Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 15 June 2016

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA KITOVU CHA MJI WA KISASA WA SAFARICITY JIJINI ARUSHA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (kushoto), David Shambwe akiwa na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Daudi Ntibenda (kulia) wakipiga makofi kuashiria furaha ya ukaribisho wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Safaricity Matevez, Arusha.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, David Shambwe akiwa na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Daudi Ntibenda na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa Mradi wa #SafariCity.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, David Shambwe akizungumza na wananchi pamoja na wafanya biashara wa Jiji la Arusha wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi.
Mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wa Jijini Arusha akisimama baada ya kutambulishwa na Mgeni Rasmi, Mh Felix Daudi Ntibenda katika hafla ya uzinduzi wa #SafariCity.
Baadhi ya wawekezaji na waendelezaji wakifuatilia tukio hilo muhimu la uzinduzi wa #SafariCity.
Baadhi ya wawekezaji na waendelezaji wakifuatilia tukio hilo muhimu la uzinduzi wa #SafariCity.
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa #SafariCity Mh Felix Daudi Ntibenda akipanda mti pamoja na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Calist Lazaro ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa mji wa #SafariCity.

No comments:

Post a Comment