Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Thursday, 10 October 2024

VODACOM YAWAFIKIA ABIRIA WA 'TRENI YA MWAKYEMBE' WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Happiness Shuma (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC), Never Daimon na Mkuu wa Idara ya Mauzo wa Vodacom Business, Rahma Dachi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano na TRC ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo Vodacom imewasogezea huduma zake abiria wa treni hiyo maarufu kama ‘Treni ya Mwakyembe’ inayofanya safari zake hapa jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment