Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 7 September 2016

BENKI YA CRDB YAZINDUA KADI YA KIMATAIFA YA TEMBOCARD VISA


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (kulia), akimkabidhi Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kadi ya kimataifa ya ‘TembocardVisa Infinite’, wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo uliokwenda sambamba na kituo cha kutolea huduma ‘Premier Club’ jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha kutolea huduma "Premier Club" pamoja na Kadi ya Kimataifa ya TemboCardVisa Infinite uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akizungumza wakati wa uzinduzi wa TemboCard Visa Infinite pamoja na uzinduzi wa Kituo cha Huduma kwa Wateja Wakubwa cha Premier Club.

Baadhi ya wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika hafla hiyo.

Picha na Francis Dande

No comments:

Post a Comment