Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 29 May 2020

WIKIENDI HII, DStv WANAKULETEA TAMASHA MAALUM LINALOTAMBULIKA KAMA COVID-19 HOPE FOR AFRICA



Wikiendi hii, DStv wanakuletea Tamasha maalum linalotambulika Kama COVID-19 Hope for Africa

Kipindi hiki ambacho Ulimwengu mzima unapitia Janga la COVID-19, DStv wamekuandalia Tamasha Maalum la matumaini litakalosindikizwa na wasanii mbali mbali kutoka Afrika yetu ikiwemo Tanzania ambapo muigizaji kutoka Tasnia ya Filamu Tanzania Wema Sepetu pamoja na Mwana Muziki Nandy ndio watakao tuwakilisha. 

Usipitwe na Tamasha hili litakalorushwa LIVE siku ya Jumapili saa 3 usiku, kupitia DStv pekee chaneli 154, Africa Magic Family inayopatikana kwenye kifurushi cha DStv Bomba TShs.19, 000 tu.

#OneAfricaGlobal and #HopeForAfrica

No comments:

Post a Comment