Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Sunday, 22 March 2015

RAIS KIKWETE AMPONGEZA RAIS MPYA WA NAMIBIA, DKT. HAGUE GEINGOB

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais mpya wa Namibia, Dkt. Hague Geingob wakati wa sherehe za kuapishwa kwake zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Uhuru wa Namibia jijini Windhoek leo. Sherehe za kumuapisha Rais huyo wa tatu wa Namibia ziligongana na maadhimisho ya miaka 25 ya uhuru wa nchi hiyo. (Picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment