Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Sunday 1 March 2020

DSTV - EL CLASSICO, HILI NI BALAA NA NUSU!

Patakuwa hapatoshi Jumapili ya Tarehe 1 Machi 2020 wakati ambapo Real Madrid watakutana na Barcelona ndani ya EL CLASSICO, huku wakiwa na utofauti wa point 2 tu katika msimamo wa Ligi ya Hispania #Laliga, je nani kumkanyaga mwenzake?

Na kama kawaida wakali wa hizi shughuli ni @dstvtanzania pekee ndani ya Supersport ambapo kupitia kifurushi cha Bomba 19,000 tu utapata kushuhudia mtanange huu Live kupitia SS7.

Lipia mapema usipitwe na mtanange huu!

#SokaMwaaMwii

No comments:

Post a Comment