Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Wednesday, 9 March 2022

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.

Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakishangilia wakati wakiingia uwanjani walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma. Maadhimisho hayo kwa mwaka 2022 yana kauli mbiu ‘Kizazi cha Haki na Usawa kwa Maendeleo Endelevu, Tujitokeze kuhesabiwa.
Baadhi ya Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa tayari kuanza maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.

Baadhi ya Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakifurahia wakati wa maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini- WFM, Dodoma)

No comments:

Post a Comment