Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 27 May 2020

TAMTHILIA YA SLAY QUEEN NDANI YA DStv KILA JUMATANO - IJUMAA SAA 3:30 USIKU



Ni Jumatano nyingine ambapo Tamthilia yako pendwa ya Slay Queen imezidi kuwa 🔥🔥.

Agness ameamua kumwambia Derick ukweli, huku Julieth akianza maisha mapya ya ajira, je nini kuendelea?

Fuatilia uhondo wa Tamthilia hii kila Jumatano - Ijumaa saa 3:30 usiku kupitia chaneli @maishamagicbongo 160 ndani ya DStv pekee!

Jiunge sasa na DStv kwa TShs. 99,000/= kwa kupiga 0659 070707.

#MMBSlayQueen

#TupoNawe

No comments:

Post a Comment