| Joyce Ndyetabura, Mkuu wa Biashara wa Benki ya NCBA, akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. |
| Rosemary Ihadike, Meneja mahusiano, bima na masuluhisho wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleoi dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. |
| Godson Muro, Meneja wa Operesheni za Mikopo wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. |
| Meshack Massawe, afisa usimamizi wa biashara wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. |
| Rahim Kanji, Mkuu wa kitengo cha biashara rejareja na bima wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. |
| Zainab Mushi, Mkuu wa Rasilimali watu wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. |
| Margaret Karume, Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. |
| Gloria Njiu, Mkuu wa Biashara za Kidijitali wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. |
| Judith Warioba, Mkuu wa taasisi wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. |
No comments:
Post a Comment