Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 9 September 2014

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA WEKA UPEWE AWAMU YA PILI

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Musa Jallow (katikati) Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (kushoto) Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa Binafsi na Bidhaa za Kuwekeza, Andrew Massawe wakionyesha vipeperushi kuashiria uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Weka Upewe ya benki hiyo jijini Dar es Salaam jana.

Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (kushoto) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Weka Upewe ya mwaka 2014 jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Musa Jallow na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa Binafsi na Bidhaa za Kuwekeza, Andrew Massawe.

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa Binafsi na Bidhaa za Kuwekeza, Andrew Massawe (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Weka Upewe ya mwaka huu jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Musa Jallow. 

Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam jana.

Baadhi ya maofisa wa benki hiyo na waandishi wa habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment