Foreign Exchange Rates

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

CRDB Bank Advert_070325

Wednesday, 13 August 2014

WAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI KILIMANJARO WATOANA JASHO KATIKA BONANZA LA BANKERS DAY 2014.

Wafanyakazi wa Benki mbalimbali mkoani Kilimanjaro wakitoana jasho katika mashindano ya mbio za mita 400.

Wafanyakazi wa Benki mbalimbali wakioneshana uwezo wa kusukuma Gogo katika Bonanza la Bankers Day lililofanyika katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika na Baiashara mjni Moshi.

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki akionesha kuku baada ya kufanikiwa kumshika katika mashindano ya kukimbiza kuku.

Wengine walioneshana uwezo katika kukimbia huku wakiwa wamevaa gunia.

Kwa upande wa kamba mshindi hakuweza kupatikana kwa mara ya kwanza mchezo huo ulitoa Droo.

 Wengine walikuwa katika mashIndano ya kupuliza Puto.

Kwa picha zaidi, bofya hapa.

Busagaga's Orijino Blog

No comments:

Post a Comment