Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 5 January 2021

VODACOM TANZANIA PLC YATWAA TUZO YA UANDAAJI BORA WA TAARIFA ZA FEDHA KWA MWAKA 2019

Kamishna wa Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamaja akimkabidhi Mkuu wa Mipango na Uwekezaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hilda Bujiku tuzo ya mshindi wa kwanza kwa uandaaji bora wa Taarifa za Fedha kwa Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

 

No comments:

Post a Comment