriki wakati wa uzinduzi wa mafunzo wezeshi kwaajili ya matumizi ya mfumo wa kidijitali katika usimamizi wa usimamizi wa vikundi vya vicoba hapa nchini Tanzania . Mafunzo haya yameendeshwa na waandaaji wa mfumo huu, Kampuni ya Mainstream Media Limited na Kuhudhuriwa na wakufunzi wa vikundi vya Vicoba hapa Mjini Dar es Salaam.
Mzee, Sulum Sultan, Ambaye ni mmoja kati ya walezi wa Vicoba kutokea Kampuni ya Rasuki ambaye pia ni muasisi wa ubunifu akifafanua jambo kwa washirki wa Mafunzo walioshiriki uzinduzi wa mafunzo wezeshi kwaajili ya matumizi ya mfumo wa kidijitali katika usimamizi wa usimamizi wa vikundi vya vicoba hapa nchini Tanzania . Mafunzo haya yameendeshwa na waandaaji wa mfumo huu , Kampuni ya Mainstream Media Limited (https://mainstreammedia.co.tz ) na Kuhudhuriwa na wakufunzi wa vikundi vya Vicoba hapa Mjini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa HumTech Bw. Alfred Rukatila akiendesha mafunzo wakati wa uzinduzi wa mafunzo wezeshi kwaajili ya matumizi ya mfumo wa kidijitali katika usimamizi wa usimamizi wa vikundi vya vicoba hapa nchini Tanzania . Mafunzo haya yameendeshwa na waandaaji wa mfumo huu, Kampuni ya Mainstream Media Limited (https://mainstreammedia.co.tz ) na Kuhudhuriwa na wakufunzi wa vikundi vya Vicoba hapa Mjini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja kwa washiriki wa Mafunzo mara baada ya uzinduzi wa mafunzo wezeshi kwaajili ya matumizi ya mfumo wa kidijitali katika usimamizi wa usimamizi wa vikundi vya vicoba hapa nchini Tanzania . Mafunzo haya yameendeshwa na waandaaji wa mfumo huu , Kampuni ya Mainstream Media Limited (https://mainstreammedia.co.tz ) na Kuhudhuriwa na wakufunzi wa vikundi vya Vicoba hapa Mjini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment