Foreign Exchange Rates

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

CRDB Bank Advert_070325

Tuesday, 12 May 2026

SERENGETI PREMIUM APPLE YASHEREHEKEA SIKU YA MAMA DUNIANI KWA MTINDO WA KIPEKEE

Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam lilishuhudia weekend ya kipekee iliyojawa na burudani, fashion, elegance na celebration baada ya Serengeti Premium Apple kuandaa mfululizo wa matukio maalum ya kusherehekea Siku ya Mama Duniani.

Matukio hayo yaliyofanyika katika maeneo ya Upper Deck, Hyatt Regency na Maison Femme yaliwakutanisha wanawake kutoka kwenye taaluma mbalimbali ikiwemo mitindo, ubunifu, lifestyle, media na burudani, waliokusanyika kusherehekea pamoja na mama zao, marafiki pamoja na wanawake wanaowapa hamasa katika maisha yao ya kila siku.

Fashion, Elegance na Celebration ya Kisasa

Kuanzia mitindo ya mavazi ya kuvutia, mionekano ya kifahari hadi nyakati za pamoja za kufanya ‘toast’ na mama zao, weekend hiyo iligeuka kuwa celebration ya kisasa iliyochanganya fashion, beauty, luxury na togetherness katika mazingira yaliyojaa furaha na upendo.

Katika kila location, wageni walipokelewa kwa glass maridadi ya Serengeti Premium Apple — kinywaji kilichotengenezwa hapa nchini na kampuni ya Serengeti Breweries Limited — kabla ya kushiriki kwenye moment maalum ya #ToastToMoms.

Moment hiyo iliwapa nafasi wageni kuelezea sababu zao za kuwasherehekea mama zao pamoja na wanawake waliowalea, kuwahamasisha na kuwa sehemu muhimu ya safari zao za maisha.

Kuendeleza Hadhi ya Serengeti Premium Apple

Mbali na kusherehekea Siku ya Mama Duniani, experiences hizo pia ziliendelea kuonyesha misingi ya chapa mpya ya Serengeti Premium Apple inayojivunia ladha ya apple yenye ubora wa kimataifa huku ikitengenezwa Tanzania.

Chapa hiyo inaendelea kujitambulisha kupitia:

  • Ladha yake laini ya apple yenye kuburudisha na rahisi kufurahia kunywa
  • Kuwasherehekea wanawake wa kisasa wenye kujiamini na hadhi
  • Kuvumbua namna mpya za kufurahia maisha ya kisasa kupitia moments zinazowaunganisha watu

Kupitia mazingira ya kifahari, muziki, fashion, chakula na vinywaji, pamoja na nyakati za pamoja zilizojaa hadhi na elegance, Serengeti Premium Apple inaendelea kujijenga kama kinywaji kinachowakilisha kizazi cha kisasa cha Watanzania wanaopenda kujumuika, kusherehekea maisha na kuonesha fahari yao kwa namna tofauti.

Celebration ya Womanhood na Appreciation

Kwa wengi waliohudhuria, #ToastToMoms haikuwa tu event ya Mother’s Day, bali ilikuwa celebration ya womanhood, confidence, style na appreciation kwa wanawake wanaogusa maisha ya wengine kila siku.

Sophistication. Bottled.









No comments:

Post a Comment