Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 11 October 2019

MKURUGENZI MTENDAJI WA TIGO, SIMON KARIKARI ASIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WATEJA WA TIGO KATIKA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA


Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Tigo, Bi. Mwangaza Matotola, akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari pamoja na viongozi wa idara mbalimbali katika kituo cha kisasa cha Huduma kwa Wateja. Tukio hilo liliambatana na ukataji wa keki.

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano TIGO, Bw. Simon Karikari akimuongoza mteja katika duka la Tigo Mlimani City kukata keki ya kusherehekea wiki ya Huduma Kwa Wateja pamoja na kushiriki katika kutoa huduma kwa wateja. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari, akijibu na kutatua maswali ya wateja wa Tigo katika kituo cha kisasa cha huduma kwa wateja. Zoezi hilo limefanyika katika wiki ya huduma kwa wateja.


Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari, akijibu na kutatua maswali ya wateja wa Tigo katika kituo cha kisasa cha Huduma kwa Wateja.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mawasiliano TIGO, Bw. Simon Karikari ametembelea duka la Tigo Mlimani City na kupata nafasi ya kushiriki katika wiki ya huduma kwa wateja na wateja wa Tigo waliokuwa wakiendelea kupata huduma.

No comments:

Post a Comment