Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Saturday, 9 August 2014

MARAIS WA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI WAKUTANA NA WAWEKEZAJI MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wa nchi za Jumuiya ya Mashariki, Mhe Paul Kagame wa Rwanda, Mhe Yoweri Museveni wa Uganda, Mhe Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mhe. Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakati wa mkutano wao na wawekezaji wa Kimarekani uliofanyika katika makao makuu ya chama cha wafanyabiashara (US Chamber of Commerce) jijini Washington DC. (Picha na IKULU).

No comments:

Post a Comment