Foreign Exchange Rates

Advertise Here

Advertise Here

Monday, 13 February 2017

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWAPISHA KAMSHNA WA MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA, KAMISHNA JENERALI WA UHAMIANI, NA MABALOZI WATATU. FEBRUARI 12, 2017

Amir jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvisha cheo cha Jenerali kamishna Dkt. Anna Peter Makakala kabla ya kumuapisha kuwa kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 12, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kamishna Jenerali Dkt. Anna Peter Makakala, Jenerali wa Uhamiani Tanzania baada ya kumvisha cheo cha Ujenelali Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 12, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha kamishna Jenerali Dkt. Anna Peter Makakala kuwa Jenerali wa Uhamiani Tanzania Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 12, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Rogers William sianga kuwa kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 12, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Omar Yusuph Mzee kuwa Balozi Nchini Algeria Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 12, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Josep Sokoine kuwa Balozi Nchini Ubelgiji Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 12,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Grace Mgovano kuwa Balozi Nchini Uganda Ikulu Jijini Dar es salaam Februari 12, 2017.

Viongozi wateule wakila kiapo za maadhili ya utumishi wa umma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanazani Mhe. Samia Suluhu Hassan Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es salaam na viongozi mbalimbali wa Serikali baada ya kuwapisha Kamshna wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na Dawa za Kulevya, kamishna Jenerali wa Uhamiani, na Mabalozi watatu. Februari 12, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kuwapisha Kamshna wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na Dawa za Kulevya, kamishna Jenerali wa Uhamiani, na Mabalozi watatu. Februari 12, 2017.
Ikulu Blog

No comments:

Post a Comment