Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Tuesday, 12 March 2024

VODACOM YASHIRIKI MKUTANO WA 21 WA TAASISI ZA KIFEDHA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni akizungumza wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha. Vodacom Tanzania inajivunia kuleta huduma jumuishi za kifedha nchini kwa miaka 15 sasa ikitumiwa na Watanzania zaidi ya milioni 20.
Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (katikati) akizungumza wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha. 

Washiriki wakiendelea na mijadala wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha.
Washiriki wakifuatilia mijadala wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment