Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Thursday, 13 June 2024

BENKI YA EXIM YAANDAA KAMPENI YA KUCHANGIA DAMU MIKOA MITANO

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasilano kutoka Benki ya Exim - Stanley Kafu, akichangia damu kwenye kampeni ya kuchangia damu iliyoandaliwa na Benki ya Exim kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) iliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Exim Bank imekuwa mdau mkubwa wa uchangiaji damu kwa miaka kadhaa sasa na hii ni sehemu ya mpango wa kitaifa wa uchangiaji damu unaoratibiwa na Benki ya Exim kwa kushirikiana na NBTS utakaofanyika katika mikoa mitano. Kushoto ni Mtaalamu wa Maabara - Gisbert Ruseruka.



No comments:

Post a Comment