Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Wednesday, 6 November 2024

VODACOM YAENDELEA KUTOA WASHINDI WA KAMPENI YA NI BALAA!

Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Kampuni ya Vodacom, Abednego Mhagama akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni ishirini kwa mshindi wa kampeni ya Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi, Bi. Beth Mayunga kutoka Mbeya mnamo tarehe 5 Novemba 2024 katika hafla iliyofanyika katika duka la Vodacom jijini Mbeya. Beth pia amepata nafasi ya kuchagua shule ambayo Vodacom watasaidia kwa kukarabati maktaba ili kukamilisha adhma ya kusaidia serikali katika kuboresha elimu nchini.

No comments:

Post a Comment