Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Sunday 24 May 2020

MTV BASE NA DStv WANAKULETEA AFRICA DAY CONCERT LIVE



MTV Base na DStv wanakuletea Africa Day Concert LIVE kutokea sebuleni kwako. Sheherekea siku ya Mwafrika kwa kuangalia perfomance kibao kutoka kwa wasanii mbali mbali Afrika huku Tanzania ikiwakilishwa na @diamondplatnumz @officialnandy na wengine kibao. 

Ni siku ya Jumatatu, tarehe 25 Mei 2020 kuanzia saa 4 usiku LIVE chaneli namba 322 MTV Base ndani ya DStv pekee. Kifurushi cha Bomba kwa TShs. 19,000 tu!

#StaySafe Tune in to the #AfricaDay Benefit Concert.

#ThereForYou

No comments:

Post a Comment