Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 19 June 2023

VODACOM YAZINDUA DUKA JIPYA LA HUDUMA KWA WATEJA SONGWE

Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mkoani Songwe, Mh. Solomon Itunda (katikati) akifanya muamala mara baada ya kufanya ufunguzi wa duka la huduma kwa wateja la Vodacom Tanzania PLC lililopo katika Mji wa Mkwajuni mwishoni mwa wiki. Kulia kwake ni Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Happines Shuma na Msimamizi wa maduka Nyanda za Juu Kusini, Dorice Mwambagi, kutoka Vodacom Tanzania PLC.

Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Mh. Solomon Itunda (katikati) akikata keki kuashiria ufunguzi wa duka la huduma kwa wateja la Vodacom Tanzania PLC lililopo katika Mji wa Mkwajuni Wilaya Songwe mwishoni mwa wiki. Pamoja naye kushoto ni Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Happines Shuma wa Vodacom Tanzania PLC.


Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mkoani Songwe, Mh. Solomon Itunda (pili kushoto) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka la huduma kwa wateja la Vodacom Tanzania PLC lililopo katika Mji wa Mkwajuni Wilayani Songwe mwishoni mwa wiki. Pamoja naye (kushoto) ni Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Happines Shuma wa Vodacom Tanzania PLC.

Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom Tanzania PLC, Happines Shuma akizungumza wakati ya ufunguzi wa duka la huduma kwa wateja katika Mji wa Mkwajuni Wilayani Songwe Mkoani Songwe.

Baadhi ya wateja wakipewa huduma katika duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Tanzania PLC lililo zinduliwa katika Mjia wa Mkwajuni Wilayani Songwe Mkoani Songwe mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment