Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Sunday 22 March 2015

ZITTO KABWE AJIUNGA RASMI NA CHAMA CHA ACT-TANZANIA

Aliekuwa Mbunge wa Jimbo Khamisma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe akinzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutambulishwa kwake kujiunga na Chama cha ACT-Tanzania, katika mkutano uliofanyika mapema leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena, Jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tawi la Tegeta wa Chama cha ACT-Tanzania, Lugano Mwaikenda. (Picha zote na Othman Michuzi).
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe akionyesha kadi ya Chama chake kipya yenye namba 007184 mbele ya waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano wa Chama cha ACT-Tanzania, uliofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tawi la Tegeta wa Chama cha ACT-Tanzania, Lugano Mwaikenda.
Mwenyekiti wa Tawi la Tegeta wa Chama cha ACT-Tanzania, Lugano Mwaikenda akionyesha kipeperushi cha Chama chao mbele ya waandishi wa habari wakati wa kumtangaza mwanachama wao mpya ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe.
Bofya hapa kuona picha zaidi

Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment