Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 23 June 2016

BENKI YA BARCLAYS YAZINDUA TAWI JIPYA KATIKA JENGO LA CITY MALL JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed akizungumza katika uzinduzi wa Tawi la benki ya Barclays katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross akizungumza na wafanyakazi wa benki ya Barclays hapa nchini pamoja na wateja wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkuu wa kitengo cha Masoko benki ya Barclays, Joe Bendera akizungumza na wafanyakazi, wateja na waandishi wa habari wakati wa kuzindua tawi jipya la benki hiyo katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.

Kikundi cha noma kikitumbuiza katika uzinduzi wa tawi jipya katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.


Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed na Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa kufunguliwa tawi la benki ya Barclays katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.

Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa juu wa benki ya Barclays hapa nchini jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo katika jengo la City Mall.
Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross akiwa katika picha ya pamoja na afanyakazi wa benki ya Barclays tawi la City Malll jijini Dar es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross wakisaidiana kukata keki katika uzinduzi wa Tawi la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea katika kaunta za Benki ya Barclays Tawi la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa benki ya Barclays tawi la City Mall wakiwa katika picha ya pamoja jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kuzinduliwa tawi hilo.

Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment